Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan


Pole pole tutaelewana tu.

Hiiiiii bagosha!
 
ATCL Mkurugenzi Mkuu naamini akipona sitegemei, lazima apigwe chini, soon nimeota hapa..
 
Huyu mama watu wasimchukulie poa. Anaonekana mpole kwa kuongea lakini kwa vitendo ni sindano inayochoma. Shauri enu mnaomchulia poa mwenzenu tayari katumbuliwa.
Tumpe mitano tenaaaaa au ?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Jafo yuko ICU..
 
Indeed she is a leader
Very composed and calm but ujumbe unafika kirahisi sana
 
TAKUKURU inatakiwa ivunjwe kwanza
 
Okay
 
It's my hope she's going to improve!!

Lakini hata hivyo nafasi hiyo ni kubwa mno hasa kwenye jamii zilizojaa mifumo dume, naamini ataboresha lugha na maneno ya kimamlaka , kwani atazoea na kupata experience, rejea pia mazingira yaliyomuweka madarakani ni ya majonzi hivyo kiubinadamu bado madam wetu President bado anamajonzi ya kuondokewa na mtangulizi wake, tumvumilie na kumpa moyo!!
 
Kuna kakitu sijakafurahia pale alipokuwa akiadress rushwa ya ngono vyuoni.
She seems unbothered
 
Seth na Rugemalila kesi yao iliishia wapi?
 
Kiongozi imara na mwenye weledi hutumia lugha ya kiungwana katika kuwasiliana na watu, kutumia lugha ya kiungwana haikufanyi uwe dhaifu na wala kutumia lugha ya kuamrisha haikufanyi uwe imara, utendaji wako wa kazi ndio kila kitu.

Mama Samia endeleza mapambano, tupo nyuma yako wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…