Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hakuna mwanaccm mwenye aibu wala mcha Mungu, Wote ni mawakala wa shetani
 
Hamia Burundi...
 
Unaweza kuandika Kwanini watu wanampenda Mpango?
 
Alisikia kilio cha maswala ya utekaji
Alitoa pole kwa wahanga na ndugu wa wahanga
Alitoa maelekezo kwa vyombo vya ulinzi na usalama kushughulikia kwa mujibu wa Katiba
Alisusitiza umuhimu wa kuitunza amani
Alikemea waliopo nyuma ya uchochezi huu.
Na mwisho alitumia nguvu yake kikatiba kuwalinda wengi dhidi ya vibaraka wachache.

Watanzania walimuelewa sana tu na wakaonesha hilo siku ya leo.
Watanzania wataendelea kumuombea na kumuunga mkono.

Kila la kheri Mama Samia ...Hongereni Polisi na vyombo vyote husika...Mungu awabariki sana.

sasa tuandae mashamba tupate na kutunza chakula.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Muhimu ni kutatua shida ya utekaji na mauaji na kuwaachia wote wanaoshikiliwa na Polisi. Pia kukaa nao na kushirikiana kuijenga Nchi. Naamini Rais wetu atalichukulia kwa uzito maana anajulikana kwa uungwana wake.
 
Muhimu ni kutatua shida ya utekaji na mauaji na kuwaachia wote wanaoshikiliwa na Polisi. Pia kukaa nao na kushirikiana kuijenga Nchi. Naamini Rais wetu atalichukulia kwa uzito maana anajulikana kwa uungwana wake.
mama ni muungwana sana sielewi kwa nini wanataka kumfanya awe "dikteta"???
Hivi ni kweli kabisa walikaa kikao kutaka kumhujumu?ili iweje sasa ...kwa manufaa ya nani ??
 

Naona kila kitu sasa ni kusifu tu!!​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…