Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan


Useless P, hata Chauma hawakupokei wewe, kwani lazima ufanye siasa?
 

Unamwelewesha Pas kweli? Huo mda Bora uchuku sheria mkononi utakuwa na cha kuonyesha!
 
Umeanza vizurii chin umeharibu
 
Hakuna sehemu rais kakashifiwa hapo kula urojo si dhiaka kwa mtu ni sawa na kumsema msuku a kua mla michembe si tusi wala dhiaka

Maandiko yako siku hizi yanaboa sana tu yamekaa kichawa chawa

% kubwa ya waliokua wanakuheshimu wanaandha kukudharau na kukupuuza taratibu
 
Well said P

Let the sleeping dogs lie
 
We mbwa koko ht nusu ya robo ya akili ya Rais wetu huikaribii. Mlaumu mamako kuzaa zombi km ww
Wewe mavi huyo rais wako ana akili?Namlaumu baba yako na mama yako kwa kuzaa takataka kama wewe, uliye na sifa ya uchawa, unaogopa kusema ukweli. Wewe na huyo mama Abdul mwenye elimu ya kuunga unga mna vichwa vinavyofanana, vinawaza kuteka na kuua tu, kuvamia watu usiku wa giza, kuwateka na kuwaua bila kosa. Mnaogopa nini kuhusu uchaguzi wa haki? Si mnapendwa, mmebaki kujiharishia tu, washenzi ninyi.
 
CCM hubirini amani na haki kwa pamoja na mfanye kwa vitendo na sio kwa maneno.
Bila haki hakuna amani popote na hili ndio tunatakiwa tuelewe.
Kote duniani watu walipokosa haki walidai kwa nguvu, CCM tusipuuze hili.
Umeongea vema Sina Cha kuongeza!
 
Laiti Hayati Magufuli na ukali wake angejua atakufa aliyowafanyia wapinzani wake hasingeyafanya kamwe maana upinzani ulikuwa muhimu SANA

Laiti Mama Samia baada ya kifo Cha Magufuli ungejua hata BAADHI ya mirwdi yake usingeiendeleza ungeanzisha Yako YENYE baraka zako na wananchi wangekuelewa sana

Na ungefanya Yako ilo ndo LILIKUWA TAKWA LAKO,hatukukupigia kura ila kura ya Mungu ni kubwa sana kuliko ya mtu yoyote

Pendekezo;
Usiue upinzani
 
Akisemwa na wanasiasa wanapewa kesi ya uhaini, eg, ni Lissu
Akisemwa na wanaharakati wanakamatwa na kufanyiwa ukatili,
Akisemwa na viongozi wa Dini wanapigwa mfano kitima na yule mchungani wa Arusha aliyeingiliwa kinyume na TAKWA.
Sasa tuliko fikia Sasa tusubilie na mawe YASEME!
 
Hivi una udhibitisho kuwa mama ndio anawateka?
 
Kweli tunamengi ya kusema lkn achanen na Habari za watu wasiojulikana
 
Mbunge wa CCM kupitia jimbo la Kisesa nchini Tanzania, Luhaga Mpina ameonya kwamba taifa hilo halitaweza kuzimaliza changamoto zinazolikabili kwa kuongea kwa lele mama na kutokuambizana ukweli. Amesema hakuna kiongozi mwenye kinga ya kutokukosolewa.

"Hata mahala palipoharibika, mnapongezana. Watu wanatekwa, nyinyi mnapongezana. wananchi wanatekwa.. anatekwa mwananchi wa kwanza, anatekwa wa pili, wa tatu, anatekwa mwananchi wa 80, bado waziri wa mambo ya ndani yuko ofisini!!" alihoji Mpina

Amesema taifa linawezaje kuwa na waziri anayejulikana, halafu anayeleta madhara hajulikani? "Inawezekanaje kuwa na wizara ya mambo ya ndani ambayo kazi yake ni kushughulika na wahalifu, halafu wahalifu hao wakavalishwa jina "wasiojulikana Ni lazima kama taifa tuwe na hasira na mambo yasiyo ya kawaida."

"Waliompiga Fr. Kitima tena kwenye makaazi ya maaskofu hadi leo hawajulikani.. halafu waziri yule bado yupo.. IGP bado yupo, vyombo vya dola vyote vipo na wananchi wengine wanaolia kwa ndugu zao kutekwa na kuumizwa nao wanaendelea kulia. Halafu inafika mahala tunaanza kuzungumza kwa kubembelezana kwa kuhofia watu kupoteza ajira au kutekwa."

Amesema haiwekani kuwa na taifa la namna hiyo na kwamba ni lazima viongozi wanaohusika wajirekebishe au waachie ngazi kama wameshindwa kusimamia mustakabali wa amani ndani ya nchi, huku akionya tabia ya kushabikia mambo mabaya huku lawama zikiwaangukia wanaolaani visa vye utekaji na watekaji wakiendelea kupongezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…