peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Umemsahau, Doto James Katibu mkuu hazina, gavana wa bank kuu, engineer Nyamuhanga katibu mkuu Tamisemi, engineer Patrick Mfugale , RC Njombe, RC Iringa, mkurugenzi wa ATCL, TBS,TCRA, doto Biteko.Ushauri awafute kazi Mwigulu, Bashiru, Olesabaya, DPP, Mkumbo, Ndalichako, Jafo, Kabudi, Gwajima na timu yake yote wizara ya afya, RC Mbeya, Mambosasa, RPC Dom n.k
Wote hao hawafai hata kwa dak 1Umemsahau, Doto James Katibu mkuu hazina, gavana wa bank kuu, engineer Nyamuhanga katibu mkuu Tamisemi, engineer Patrick Mfugale , RC Njombe, RC Iringa, mkurugenzi wa ATCL, TBS,TCRA, doto Biteko,
Washauri UK huko dada huku sisi hatuna habari na Corona tunaendelea na mambo yetu tu.Waanyakazi wa afya wapimwe kila baada ya wiki tatu, nani anajua kama wao pia wanaeneza igonjwa kwa wagonjwa wengine.
wanunuliwe PPE za kutosha.
Hii dharau ndo imewaondoa miungu watu wenu bado hamjifunzi tu.Washauri UK huko dada huku sisi hatuna habari na Corona tunaendelea na mambo yetu tu.
Hakuna corona hapa mkuu! Labda huko uliko wewe!
Mh Rais Mama Samia, ombi kubwa kwako ni kutoa tamko la kudhibiti ugonjwa wa covid19 (Corona) na pia kukubali kuagiza chanjo (Vaccine).
Mh. Rais, mahospitali yote nchini yamejaa,wengi ni wale wanaougua ugonjwa wa kushindwa kupumua na tatizo ni ukosefu wa vifaa vya upimaji kama huu ugonjwa ni upi haswa.
Lakini madaktari wengi wanatudokeza kuwa wapendwa wetu wanaogua wana kila dalili za covid 19.
Tunaomba tuige wenzetu kwa kuweka hatua za kudhibiti ugonjwa huu na kuwaruhusu mahospitali yote, hasa ya binafsi kuingiza nchini chanjo,chini ya uangalizi wa Wizara ya Afya na Vyombo Vingine Husika.
Tuhamasishe kuvaa barakoa,kupiga marufuku mikusanyiko,maharusini,misibani,mpirani n.k,kunawa mikono,sehemu za ibada za Wakristo na Waislamu ziwe na utaratibu wa Waumini kukaa mita 2 kati yao(Distancing)n.k.
Sie Mh Rais tunaishi duniani kama nchi nyingine. Sote kwa pamoja tuupige vita ugonjwa huu hatari.