Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

SektaHudumaThamani 2025Maelezo ya Ziada
ElimuBajeti ya elimu bila adaBil. 37.75Kuongezeka ikilinganishwa na 2020
ElimuIdadi ya shule za msingi611Ilikuwa 513 mwaka 2020
ElimuIdadi ya shule za sekondari197Ilikuwa 167 mwaka 2020
ElimuVyumba vya madarasa shule za msingi5,802Ongezeko kutoka 4,676 mwaka 2020
ElimuVyumba vya madarasa shule za sekondari2,599Ongezeko kutoka 1,684 mwaka 2020
ElimuShule mpya za bweni2Simiyu Girls na Amali; ujenzi wa Shule ya Bweni ya wavulana unaendelea
ElimuVyuo vya VETA vinavyojengwa4VETA Mkoa, VETA Busega, VETA Maswa, VETA Meatu

Katika sekta ya elimu, Mkoa wa Simiyu umeongeza bajeti ya elimu bila ada hadi Shilingi bilioni 37.75 mwaka 2025, kutoka bilioni 6.81 mwaka 2020. Idadi ya shule za msingi imefikia 611 ikilinganishwa na 513 mwaka 2020, huku shule za sekondari zikiongezeka hadi 197 kutoka 167.

Vyumba vya madarasa katika shule za msingi vimeongezeka hadi 5,802 kutoka 4,676, na katika sekondari kufikia 2,599 kutoka 1,684. Aidha, zimejengwa shule mbili mpya za bweniSimiyu Girls na Amali—na ujenzi wa shule ya bweni ya wavulana unaendelea.

Vilevile, vyuo vya ufundi stadi (VETA) vinne vinajengwa, vikiwemo VETA Mkoa, VETA Busega, VETA Maswa na VETA Meatu.​
 
AwamuShughuli20202025Maelezo ya Ziada
Chini ya Rais SamiaVituo vya usambazaji mbolea za ruzuku032Ongezeko kubwa la upatikanaji
Chini ya Rais SamiaMawakala wa usambazaji mbolea425Ongezeko la usambazaji
Chini ya Rais SamiaMatumizi ya mbolea za ruzuku (tani)277.60805.72Kuongezeka zaidi ya mara mbili
Chini ya Rais SamiaPikipiki kwa maafisa ugani-173Vitendea kazi vya ugani
Chini ya Rais SamiaMatrekta-201
Chini ya Rais SamiaBaiskeli-850
Chini ya Rais SamiaNdege nyuki-32
Chini ya Rais SamiaBoom sprayers-76
Chini ya Rais SamiaVipima udongo-6
Chini ya Rais SamiaMaafisa ugani wa mkataba (BBT)-409Pia wamepewa vishikwambi 173
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa mahindi na mpunga (tani)421,451.51,176,477Ongezeko kubwa
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa pamba mbegu (tani)64,594140,000Sekta kuu ya kilimo cha biashara
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa pamba hai (tani)10,30012,285Nafasi ya 5 kitaifa
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa alizeti (Tani)52,000106,000
Chini ya Rais SamiaKiwanda cha Sola Ginnery-1Kimefufuliwa kwa bil. 4.0 kupitia TADB
Chini ya Rais SamiaPikipiki kwa maafisa ushirika-6Zimetolewa kwa halmashauri 6
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa nafaka jumla (tani)-1,170,000Mahitaji: 642,149.1 – utoshelevu
==
Akizungumza na Wanahabari mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe Anamringi Macha Sekta ya kilimo imeimarika kwa kuongeza vituo vya usambazaji wa mbolea za ruzuku kutoka 0 mwaka 2020 hadi 32 mwaka 2025, na mawakala kutoka 4 mwaka 2022 hadi 25, matumizi yakipanda kutoka tani 277.60 mwaka 2020 hadi tani 805.72 mwaka 2025.

Huduma za ugani zimeboreshwa kwa pikipiki 173, matrekta 201, baiskeli 850, ndege nyuki 32, boom sprayers 76, vipima udongo 6, na ajira za maafisa 409 wa BBT waliopatiwa vishikwambi 173.

Uzalishaji umeongezeka: mahindi na mpunga kutoka tani 421,451.5 mwaka 2020 hadi tani 1,176,477 mwaka 2025, pamba mbegu kutoka tani 64,594 hadi tani 140,000, pamba hai kutoka tani 10,300 mwaka 2021/22 hadi tani 12,285 mwaka 2022/23, na alizeti kutoka tani 52,000 hadi tani 106,000 mwaka 2024.

Kiwanda cha Sola Ginnery kimefufuliwa kwa shilingi bilioni 4 kupitia TADB, maafisa ushirika 6 wamepewa pikipiki, na uzalishaji wa nafaka tani milioni 1.17 unazidi mahitaji ya tani 642,149.1, hivyo mkoa una utoshelevu wa chakula.​
 
AwamuKipimo20202025Maelezo ya Ziada
Chini ya Rais SamiaVituo vya usambazaji mbolea za ruzuku032Ongezeko kubwa la upatikanaji
Chini ya Rais SamiaMawakala wa usambazaji mbolea425Ongezeko la usambazaji
Chini ya Rais SamiaMatumizi ya mbolea za ruzuku (tani)277.60805.72Kuongezeka zaidi ya mara mbili
Chini ya Rais SamiaPikipiki kwa maafisa ugani-173Vitendea kazi vya ugani
Chini ya Rais SamiaMatrekta-201
Chini ya Rais SamiaBaiskeli-850
Chini ya Rais SamiaNdege nyuki-32
Chini ya Rais SamiaBoom sprayers-76
Chini ya Rais SamiaVipima udongo-6
Chini ya Rais SamiaMaafisa ugani wa mkataba (BBT)-409Pia wamepewa vishikwambi 173
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa mahindi na mpunga (tani)421,451.51,176,477Ongezeko kubwa
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa pamba mbegu (tani)64,594140,000Sekta kuu ya kilimo cha biashara
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa pamba hai (tani)10,300 (2021/22)12,285Nafasi ya 5 kitaifa
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa alizeti (tani)52,000106,000
Chini ya Rais SamiaKiwanda cha Sola Ginnery-1Kimefufuliwa kwa bil. 4.0 kupitia TADB
Chini ya Rais SamiaPikipiki kwa maafisa ushirika-6Zimetolewa kwa halmashauri 6
Chini ya Rais SamiaUzalishaji wa nafaka jumla (tani)421,451.51,176,477Mahitaji: 642,149.1 – utoshelevu
 
Kwahiyo 2020 uzwlishaji wa nafaka ulikuwa 0
Ka edit tena taarifa
 
Sawa
 
Hongera kama sio takwimu za kupika tuu maana wasomi wanasema namba hazidanganyi.
 
chini ya Rais Samia,

tanzania inashika nafasi 2 kwa kuzalishaji wa korosho Africa
tanzania iinashika nafasi ya 2 kwa uzalishaji wa mbaazi Duniani
tanzania inashika nafasi ya 1 Africa Mashariki kwa hifadhi ya chakula
 
Mambo yamebadilika sn now days… mtoa mada kila akipitia Andiko lake analia sn, na wakumfuta machozi hayupo…. 😒😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…