kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Kumbe ilikuwa ni hivyo? Halafu ndo tunaambiwa ni raisi wa wanyonge? Na hao hao wanyonge wanaitikia na kumkubali? Kmamk wanyonge wote...Hautaki watu waajiriwe? Kwa Nini muuza nyanya mwenye mtaji wa sh 3000 alazimishwe kulipia kitambulisho Cha shilingi 20000 ndo auze mchicha?
Nalog off.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app