ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,786
- 3,283
Uchaguzi upo hata mfanyeje.No Reforms, No Election.
Acha uhuniView attachment 3359057
"Hili Nimelipokea". Alisikika Chura huyo mwenye roho ya kumwaga damu za wanaomkosoa
Tulieni basi jamani, Mama yetu Dkt Samia anapendwa sana Tanzania na watanzania. Kila nchi inatamani awe rais waoYaan awamu hii hakuna wakumpongezaa n tutamwandamaa na tuonee km atauwaa wa Tz wotee .
ALAFU SS HV HABARI YA MJINI NIIIII....👇View attachment 3359061
Tupo sisi chawa wa Mama kazi yetu kuweka mambo sawaNo reform no Election
Jitu zima chawa🚮
Nitakugonga dislikeHumu Jamii Forum inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasomo machawa kwa machawa.
Mbo gani mmeweka sawa zaidi ya kujipendekeza kama wangese tu🚮Tupo sisi chawa wa Mama kazi yetu kuweka mambo sawa
Tulieni basi jamani, Mama yetu Dkt Samia anapendwa sana Tanzania na watanzania. Kila nchi inatamani awe rais wao
Ndiyo!!!Hoja dhaifu ya mtu anayekaribia kukata roho..
Kwahyo hao wananchi wa social media siyo binadamu ni maroboti hawakai mtaan?
Mpk useme wananchi wa kweli wako mtaan?
No Reforms, No Election.Uchaguzi upo hata mfanyeje.
Wanasema mitano tenaFuatilia mitaani yanayoendelea kwenye mitandao uone wanasema nini
UtaelewaWanasema mitano tena
😆😆😆😆😆😆Leo pumba na mashudu umepumzisha. Naunga mkono hoja
Sina bifu naye huyu bwege ,huwa namrekebisha tu , sina baya naye.Hivi bifu lenu lilikuja kuisha? 😂😂😂
➡️ Hata saa mbovu kuna wakati huwa inasema ukweli 😂😂😂🖐
Sina bifu naye huyu bwege ,huwa namrekebisha tu , sina baya naye.