Umeongea vizuri sasa tunaomba uende pale geti la Ikulu ukagonge waambie umeenda kumshauri Muheshimiwa aache vijembe watakufungulia tuBinafsi naanza kuona vijembe na mizaha jukwaani. Mara mwenye jinsia ya kike, Mara macho yamelegea, hii yote ya nini? Kweli hadi hapo bado unataka sifa za maumbile? Rais akumbuke kuna kundi pembeni linaangalia kama kabadilika tabia...
Irene UwoyaYaan sijuwi mnataka mtu wa namna gani.
Ijue jamii inategemea nini kwa wanaume na ni nini toka kwa wanawake. Hukawii kuambiwa malaya! Ulishasikia mwanaume malaya?Mbona Meko alikua anaongea ujinga mutupu? Waanake weupe blah blah. Samia ndio rais yule kiongozi wa maraika kapangiwa kazi ingine
Naona kama upuuzi lakini nakuwa na mashaka na society. Kumbuka yaliyompata Joyce Banda. Baadaye wataanza kutoa maneno ya kudhalilisha ambayo kwa wanaume hayana impacts. Onyo na tahadhari ni muhimu. Kumbuka tahadhari aliyokuwa nayo Obama kwa sababu ya race issue.We acha upuuzi wako
Yale macho kama amekula kungu toka Tanga kwa wadigo 😂Mama asiruhusiwe kula Kungu Ofisini
Jamani hivi nyie majitu mnaishi nchini au kwa huyo mshenzi na msaliti anayejiita kigogo.Mama yetu Mh Rais Mama Samia ni Rais wa awamu ya 6.Anakwenda kwa spidi ya 5G tena kwa uhakika.Huwezi toa hutuba umenuna tuu muda wote utawachosha wanaokusikiliza,kwani sio kweli maumbile yake ni kike je macho yake hayajalegea utani uko wapi!