Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hautaki watu waajiriwe? Kwa Nini muuza nyanya mwenye mtaji wa sh 3000 alazimishwe kulipia kitambulisho Cha shilingi 20000 ndo auze mchicha?
Kumbe ilikuwa ni hivyo? Halafu ndo tunaambiwa ni raisi wa wanyonge? Na hao hao wanyonge wanaitikia na kumkubali? Kmamk wanyonge wote...


Nalog off.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nyie ndo zao la majinga mlio bakia baada ya kuondoka kipenzi chenu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Alienda kinyume sana. Hatukutegemea kupata raisi wa ajabu kama huyo.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mods habari yenu
 
Acha ufala, kajifungie mwenyewe. Hiyo Corona Tanzania umeiona wapi
 
Usitegemee sisi TZ tuwe na Lockdown kama huko uliko! Sisi hatuna uoga wa corona kama nyinyi.
 
Wanataka watz wamchukie.
 
Ninadhani ushauri ungekua PPE za kutosha kwa wizara ya Afya hata wakipata mgonjwa wa covid wamhudumie bila hofu.

Maabara za kupimia covid ziongezwe. Ikiwezekana majibu yawe tayari ndani ya masaa 24.
 
Toka mama aingie kila mtu anajifanya kumpangia mama cha kufanya, tena kwa kuweka conditions kabisa "Mama ukifanya haya nitakukubali", wengine mara lock down, wengine tumbua huyu weka yule. Mama Samia hawezi kumridhisha kila mtu cha muhimu ni kumuombea afanye yale yaliyo na maslahi kwa taifa letu pasi na kumuonea mtu. Kuna baadhi hata kusifia mwanzo wake mzuri hawataki wanadai hata Magufuli alianza hivi hivi hivyo hawana imani nae.

Toa sifa panapostahili huko mbeleni atakapokosea pia kosoa, usimnyime mtu haki yake kwa kuhisi atakuja fanya makosa. Wamatumbi wanasema "We will cross that bridge when we get there" kwa sasa ni kukubaliana na hali tu "Huyu aliesimama hapa ndio Rais".​
 
Uzuri huyu mama ni mtu mwenye IQ kubwa sana, she read between the lines, penye ukweli anapaona na penye uongo anapaona.
 
Hakuna kiongozi akapendwa na watu wote au akachukiwa na watu wote.

Kuongoza nchi si jambo dogo ikiwa kuna watu kwenye familia zao tu za Mke na watoto wawili zinawavuruga kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…