ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa nini?Ujinga mtupu! Wanajua Wabongo wengi wanapenda kudanganywa ndio maana
Kwani hujaona wametofautisha hapo au?Hao hawakawii kuweka vya tangu uhuru usiwaamini sana.
Ukitaka kujua fanya sample ya maeneo machache tu kama utnaona vipya.
Kumbe ni kazi nzuri Sasa mpaka hapo Kuna ubaya gani kama mkopo umefanya kazi nzuri kiasi hiki?Pesa za covidii😂
Sawa sawa,umempa kazi nzuriHao hawakawii kuweka vya tangu uhuru usiwaamini sana.
Ukitaka kujua fanya sample ya maeneo machache tu kama utnaona vipya.
Kwenye post yako umeanza na neno "kama takwimu hizi ni sahihi",pia nina mashaka na uhalali wa hiyo source maana imekaa ki "chawa".vp kama hizo takwimu sio sahihi!!!!Kumbe ni kazi nzuri Sasa mpaka hapo Kuna ubaya gani kama mkopo umefanya kazi nzuri kiasi hiki?
Hiyo Source iko verified na maalumu Kwa taarifa za Serikali.Kwenye post yako umeanza na neno "kama takwimu hizi ni sahihi",pia nina mashaka na uhalali wa hiyo source maana imekaa ki "chawa".vp kama hizo takwimu sio sahihi!!!!
Yaani unakopa kutoa huduma?? We ni Mpwayungu Village kabisa!! Kakopa Bayport kaenda kujenga nyumba imeshia kuwa pagare!! Sasa hivi anaichukia kazi yake ya ualimu.Kumbe ni kazi nzuri Sasa mpaka hapo Kuna ubaya gani kama mkopo umefanya kazi nzuri kiasi hiki?
Wabongo wa mwaka 1940 sio kizazi hikiUjinga mtupu! Wanajua Wabongo wengi wanapenda kudanganywa ndio maana
Uko vizuri kichwani? Pesa ilikopwa ili kulipia dawa au salary?Yaani unakopa kutoa huduma?? We ni Mpwayungu Village kabisa!! Kakopa Bayport kaenda kujenga nyumba imeshia kuwa pagare!! Sasa hivi anaichukia kazi yake ya ualimu.
Kopa wekeza kwenye uzalishaji. $@$^**₹₹/×@ Jf hawaruhusu lakini umelipata mbwa wewe
Acha wivu basi,harafu umeambiwa Vituo vya kutolea Huduma za Afya sio Vituo vya AfyaVituo vya afya 3000 unavijua?. Punguza uongo
Huo wizi anaoshirikiana na DPWorld kutuibia na kuwafurahisha wajomba zake ndio anazojengea nchi au ni hizi kodi zetu ndogo ndogo.Kwa mwaka mmja Serikali ya Mama Imejenga Vituo vya Afya zaidi ya elfu 3 maana mwaka ujao watajenga Vituo 55 tuu na Nguvu kubwa wamepeleka Kwenye Ajira,vifaa tiba na dawa.
My Take
Huyu Rais apewe maua yake.
Acha ujingaHuo wizi anaoshirikiana na DPWorld kutuibia na kuwafurahisha wajomba zake ndio anazojengea nchi au ni hizi kodi zetu ndogo ndogo.
Huoni kukaa kimya pia ni ujinga.Acha ujinga
Low IQ!! Nisome vizuri tena.Uko vizuri kichwani? Pesa ilikopwa ili kulipia dawa au salary?