Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nimekumbuka vile Vyeo vya Idi Amini Dada na Jean Bedel Bokasa!!!
Ila mwisho wao ulikuwa aibu
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH anayewawakilisha hao mazwazwa vilivyo kiasi cha kutofautishwa na jinsia na wakati tu japo wote ni sawa. Tungoje tuone hii picha itaishaje.
 
Hivi tukibonyeza hii button imeandikwa "report" ,tunaweza kupunguza mada kama hizi humu jukwaani au ? Kama kuna namna inasaidia tushirikiane kureport hizi vitu wakuu
 
Hivi tukibonyeza hii button imeandikwa "report" ,tunaweza kupunguza mada kama hizi humu jukwaani au ? Kama kuna namna inasaidia tushirikiane kureport hizi vitu wakuu
Kwani tatizo ni nini au unamuonea wivu mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa mtume SSH kwa kuupiga mwingi?
 
Sasa nimeelewa kwanini Tz mikataba kama DP World inasainiwa na kuanza kufanya kazi kumbe tuna viumbe vya design hii 🤔🙄. Anyway ngoja iendelee kunyesha, patajulikana tu panaposababisha maji yajaee Tanganyika.
#Tanzaniampyainakuja.
 
Tumshukuruni mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa mtume nabii SSH kwa yote haya japo mengi ni maigizo.
 
Tumshukuruni mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa mtume nabii SSH kwa yote haya japo mengi ni maigizo.
Hatukatai kushukuru lakini tuangalie watanganyika wenzangu tulikotoka na tunakoelekea, yakushukuru ni yapi?, Maana tumeshakuwa brainwashed kuwa kiongozi akitizimiza majukumu yake ya msingi anashukuriwa, ulishawahi kumshukuru mwalimu wako kwa kukufundisha kipindi ambacho ratiba ya shule ilipanga afundishe?
 
Kwa nchi yetu kwa sasa, viongozi wanajihudumia. Hivyo, wakikuhudumia, lazima uwashukuru kwa vile wanafanya hisani. Wanaweza kukukamata, kukuteka, kukupoteza hata kukuua na hakuna anayehangaishwa na hili. Wao sasa ni miungu wakiongozwa na muungu mkuu daktari mheshimiwa profesa mtukufu, mtume na nabii SSH fieldmashall, general, admiral, mtakatifu, nk nk SSH. Huoni hili mwanangu? Watanganyika mlie tu. Sasa ni zamu ya kizinkazi baada ya Chato mwanangu.
 
Bado haitatosha hata akipewa hayo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…