Unaona anaweza akawa anajua hata urais ni nini? Sidhani. Wanampa kazi kubwa sana ambayo ni juu ya uwezo wake. Endeleeni kumuombea angalau angalau awe na uelewa kidogo.
Nchi imekuwa kama nyumba isiyo na mwenyewe.Unaona anaweza akawa anajua hata urais ni nini? Sidhani. Wanampa kazi kubwa sana ambayo ni juu ya uwezo wake. Endeleeni kumuombea angalau angalau awe na uelewa kidogo.
Unadhani nini kilimfanya ashindwe kutimiza ndoto zake?Air Tanzania wangemuona leo tusingekuwa tunamjadili hapa.
Air Tanzania wangemuona leo tusingekuwa tunamjadili hapa.
Uwezo mdogoUnadhani nini kilimfanya ashindwe kutimiza ndoto zake?
Nchi imekuwa kama nyumba isiyo na mwenyewe.
Naona kiongozi shupavu mwenye unyenyekevu mkubwa na master planner mkubwaUnaona anaweza akawa anajua hata urais ni nini? Sidhani. Wanampa kazi kubwa sana ambayo ni juu ya uwezo wake. Endeleeni kumuombea angalau angalau awe na uelewa kidogo.
alitukosea sanamKuu wa majeshi hovyo sana.
Heshima kitu cha bure! Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!Unaona anaweza akawa anajua hata urais ni nini? Sidhani. Wanampa kazi kubwa sana ambayo ni juu ya uwezo wake. Endeleeni kumuombea angalau angalau awe na uelewa kidogo.
Mueleze ukweli ili aponye nafsi yake na taifa.Hizo nyuzi zako za "heshima" ni kwa sababu unatumia utambulisho halisi Vinginevyo...sijui!
Dunia Ina maajabu huwezi sema hivyo kwa hakika.Air Tanzania wangemuona leo tusingekuwa tunamjadili hapa.
Yule kibaka Grace wangemchekea kidogo tu,Wazimbabwe wangekiona cha moto.Dunia Ina maajabu huwezi sema hivyo kwa hakika.
Grace Mugabe muhudumu wa ndege, baadaye mke wa raisi bado kidogo awe raisi wa Zimbabwe.
Basi nchi tutampa mumeo!!Unaona anaweza akawa anajua hata urais ni nini? Sidhani. Wanampa kazi kubwa sana ambayo ni juu ya uwezo wake. Endeleeni kumuombea angalau angalau awe na uelewa kidogo.
Kwa nini haumpendekezi mumeo kwanza.Huwa anakunyanyasa?Basi nchi tutampa mumeo!!