Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Haya maneno yapo miaka yote hata kwa JPM yalikuwepoHakika SSH ni kiongozi
Tujikumbushe, kipindi anaingia JPM na jinsi tulivyomtukana JKKusomwa ripoti ya CAG leo tu na kuibua madudu yote na kuyaweka wazi watu tumeshamsahau Huyo jpm aliyejifanya rais wa wanyonge kumbe mpigaji kama kawa
Hoja kuu ilikuwa kwamba Mama ana room kubwa sana ya kumfunika JPM, karibu mambo mengi jamaa alikuwa mkurupukaji!!
Kwa kweli Tanesco wamezidi. Awafyekelee mbali kabisa maana hata ule ubinadamu wa kufikiria watu wanaotegemea kupata mlo wao wa kila siku hawanaMama President waangalie Tanesco kwa jicho kali, umeme umekua kama magendo sasa!! Mabwawa yamejaa maji, ila umeme full kukatika. Hapa nilipo kuanzia saa 9 umekatika mara 3. Now tupo gizani na ni tendency ya kawaida sasa!
Wewe bado unamkumbuka "bush man" huyo tu????1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.
Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Hapo kwenye mwaka mmoja hapana. Soma ibara ya 40 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.Kasome tena katiba! Mama Samia baada ya hii miaka 4 kuisha,anaruhusiwa kugombea miaka mitano ijayo basi! Katiba haisemi kwamba sababu, hajapigiwa kura,ndiyo aje aanze as a fresh kwa kupigiwa kura hapana! Hata ingekua imebaki mwaka mmoja,angemalizia huo mwaka,kama akipenda,anagombea kwa miaka mitano tena,then ikiisha anamaliza mda wake
1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.
Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Hapo tutaanza kuimba mitano tena1. Ajira kwa wahitimu

Kwani lengo lako ni kutaka asahaulike? Nyie ndio Vijana Wachawi1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.
Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Acha uongo. Samia ana miaka 5 mbele tu kwa ssbabu atahudumia uraisi huu wa kuapishwa zaidi ya miaka 3. Angekuwa raisi kwa kuapishwa kwa miaka 3 or less 3 yrs, angegombea miakaingine 10 mbele.Kasome tena katiba! Mama Samia baada ya hii miaka 4 kuisha,anaruhusiwa kugombea miaka mitano ijayo basi! Katiba haisemi kwamba sababu, hajapigiwa kura,ndiyo aje aanze as a fresh kwa kupigiwa kura hapana! Hata ingekua imebaki mwaka mmoja,angemalizia huo mwaka,kama akipenda,anagombea kwa miaka mitano tena,then ikiisha anamaliza mda wake
Kwani lengo lako ni kusahaulika Magu au kuendeleza nchi pale alipojitahidi kuifikisha au roho mbaya tu?1. Ajira kwa wahitimu