Gentleman,Raisi amefikia kusikiliza washauri wake wanamwambia serikali inunue engine za diesel kwa ajiri ya kuendesha tren za umeme na mawazo hayo anaona nisahihi ! Badala ya kuboresha umeme wa uhakika yeye anaona Kila wazo linaloletwa na kadogosa lipo Sawa hata kweli huyu ccm huyo ndiye mnataka aendelee kutuongozea nchi yetu !
Raisi anapaswa kuwa na msimamo katika kuendesha nchi mawazo mengine ya viongozi wake inatakiwa ayachakate aone kama yanafaa au hayafai siyo Kila kitu kukubali ! Raisi unahujumiwa mbele ya wapiga Kura wako unaona Sawa.
Sgr hadi Sasa mkandarasi kakimbia site hakuna hela mradi umesimama siyo mwanza shinyanga wala tabora hakuna kinachoendelea.
Haya tumekubali leteni hizo nchini tunasubiri 2025
CCM wote wenye mapenzi mema na hii nchi tangazeni kugombea uraisi hata mkiwa kwenye mahoteli/nyumbani kwenu kama alichofanya tundu lisu kuelekea 2025 Hana cha kuwafanya huyo mama yenu hamzuiiwi kikatiba na hakuna form moja kama inavyosema.
Raisi amefikia kusikiliza washauri wake wanamwambia serikali inunue engine za diesel kwa ajiri ya kuendesha tren za umeme na mawazo hayo anaona nisahihi ! Badala ya kuboresha umeme wa uhakika yeye anaona Kila wazo linaloletwa na kadogosa lipo Sawa hata kweli huyu ccm huyo ndiye mnataka aendelee kutuongozea nchi yetu !
Raisi anapaswa kuwa na msimamo katika kuendesha nchi mawazo mengine ya viongozi wake inatakiwa ayachakate aone kama yanafaa au hayafai siyo Kila kitu kukubali ! Raisi unahujumiwa mbele ya wapiga Kura wako unaona Sawa.
Sgr hadi Sasa mkandarasi kakimbia site hakuna hela mradi umesimama siyo mwanza shinyanga wala tabora hakuna kinachoendelea.
Haya tumekubali leteni hizo nchini tunasubiri 2025
CCM wote wenye mapenzi mema na hii nchi tangazeni kugombea uraisi hata mkiwa kwenye mahoteli/nyumbani kwenu kama alichofanya tundu lisu kuelekea 2025 Hana cha kuwafanya huyo mama yenu hamzuiiwi kikatiba na hakuna form moja kama inavyosema.
Bila kujali hilo la mabehewa ya 'diesel'; Samia hajawahi kuiweza nchi kwa jambo lolote lile isipo kuwa kuinadisha tu basi.Raisi amefikia kusikiliza washauri wake wanamwambia serikali inunue engine za diesel kwa ajiri ya kuendesha tren za umeme na mawazo hayo anaona nisahihi ! Badala ya kuboresha umeme wa uhakika yeye anaona Kila wazo linaloletwa na kadogosa lipo Sawa hata kweli huyu ccm huyo ndiye mnataka aendelee kutuongozea nchi yetu !
Raisi anapaswa kuwa na msimamo katika kuendesha nchi mawazo mengine ya viongozi wake inatakiwa ayachakate aone kama yanafaa au hayafai siyo Kila kitu kukubali ! Raisi unahujumiwa mbele ya wapiga Kura wako unaona Sawa.
Sgr hadi Sasa mkandarasi kakimbia site hakuna hela mradi umesimama siyo mwanza shinyanga wala tabora hakuna kinachoendelea.
Haya tumekubali leteni hizo nchini tunasubiri 2025
CCM wote wenye mapenzi mema na hii nchi tangazeni kugombea uraisi hata mkiwa kwenye mahoteli/nyumbani kwenu kama alichofanya tundu lisu kuelekea 2025 Hana cha kuwafanya huyo mama yenu hamzuiiwi kikatiba na hakuna form moja kama inavyosema.
Wote hawa unao wategemea kumpinga Samia wapo kwenye sehemu walipo kwa sababu yake, Samia kama Mwenyekiti wao. Akikohoa leo wote wana lala chini!CCM wote wenye mapenzi mema na hii nchi tangazeni kugombea uraisi hata mkiwa kwenye mahoteli/nyumbani kwenu kama alichofanya tundu lisu kuelekea 2025 Hana cha kuwafanya huyo mama yenu hamzuiiwi kikatiba na hakuna form moja kama inavyosema.
Gari Moshi 😂Mm nashauri waanze kutumia makaa ya mawe
1. Tume zinazoundwa nyuma ya mikamera majibu hizo tume nyuma ya pazia, yaani hakunaHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli amefariki, lakini spirit yake inaishi. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi, iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli amefariki lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana, usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili, lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli inaishi. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60 kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
wewe Poyoyo Samia hamiliki serikali, acha upumbavu wako. Hapa ndio wengi mnapotea, how comes una address serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kama serikali ya Samia? Samia, Mimi na wewe na wengine serikali zetu ziko kwenye familia zetu, full stop. Kamwe huwezi kusikia Wakenya wakitamka huu upumbavuHabari wakuu! Kiukweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama samia serikali yake ndani ya miaka mitano niipongeze kwa kutoa ajira nyingi kuliko awamu nyingine yoyote kwenye sekta mbalimbali! Kila siku utumishi wanaita watu kazini kwa kweli mama nampongeza mno kwenye hili!
Haya baada ya pongezi, ingia sasa mtaani ili ukapambane na hali yako.Habari wakuu! Kiukweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mama samia serikali yake ndani ya miaka mitano niipongeze kwa kutoa ajira nyingi kuliko awamu nyingine yoyote kwenye sekta mbalimbali! Kila siku utumishi wanaita watu kazini kwa kweli mama nampongeza mno kwenye hili!
Kuna baadhi ya taasisi ilikuwa ni vigumu kuona ajira zake zikitoka kwenye awamu zingine lakini awamu hii tunashuhudia zikitangazwa na vijana wengi wameajiriwa
Niipongeze pia sekretariati ya ajira kwa kuleta usawa kwenye soko la ajira maana leo ni kawaida kuona mtoto wa mlala hoi yupo BOT, TPA, TRA nk tofauti na zamani!
Note: kuna watu wamekariri kuwa ajira ni walimu pekee na afya( akili mgando) hapa nazungumzia ajira kwa ujumla mama kajitahidi sana na kwa hili vijana tunampongeza!