Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Huwezi amini ila huo ndio ukweli, Katika muda wake wa utawala Samia ameruhusu kuagizwa Japani Magari V8 ya trilion 17 na million 300 na kuvunja record za Magufuri,Mkapa na Kikwete combined. Hizo ni V8 pekee ni nje ya nagari mengine haya ya kawaida.

Mwaka jana na Mwaka huu pekee zimeagizwa gari V8 za trilion 8 na million 600, Kwa mwaka huu wa 2025 mpaka sasa Serikali imeisha nunua V8 za trilion 6.5 na kuwa mwaka ambao V8 zimeagizwa nyingi sana.Fikiria ndani ya mwaka mmoja hata nusu haijafika tiyali V8 za trilio 6.5 zimeisha nunuliwa.

Nimenyetishwa na mtu wa jikoni kwamba Mama ni Mlevi wa haya magari ya V8 mtakumbuka alisha wahi zunguzmia hii swala la haya magari.

Trilion 11.7 mnao jiuliza mikopo inaenda wapi, huko ndiko inako elekea kwenye anasa. Sasa kutana na Wale wimu choka mbaya ambai utasikia wanamchangia Samia pesa za fomu,Wao wanaishi kwa mikopo then wanajichanga kumchukulia mtu ambaye anaishi levo za wakina Marie Antoneita wa King Luis.

Humu kuna wengine wanashinda wanasifia ilihali wenzao wanakula haswaa.

No reform no Election
 
Kuna Muda kulikuwa na wazo kuwa wafanyakazi wa serikali wajinunulie magari....kumbe tulikuwa tunatumiwa ujumbe Bahati mbaya hatukuulewa ...kwa sababu ya Simba na Yanga.
 
Kama ambavyo Rais Magufuli alivyokua analala na mafaili kitandani ndivyo ambavyo Rais Samia nae anachapa kazi akiwa popote.
 

Attachments

  • Screenshot_20250626_172213_Instagram.jpg
    118.6 KB · Views: 21
Tangu mwaka 2021 Rais Samia alipoingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi.

Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS16.7Trilioni ikiwa ni pamoja na dhahabu tani 6.7 yenye thamani ya TZS2TRILIONI zinaifanya Reserve ya Tanzania kuwa na thamani ya TZS18.7 ~ TZS19TRILIONI.

Wakati mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn pekee sawa na TZS12Trilioni.
 
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI BOT, YAFIKIA TZS19TRILIONI, HAIJAPATA KUFIKIWA!
Huyu mama yenu ni zuzumagic. Madeni hataki tuyaseme kwa shillings ila tuyaseme in terms of USD ili tuonekane tunadaiwa fedha kiduchu.

Akiba yetu ambayo Iko in terms of USD anataka tuitaje kwa shillings ili tuonekane tuna akiba kubwa... Huu ni upungufu wa akili ambazo mataahira wa kutoka CHAMA CHA MAZEZETA pekee wataona ni jambo la akili sana
 
Source?????😳
 
Sasa wewe Mtanzania unalazimisha uonekane Mmarekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…