Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakuna mwanaccm mwenye aibu wala mcha Mungu, Wote ni mawakala wa shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia Burundi...Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Kwanini Mama Abdul ana force kukalia kiti cha rais
Anajua kabisa kuwa watu hawampendi lakin bado anafoce
Kuna gharama gan akiamua tu akae pemben amuachie nchi dk mpango
Inaumiza huyu mama huyu ila bas tu
Nchi imemushinda kabisa huyu mama
Maisha yamekuwa magumu sana, vitu vimepanda bei yeye hajui hilo, kipande cha sabuni cha mia mbili saiz kinauzwa mia saba nauli ya elf arobain na tano mwanza dar saiz elf sabin na tano huyu mama yeye hajui katuletea maumivu makali sana sisi raia
Ukienda ofisi za umma unatazamwa tu sanamu ya ndama ya wana wa Israel
Tunateseka jaman
LONDON BOY
Unaweza kuandika Kwanini watu wanampenda Mpango?Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Kwanini Mama Abdul ana force kukalia kiti cha rais
Anajua kabisa kuwa watu hawampendi lakin bado anafoce
Kuna gharama gan akiamua tu akae pemben amuachie nchi dk mpango
Inaumiza huyu mama huyu ila bas tu
Nchi imemushinda kabisa huyu mama
Maisha yamekuwa magumu sana, vitu vimepanda bei yeye hajui hilo, kipande cha sabuni cha mia mbili saiz kinauzwa mia saba nauli ya elf arobain na tano mwanza dar saiz elf sabin na tano huyu mama yeye hajui katuletea maumivu makali sana sisi raia
Ukienda ofisi za umma unatazamwa tu sanamu ya ndama ya wana wa Israel
Tunateseka jaman
LONDON BOY
Kaka hujakamatwa?Waliomamatwa walipanga uovu wewe ulikuwa ni shabiki tu.Wewe ndio una imani nae sio sisi. Unatuchefua.
Muhimu ni kutatua shida ya utekaji na mauaji na kuwaachia wote wanaoshikiliwa na Polisi. Pia kukaa nao na kushirikiana kuijenga Nchi. Naamini Rais wetu atalichukulia kwa uzito maana anajulikana kwa uungwana wake.Alisikia kilio cha maswala ya utekaji
Alitoa pole kwa wahanga na ndugu wa wahanga
Alitoa maelekezo kwa vyombo vya ulinzi na usalama kushughulikia kwa mujibu wa Katiba
Alisusitiza umuhimu wa kuitunza amani
Alikemea waliopo nyuma ya uchochezi huu.
Na mwisho alitumia nguvu yake kikatiba kuwalinda wengi dhidi ya vibaraka wachache.
Watanzania walimuelewa sana tu na wakaonesha hilo siku ya leo.
Watanzania wataendelea kumuombea na kumuunga mkono.
Kila la kheri Mama Samia ...Hongereni Polisi na vyombo vyote husika...Mungu awabariki sana.
sasa tuandae mashamba tupate na kutunza chakula.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
mama ni muungwana sana sielewi kwa nini wanataka kumfanya awe "dikteta"???Muhimu ni kutatua shida ya utekaji na mauaji na kuwaachia wote wanaoshikiliwa na Polisi. Pia kukaa nao na kushirikiana kuijenga Nchi. Naamini Rais wetu atalichukulia kwa uzito maana anajulikana kwa uungwana wake.
Alisingiziwa wakati alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu?JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Huyu wa sasa vpAlisingiziwa wakati alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu?
Alisikia kilio cha maswala ya utekaji
Alitoa pole kwa wahanga na ndugu wa wahanga
Alitoa maelekezo kwa vyombo vya ulinzi na usalama kushughulikia kwa mujibu wa Katiba
Alisusitiza umuhimu wa kuitunza amani
Alikemea waliopo nyuma ya uchochezi huu.
Na mwisho alitumia nguvu yake kikatiba kuwalinda wengi dhidi ya vibaraka wachache.
Watanzania walimuelewa sana tu na wakaonesha hilo siku ya leo.
Watanzania wataendelea kumuombea na kumuunga mkono.
Kila la kheri Mama Samia ...Hongereni Polisi na vyombo vyote husika...Mungu awabariki sana.
sasa tuandae mashamba tupate na kutunza chakula.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
kama ilivyokuwa kwenu kila kitu kutukana...mwiba hitolewa ulipoingiliaNaona kila kitu sasa ni kusifu tu!!
Ningeshangaa atajwe JPM usijitokeze fasta😂😂😂, sijui alikufanyaje 😅Alisingiziwa wakati alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu?