Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Huyo muuaji hata sasa hivi hatakiwi kuwa Rais
 
Dah!!! ,unauhakika kuwa wewe ni mtanzania mwenye akili timamu.
Au Tayari zishakwepana kichwani?
 
Ulishuhudia nini huko kinachofanya uone anafaa? Acheni uchawa na muanze kufikiria kwa kutumia ubongo
 
Ndugu mdau,
wazo na pendekezo lako ni zito na muhimu sana kwa maslahi mapana ya taifa letu.

well done.

naunga mkono hoja 100 kwa 100
 
Unganisheni mataqo yenu Wanaccm muwe na nchi ambayo atawaongoza mpka 2040.nyanoko
 
Rais Samiah arudi kwenye mstari aitii katiba aliyoitumia kuapa.Asipende ushauri wa akina Kagame,Museven,Ruto na Putin nchi hii ni ya kijamaa tangu mwanzo.Siyo nchi ya damu.familia,chama fulani,kabila,kanda fulani bali ni nchi ya Watanzania wote.Tuheshimu fikra sahihi za Watanzania wengi,tupende kukosolewa na hata kuchekwa pale mahali ambapo tumekiuka sheria zxa nchi yetu kwa makusudi ili kuleta umoja,upendo na mshikamano.
 
Unganisheni mataqo yenu Wanaccm muwe na nchi ambayo atawaongoza mpka 2040.nyanoko
Leo unawakoboa sana hao ccm ubongoless, nikusoma kule kwa Mtaka nimecheka kwa sauti kubwa hadi abiria wenzangu wakanishangaa! Piga za uso hao kima weusi!
 
📌Rasilimali zote zilielekezwa zihakikishe inamalizika.

📌Mwigulu adokeza ilibidi kasi baadhi miradi ipungue.

📌Upepo wabadilishwa, sasa ni barabara, maji, umeme.
 
Uyo mtaalamu wa siasa apo jumba jeupe hafai yawezekana mzee sana au elimu na uelewa wake wa kisiasa ni mdogo sana pia hawezi kunyumbulika kutokana na mazingira,haiwezekani uyo mtu atoe ushauli mbaya kiasi ichi kwa kipindi ichi ambacho kunaitajika uponyaji yeye anashauli mgonjwa akae juani
 
this is nonsense narrative gentleman politically speaking 🐒
 
Mama Kilaza na mbaya zaidi kazungukwa na vilaza watupu kila wakiamka wanazidi kuchomesha
Mimi kuna kitu nakiona na kinatakiwa kifanyike haraka sana lkn nashangaa vilaza waliojaa pale jumba jeupe hawakioni
Kipofu akimuongoza kipofu mwenzie matokeo yake wote wawili watatumbukia shimoni
 
Tatizo lako unafikiri CCM au huyo mama wanajali sana mambo ya uponyaji na maridhiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…