Huu mtihani! Mangumi na makarateBinafsi Mimi ningemshauri Kama sio msomi yangu kuanzia tarehe 29 Oktober adi Leo kwanza ile siku maandamo hayakuepo mpaka saa nne na ile namm nilikua mtaani so kilichoendelea nilikiona tukianza na hoja ya waandamoji Kama mnavyowaita but wale walikuwa wanavurugu waliokua na Ambition zao binafsi waliokua hawajui wanataka na wafanye nini Michezo wadai watu kuuwawa ni kweli watu waliuwawa pili watu walifwatwa majumban kwao na kupigwa Risasi lakini katika hilo inaonesha kwa mtazamo WA macho wale
Askari hawakua na utambuzi WA kujua huyu ni mhandamaji au Raia WA kawaida na waandamoji wanavyodai walikua sio Raia WA Tanzania Pia Nilirudi kwenye serikali inasema watu walilipwa so Mimi kwa maoni ya naweza kukubbali Kuna watu walipewa pesa baadhi but katika kundi ilo wakaingizwa WA Tanzania hawakua wanufaika positively but Negative kwasababu ya Mobsychology na peer pressure but nimekua apa Tanzania
Na nimeshuhudia maandamo mengi ndani na nje Hao wanajiita Activists sikumuona ata mmoja wa ndani na nje ya nchi ambae alikua na waandamoji kwann kwamba Awadeserve KUANDAMANA au vp nimemuona mbowe mara kibao akikamatwa na police kwa kuongoza waandamaji na alikua antokea eneo la tukio kwann Hao wanajiita Representative wa GENZ hawakutokea hapo inanipa mashaka kua kwa Moja Amna nyingine Kuna upigaji na tunatumiwa kukidhi maslahi ya watu Binafsi kabla ya kuja kwenye maridhiano Mama anatakiwa kukubbali kwa yote yalitokea Oktober 29 na katika Maridhiano Mama Alitakiwa kuwaita Vijana na sio wazee kwa sababu Moja ya kutatua kupitia chanzo na Mwisho Tanzania hatujafikia muda kuimiri vita ata siku Moja ile siku nyanya iliuzwa 2k Nan mtanzania ataweza hayo maisha na maana Hali zetu sisi watanzania tunajuana Hali zetu.
MWISHO katika yale maandamo waongozaji hawakua watanzania kwa sababu Moja ilikua mara ya kwanza kutokea kilichotokea but Maji hayaachi asili maji asili yake ni kutulia Mtanzania ambae hajawahai kushuhudia mtu akifa mbele yake imetokea na Bado akawa mbele Risasi zinalia na Bado anasonga mbele watanzania walijumuhika but wengi ndowamepata maswahibu.Ningemaliza kwa kukuambia kua mama mwanzoni ulifanya kazi ambayo ata wapinzan waliikubali so naomba iwe ivo adi 2030 na hawaachie wote walichukuliwa na kuripotiwa na polisi kuwa wako nao.🙏
Nitamshauri kile ambacho wasaidizi wake wanaogopa kumwambiaBinafsi Mimi ningemshauri Kama sio msomi yangu kuanzia tarehe 29 Oktober adi Leo kwanza ile siku maandamo hayakuepo mpaka saa nne na ile namm nilikua mtaani so kilichoendelea nilikiona tukianza na hoja ya waandamoji Kama mnavyowaita but wale walikuwa wanavurugu waliokua na Ambition zao binafsi waliokua hawajui wanataka na wafanye nini Michezo wadai watu kuuwawa ni kweli watu waliuwawa pili watu walifwatwa majumban kwao na kupigwa Risasi lakini katika hilo inaonesha kwa mtazamo WA macho wale
Askari hawakua na utambuzi WA kujua huyu ni mhandamaji au Raia WA kawaida na waandamoji wanavyodai walikua sio Raia WA Tanzania Pia Nilirudi kwenye serikali inasema watu walilipwa so Mimi kwa maoni ya naweza kukubbali Kuna watu walipewa pesa baadhi but katika kundi ilo wakaingizwa WA Tanzania hawakua wanufaika positively but Negative kwasababu ya Mobsychology na peer pressure but nimekua apa Tanzania
Na nimeshuhudia maandamo mengi ndani na nje Hao wanajiita Activists sikumuona ata mmoja wa ndani na nje ya nchi ambae alikua na waandamoji kwann kwamba Awadeserve KUANDAMANA au vp nimemuona mbowe mara kibao akikamatwa na police kwa kuongoza waandamaji na alikua antokea eneo la tukio kwann Hao wanajiita Representative wa GENZ hawakutokea hapo inanipa mashaka kua kwa Moja Amna nyingine Kuna upigaji na tunatumiwa kukidhi maslahi ya watu Binafsi kabla ya kuja kwenye maridhiano Mama anatakiwa kukubbali kwa yote yalitokea Oktober 29 na katika Maridhiano Mama Alitakiwa kuwaita Vijana na sio wazee kwa sababu Moja ya kutatua kupitia chanzo na Mwisho Tanzania hatujafikia muda kuimiri vita ata siku Moja ile siku nyanya iliuzwa 2k Nan mtanzania ataweza hayo maisha na maana Hali zetu sisi watanzania tunajuana Hali zetu.
MWISHO katika yale maandamo waongozaji hawakua watanzania kwa sababu Moja ilikua mara ya kwanza kutokea kilichotokea but Maji hayaachi asili maji asili yake ni kutulia Mtanzania ambae hajawahai kushuhudia mtu akifa mbele yake imetokea na Bado akawa mbele Risasi zinalia na Bado anasonga mbele watanzania walijumuhika but wengi ndowamepata maswahibu.Ningemaliza kwa kukuambia kua mama mwanzoni ulifanya kazi ambayo ata wapinzan waliikubali so naomba iwe ivo adi 2030 na hawaachie wote walichukuliwa na kuripotiwa na polisi kuwa wako nao.🙏
Magufuli ndio muasisi wa huu ukatili. Acha kuchengesha maneno.Binafsi siuoni UBAYA WA raisi Samia, ila nauona UBAYA WA matendo ya OVYO yaliyoasisiwa na Jakaya, mwishowe Magufuli alivyotaka kupambana nayo wakamla kichwa
Leo hii ukosefu wa haki ulianza enzi za Jakaya yeye alikuwa Mzee wa kicheko kisicho Cha Haki kamwe.
Mama amerisi maujinga Sasa yanamnyima usingizi, amerithi ukumbatiaji WA majizi ambayo yalikuwa mengi