myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawa..RAIS ANATAARIFA NYINGI, WALA HAKUMAANISHA HIZO KITIMOTO ZAKO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa..RAIS ANATAARIFA NYINGI, WALA HAKUMAANISHA HIZO KITIMOTO ZAKO
Angalia tena hotuba yake ya janaMbona sikusikia akisema hvyo?
Taarifa za watu kuchoma nyama? kama TISS wanampelekea Rais taarifa za namna iyo basi nao wanatakiwa kufanyiwa reformation kama polisi!Sawasawa..
Ukianza kufuatilia mambo binafsi ya watu kama unaongoza wanafunzi na watu wataanza kufuatilia hadi mambo yako binafsiYeye mbona akiwa anapiga vitu vyake vikali hakuna anaye mjadili
Kweli kabisa!Furaha ni kuwa na marafiki 🕺🏿
Samia anajitahidi sana ila kwenye hili aliteleza mama yetu na ndo mana tunamshauriAkili ndogo inajadili watu,akili kubwa inajadili masuala ya msingi.Asanteni
Hawaaminiki kivipi?Wala bata sikuzote hawaaminiki
Naskia anatandika K vant na konyagi mpaka sio poa yani!Yeye mbona akiwa anapiga vitu vyake vikali hakuna anaye mjadili
kuchoma nyama sio ufujaji na shereheWewe ndio una akili finyu ya uelewa,ile ile ni lugha ya picha tuu kwamba wasidhani wameteuliwa kwenda kufanya ufujaji na sherehe,akaongezea kwamba Unapata wapi mda wa kulala?
Swali utafanya Kazi bila kula? Kuna mtu ambae huwa halali?
Kuna watu mna akili ndogo Sana aisee.
Ndio maana Nimekwambia kwa akili yako wewe pale Rais anawaambia wasichome nyama au?kuchoma nyama sio ufujaji na sherehe
Hata vijijini watu wanachoma nyama na kunywa! Ni mambo ya kawaida sana kufanyika kwa sababu ndo mzunguko wetu wa maisha kama binadamu...
Pale mama yetu aliteleza! Tumsaidie Mama yetu tusimpotosheNdio maana Nimekwambia kwa akili yako wewe pale Rais anawaambia wasichome nyama au?
Aliteleza tu mama yetu ndo mana tunamshauri hapaAna gubu mnoo