Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ukweli! Hakuna siku Watanzania watafurahi kama siku Samia akiondoka kwa njia yeyote. Huo ndiyo ukweli
 
Bila Shaka wapo waliokuwa wamejipanga kuona hotuba ya Rais Samia kwa wazee wa Dar es salaam inapuuziwa.
Walifanya hivi kwa kuibua mijadala hasi siku ya juzi.
Pengine walijua itakuwa ni hotuba bora ya muda wote.
Lakini kwa kudra za Mwenyezi Mungu mhe.Rais ame-deliver kwenye hotuba yake ile kiroho safi ...

Hongera zake x 100
 
 
Nakazia
 
Tuna subiri mkitoka ofisini kwenu kwa abduli mikocheni na vifaa mlivyopewa na zahoro simu za zamani kutengeneza hoja kesho mnakuja na msigwa kama tambala
 
Tuna subiri mkitoka ofisini kwenu kwa abduli mikocheni na vifaa mlivyopewa na zahoro simu za zamani kutengeneza hoja kesho mnakuja na msigwa kama tambala
jadili hoja
 
Tuna subiri mkitoka ofisini kwenu kwa abduli mikocheni na vifaa mlivyopewa na zahoro simu za zamani kutengeneza hoja kesho mnakuja na msigwa kama tambala
jadili hoja
IP yako tunajua ila ni kosa hapa acha ujinga
 
Tuna subiri mkitoka ofisini kwenu kwa abduli mikocheni na vifaa mlivyopewa na zahoro simu za zamani kutengeneza hoja kesho mnakuja na msigwa kama tambala

IP yako tunajua ila ni kosa hapa acha ujinga
nashukuru unatambua ni kosa!Kwa nini usijikite kwenye kujibu hoja kwa hoja?kufuatilia IP yangu inamaanisha unataka nisitoe maoni huru
 
Binafsi nliisubiri sana ijibu maswali yangu ila imenipa maswali zaidi nlivyoona body language yake nliacha tv on mkaenda kununua tangu sijui aliongelea nini
 
A dying presidency receives two types of intelligence reports:

• reports tailored to avoid angering the ruler

• reports tailored to protect the officers writing them.
 
Walioitwa wazee wa Dar karibia wote walikuwa wanaccm. Na wengi hawakumuelewa mhutubiaji!
Cha msingi ni kwamba ushahidi wa kesi za ICC umezidi kukolea!
Mwisho, tusomeshe watoto wetu elimu zinazoeleweka. Kama ni Doctor iwe ya ukweli badala ya ELIMU MBALIMBALI
 
Mtu afungue Uzi tupime hotuba ya jk ya malaria Kila siku miaka hiyo na hii ipi inauzito?ntakua wa kwanza kupiga kura
 
Huyo mbuzi aliisha puuzwa muda mrefu sana, walimpuuza ccm akajiteua, wakasema kavunja?

katiba ya chama akaweka kiraka ili awe mgombea, akajipitisha bado akapuuzwa kwenye sanduku la kura licha ya kuwa yuko peke yake.
Bado anapuuzwa, jana leo na kesho.

Uliisikia hutuma ya Kitima jana, alipita mule mule alimopita bi kidawa leo.

Kitima aliongea jana, angeongea leo mgesema TEC wana mjibu bi kidawa, kumbe wako mbele ya muda.

D9 tukamfungishe virago huyo awahi kwao.
 
Umeongea uku ukiogopa na kujipa ushujaa wa matumaini.
Kifupi CCM na KIKWETE wamekutupia zigo la mavi ,na wewe umekurupuka unaongea pumba na wazee wa dar es salaam,kifupi ni kwamba D9
Huyo mkunda na wambura watapiga U-TURN Kali sana hautokuja kuamini.
Yule Samuel doe wa Liberia ni wewe.
 
Script yao ni kulazimisha mtake msitake.

ccm iliisha kufa miaka mingi, lipo jina tu.

Hao mtandao watapukutika tu wana survive kwa kukalia madaraka, siku wakitoka wana kesi nyingi sana za uhaini.

Huyu naye muhaini anasubiri akitoka tu adakwe, yeye keshatoa ushahidi ni kufungwa na kunyongwa tu.
 
Niliwahi kusema na kumshauri mapema sanaa ameingizwa chaka na ameingia....Hamalizi miaka mitano hapo watamtoa kwenye hicho kiti....
 
Mtu amewapa kesi za uhaini watoto miaka 13, ameuwa vijana wengi, ameiba uchaguzi amefunga upinzani alafu mtu anadai heti samia anachafuliwa ?

Katika mazingira haya Anajichafua mwenyewe
 
Binafsi Mimi ningemshauri Kama sio msomi yangu kuanzia tarehe 29 Oktober adi Leo kwanza ile siku maandamo hayakuepo mpaka saa nne na ile namm nilikua mtaani so kilichoendelea nilikiona tukianza na hoja ya waandamoji Kama mnavyowaita but wale walikuwa wanavurugu waliokua na Ambition zao binafsi waliokua hawajui wanataka na wafanye nini Michezo wadai watu kuuwawa ni kweli watu waliuwawa pili watu walifwatwa majumban kwao na kupigwa Risasi lakini katika hilo inaonesha kwa mtazamo WA macho wale

Askari hawakua na utambuzi WA kujua huyu ni mhandamaji au Raia WA kawaida na waandamoji wanavyodai walikua sio Raia WA Tanzania Pia Nilirudi kwenye serikali inasema watu walilipwa so Mimi kwa maoni ya naweza kukubbali Kuna watu walipewa pesa baadhi but katika kundi ilo wakaingizwa WA Tanzania hawakua wanufaika positively but Negative kwasababu ya Mobsychology na peer pressure but nimekua apa Tanzania

Na nimeshuhudia maandamo mengi ndani na nje Hao wanajiita Activists sikumuona ata mmoja wa ndani na nje ya nchi ambae alikua na waandamoji kwann kwamba Awadeserve KUANDAMANA au vp nimemuona mbowe mara kibao akikamatwa na police kwa kuongoza waandamaji na alikua antokea eneo la tukio kwann Hao wanajiita Representative wa GENZ hawakutokea hapo inanipa mashaka kua kwa Moja Amna nyingine Kuna upigaji na tunatumiwa kukidhi maslahi ya watu Binafsi kabla ya kuja kwenye maridhiano Mama anatakiwa kukubbali kwa yote yalitokea Oktober 29 na katika Maridhiano Mama Alitakiwa kuwaita Vijana na sio wazee kwa sababu Moja ya kutatua kupitia chanzo na Mwisho Tanzania hatujafikia muda kuimiri vita ata siku Moja ile siku nyanya iliuzwa 2k Nan mtanzania ataweza hayo maisha na maana Hali zetu sisi watanzania tunajuana Hali zetu.

MWISHO katika yale maandamo waongozaji hawakua watanzania kwa sababu Moja ilikua mara ya kwanza kutokea kilichotokea but Maji hayaachi asili maji asili yake ni kutulia Mtanzania ambae hajawahai kushuhudia mtu akifa mbele yake imetokea na Bado akawa mbele Risasi zinalia na Bado anasonga mbele watanzania walijumuhika but wengi ndowamepata maswahibu.Ningemaliza kwa kukuambia kua mama mwanzoni ulifanya kazi ambayo ata wapinzan waliikubali so naomba iwe ivo adi 2030 na hawaachie wote walichukuliwa na kuripotiwa na polisi kuwa wako nao.🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…