Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hivi kweli miaka 61 iliyopita TANZANIA ilikuepo?

Hivi kweli TANZANIA imewahi kutawaliwa?

Nafasi za uteuzi zisha jaa, andika ukweli tu.
 
Woga TU huo.
Kama uhalisia wako ni ugali na mbogamboga
Akija mtu akueleze jaribu wali nyama,
Madai yatakuwa ooh sijawahi kula toka kuzaliwa,ooh nyama inaleta Kansa.Onja basi kwanza, ooh ,mwili huu unaouona ni Matokeo ya ugali na mbogamboga.
Kikubwa kubalance mboga na nyama.,mwili ndo unapenda hivyo.
 
Aliyeelewa nini kimeandikwa hapa anifafanulie.

Naona andiko halina kichwa, kiuno wala makanyagio.

Heading inavutia usome content, ukianza kusoma juu unakwama, ukija kati ndo kabidaa upo Temeke Sudan, mwishoni unakutana na uzabzab.
 
Aliyeelewa nini kimeandikwa hapa anifafanulie.

Naona andiko halina kichwa, kiuno wala makanyagio.

Heading inavutia usome content, ukianza kusoma juu unakwama, ukija kati ndo kabidaa upo Temeke Sudan, mwishoni unakutana na uzabzab.
si kila kinachoandkwa unatakiwa ukifaham wew
 
Walio karibu na mama wampe taarifa walimu wanalalamika Fedha ya Elimu bure za mwezi wa 9 kwa shule za msingi mpaka hivi leo hazijaingia kwenye akaunti za shule.

Shule zitashindwa kuendeshwa kwa style hii na haijawahi tokea tangu serikali ianze kupeleka Fedha ya Elimu bure ukapita mwezi Bila kuingiza Fedha na na serikali ijue usipowalipa walimu haiishii kwa shule na walimu Hali hii inaenda kwa Wazabuni wanohudumia hizo shule nao wanaathirika

Salamu zivike viunga vya Magogoni Kizimkazi Mji wa serikali Mtumba Chamwino

Mimi Mtoa taarifa
 
Na MINOCYCLINE "Gifted Intellectually, Knowdgeable, Challenger and Well Informed Person" natamani mno Rais Samia Suluhu Hassan aongoze Tanzania Maisha au mpaka pale tu atakapochoka Mwenyewe.

Watu wote Wanaompinga na Kumchukia Rais wangu Bora na muda Wote Tanzania Samia Suluhu Hassan wakapimwe Akili zao kwani haziwatoshi.

Rais Samia piga tu Kazi Mama...!!
 
Sisi tunateseka namgao we kwako walahuuoni magufuli aliwezaje nawewe unashindwaje kuwa mkali kwawatendaji wako
 
Kazi iendelee
Kiwanda kikubwa cha cement Africa mashariki na kati kinaendelea kujengwa ndani ya aridhi ya taifa la Tanzania.
 
Kwanza Dangote angerudishiwa hati ya awali ya uzalishaji saruji kama ilivyokuwa kabla ya Magu kuvuruga na kutusababishia wanyonge tushindwe kumudu bei na wakati bei ilikuwa 12000 huku mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…