Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mama President waangalie Tanesco kwa jicho kali, umeme umekua kama magendo sasa!! Mabwawa yamejaa maji, ila umeme full kukatika. Hapa nilipo kuanzia saa 9 umekatika mara 3. Now tupo gizani na ni tendency ya kawaida sasa!
Mbona hukushtakia kwa Hayati alipikuwa hai? Au hili tatizo limeanza baada ya Samia kula kiapo cha urais?
 
Aa
aagize kupitiwa upya zile kesi ,za wahujumu uchumi,wachochezi,uhalifu wa kimtandano(kumtukana raisi),wale mashekhi wa uamusho nk.

Hapo kulikuwa na ukiukwaji wa haki za binadamu na uonevu kwa maslahi binafsi
 
Serikali iwatumie wachumi waliopo katika kurekebisha uchumi ambao kwa sasa umetumba
 
Hoja kuu ilikuwa kwamba Mama ana room kubwa sana ya kumfunika JPM, karibu mambo mengi jamaa alikuwa mkurupukaji!!
 
Unaishi wapi wewe jamaa yanguu,vijana wamejazwa mashirika ya umma bila hata interview
Mimi nimeuliza nahitaji kufahamishwa lakini majibu yako ni tofauti. By rhe way its ok bro!!
 
Hili ndo kundi wanaojiita graduate na degree zenu za Chupi mliojazana mitaani wakidai ajira, hv kwa akili zako nani anaweza kuajiri mtu mjinga kiasi hiki nyinyi mmebeba karatasi tu lakini kichwani hakuna kitu zunguka maofisini kwenye zile taasisi au mashirika yanayojielewa utakuwa wameajiriwa wakenya,waganda na wamalawi ulishajiuliza kwa sababu gani? si kwamba hakuna ajira ila soko la ajira haliitaji mavyeti yenu soko linaitaji ufahamu na maarifa kichwani ambapo ww na mwenzio hamna .
 
Hata jezi za yanga na simba aangalie pale kuna tatizo kwenye jezi
 
Tujikumbushe kwa JPM wakati anamrithi JK, watu walibet vipi. Pia hata atayefuata watasema hivihivi
 
Wewe endelea kuwa na mawazo mgando ya kuajiriwa
 
Pesa za Fao la kujitoa alikula marehemu enzi za uhai wake alikuwa na roho mbaya kula pesa za watu bila huruma daaah
 
Mkuu mengine sawa, lakini ungebaki mwaka mmoja angeruhusiwa kugombea awamu 2 zijazo 2025 na 2030
 
Haya mambo mlimshauri JPM afanye ili kumfuta JK, leo mnamshauri mama Samia afanye kumfuta JPM, baadae atakuja mwingine mtasema afanye kumfuta Samia.
Alafu watu wanaoshauri ni walewale
Tujikumbushe kipindi JPM kachukua uraisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…