Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Unatafuta maoni ili utafute wa kuteka siyo????
Unataka maoni yoyote au unalengo kupata maoni has ili upate watu wa kuwateka???
 
1) Mwachie mh Tundu Lissu

2) Kamata wote waliohusika na utekaji na Mambo mengine ya kikatili kwa Wanaharakati wa kisiasa inchini Kisha wafikishwe mahakamani ususani yule askali aliye onekana akipiga mtu Kama mnyama pale mahakamani

3)gwajima apewe cheo KINACHO fanana na uzalendo wake kwa inchi yake badara ya kumfungia huduma zake za kiroho

4)vunja tume ya uchaguzi iliyopo na kuunda tume mpya itakayo endana na mazingira yaliyopo Sasa

6) wekeza akili yako kuwaskiliza wanainchi na kutatua kero zao kwa wakati badara ya kuwa sikiliza washauri wako kwani wanankudanganya hawakwambii ukweli na uharisia wa Mambo yalivyo mitaani

Kwa mazingira yalivyo Sasa Nina Imani unaweza kufanya hayo yote na ukabaki madarakani kwani nje na hayo chama kina mbinu nyingi za ushindi za kimkakati

Lakini kinyume na hapo Hali inaweza kuwa mbaya zaidi tuendapo
 

Attachments

  • 1749220209383.jpg
    377.3 KB · Views: 24
Duh ww jamaa, ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kumlaumu JPM
 
Inaondoa umasikini kwa watu? hizo stendi huko Mwanza, Singida na kwingineko zimeondoa poverty?
Kwako kinachoondoa umaskini ni nini?

By the way hiyo ni miundombinu ya Uchumi na burudani au nyenzo za kuondolea umaskini kama Barabara,umeme nk.
 
NO REFORMS, NO ELECTION!
 
Ruling hii maana yake, Mahakama inasema ,Kanisa la The Glory of Christ Tanzania Church hamna Mahali limefungiwa, Wala Kufutwa, Kwa sababu Barua ilosambazwa mitandaoni SIO Barua ilioelekezwa kwenye Kanisa la The Glory of Christ Tanzania Church ".
 
Subscribe

National​




JP Magufuli Bridge: More than just infrastructure, catalyst for economic transformation​

Monday, June 16, 2025

JP Magufuli Bridge set to redefine connectivity across Lake Victoria


By The Citizen Reporter
Media/news company
Mwananchi Communications Limited

What you need to know:​

  • The 3.2-kilometre structure is now fully complete and scheduled for official inauguration by President Samia Suluhu Hassan on June 19, 2025.
  • The JP Magufuli Bridge is now officially the longest bridge in East and Central Africa—and the sixth longest on the African continent.
Mwanza. As Tanzania continues to invest in transformative infrastructure projects, one stands out for its strategic significance and symbolic weight: the JP Magufuli Bridge also known as the Kigongo-Busisi Bridge.
The 3.2-kilometre structure is now fully complete and scheduled for official inauguration by President Samia Suluhu Hassan on June 19, 2025.
The bridge—renamed in honour of Tanzania’s fifth President, the late Dr John Pombe Magufuli—is not just a monumental engineering feat; it is a lasting tribute to a leader whose vision for local infrastructure has shaped the country's development trajectory.

Related​

  • President Samia to inaugurate Magufuli Bridge in next month​

    National Apr 15
  • Tanzania completes construction of East Africa's longest bridge​

    National May 23
After Magufuli’s passing in 2021, there were concerns the project might stall. Instead, it gained renewed momentum under President Samia’s administration, which prioritised the continuation and completion of all key development projects.

The result is a landmark connection across Lake Victoria, linking the Mwanza and Geita regions and opening up new frontiers in transportation, trade, and regional integration.
Rooted in history and vision
The late President Magufuli held a personal connection to the Kigongo-Busisi crossing. On a visit in December 2020, he recounted how, years earlier—before his rise to the presidency—he faced a harrowing delay while attempting to return from a traditional engagement ceremony.
“Back then, I was traveling on my XL125 Honda motorbike,” he recalled. “The ferry broke down—something that happened often. I considered crossing in a canoe but decided against it. Later, I learned the same canoe had capsized, killing 11 people. That memory stayed with me.”
That experience, he said, shaped his commitment to ensuring safer, more reliable crossings for Tanzanians. It was a promise he pursued first as Minister for Works, and later as President.
Samia delivers on the dream
When President Samia took office in 2021, the bridge’s construction stood at just 25 percent. Her administration swiftly made it a flagship priority.
Today, the bridge is ready for public use, thanks to accelerated round-the-clock construction efforts supported fully by government funding—amounting to Sh716.3 billion.

Once inaugurated, the bridge will serve as a critical link on the Usagara–Sengerema–Geita highway, replacing a decades-old ferry route and enabling faster, more efficient travel within the Lake Zone.
A continental record-setter
The JP Magufuli Bridge is now officially the longest bridge in East and Central Africa—and the sixth longest on the African continent. This ranking was confirmed by the Tanroads board during an inspection led by its chairman, Mr Joseph Haule.
Topping the list of Africa’s longest bridges is Egypt’s 6th October Bridge (20.5km), followed by Nigeria’s Third Mainland Bridge (11.8km), Egypt’s Suez Canal Bridge (3.9km), Mozambique’s Island Bridge (3.8km), and the Dona Ana Bridge (3.67km).
The JP Magufuli Bridge follows closely, cementing Tanzania’s place on the continent’s infrastructure map.
Unlocking economic potential
Beyond its engineering acclaim, the bridge is expected to be a game-changer for the region’s economy.
By replacing the Kigongo-Busisi ferry—which currently handles about 1,600 vehicles and over 2,000 passengers daily—the bridge will slash transport costs by an estimated 25 to 30 percent.

Travel times between Mwanza and Geita will shrink from more than two hours to just minutes, boosting mobility for traders, workers, and residents.
The benefits extend beyond convenience. The bridge is expected to stimulate interregional trade—especially in gold, cotton, and fish—linking Geita’s productive sectors to Mwanza’s commercial markets. The World Bank estimates that trade volumes in the region could rise by over 40 percent within five years of the bridge’s commissioning.
Moreover, more than 700 Tanzanians—most of them youth—were employed during construction, gaining valuable technical skills. A 2022 report by the National Development Corporation (NDC) projects over 5,000 direct and indirect jobs to be generated through new businesses emerging around the bridge area, such as restaurants, transport services, and retail trade.
Tourism is another expected beneficiary. Lake Victoria remains one of Tanzania’s top natural attractions, and improved road access is expected to increase tourism traffic to Mwanza and surrounding destinations.
According to the Tanzania Tourist Board (TTB), tourist arrivals in the Lake Zone rose by 10 percent in 2022, with projections of a further 20 percent increase following the bridge’s opening.
A boost for local expertise
Minister for Works, Mr Abdallah Ulega, commended both the Chinese contractor China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) and the Tanzanian engineers who participated in the project from inception to completion.

He noted that local professionals played a central role in the bridge’s success—an experience that will be pivotal in future national projects.
“One example is Engineer Katelula Kaswaga, who has been part of this project from the start and is now overseeing similar bridges in Simiyu and Pangani. We are proud of the capacity our engineers have developed,” said the minister.
The government, he added, is increasingly confident in assigning large-scale infrastructure projects to local contractors and experts, thereby reducing dependency on foreign firms and building long-term national capability.
A national asset for generations
As Tanzania prepares to unveil the JP Magufuli Bridge, the occasion marks more than the completion of a high-profile project.
It is a statement of continuity, ambition, and unity—a testament to what the country can achieve through sustained political will, local talent, and strategic investment.
Indeed, the bridge is not just a structure connecting Kigongo and Busisi. It is a gateway to shared prosperity—and a lasting tribute to a president whose legacy continues to shape the nation’s future.
 
SIjui kama mama anaelewa lakini ila sababu namba moja iliyofanya watu tuluokuwa tunamdoubt mwanzoni but now tuko upande wake ni kwamba hajateleza kutoka kwa mstari wa mzee Magufuli.

Watu waelewe. Sisi sio waabudu wafu. Magufuli alishakufa, hayupo tena. Ila Tanzania ipo hai. Watu tunakufa lakini watoto na wajukuu na vitukuu vyetu wataishi. Nchi kwa ujumla na watoto na wajukuu na vitukuu na vilembwe vyetu. n.k.

Sifa namba moja ya Magufuli ilikuwa kuitazama nchi na si yeye binafsi. Mama aliporithi madarakani niliogopa sana. Nilihofia sana kama angeweza kwenda nje ya umama wake na kujitizama si tu kama mama wa familia yake bali kama mama wa taifa.

Kwa miaka minne ya urais wake naweza kusema mama hajaniangusha. Kuna minong'ono inaendelea kwamba kuna ujinga na upuuzi unafanyika kwa taasisi za serikali, rushwa rushwa na uzembe uzembe, na baadhi ya dalili za rushwa nimezishudia mimi mwenyewe, ila kwa wastani hivi virushwa rushwa na ujinga ujinga wa hawa watu wa chini si tuna uwezo wa kudil nao tu. Upo ndani ya uwezo wetu.

Tunamtaka rais mwenye uwezo wa kutoa direction ya nchi kwa miaka mitano, kumi, zaidi.

Tunamtaka raisi wa mega projects za nchi, sio tu rais wa kudeal na misiba ya wasanii, kusuluhisha migogoro ya Simba na Yanga tu.

Tunamtaka rais atakayeibadili Tanzania kuwa an economic power house of Africa.

Tunamtaka rais atakayeifanya Tanzania irushe satellite yake angani.

Kuna mambo makubwa tunataka rais wa Tanzania afanye; itoshe tu kusema hujaniangusha sana baada ya Magufuli.

Sishangai sana kuona chama chamo kimekuona unafaa kwa miaka mitano ijayo. Unavumilika sana tu hujaharibu kwa kweli.
 
Hongera sana kwa Kazi nzuri Mh. Rais.
Mimi binafsi nakupongeza sana kwa kumaliza matatizo yote yaliyokuwepo kwa Watumishi wa umma Niseme tu Mh. Rais Samia kila sekta ameigusa vyema kimaendeleo.

Ombi Mh. RAIS.

Tunaomba utuondolee kigezo Cha PEPMIS kwa Watumishi wa umma ili kupanda daraja kwa mwaka huu wa 2025, kwasabu Watumishi waliowengi wapo chini ya score ya 60 kwa makosa ya ma-supervisor wao kwa kushindwa kuwapima na kuwawekea score zilizotakiwa ziwekwe na wao ili kukamilisha upimaji wa utendaji, nadhani ni ugeni wa mifumo.

Ninakutakia kazi njema Mh. Rais
Mungu akubariki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…