Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Well said ,mkuu
 
wakati mnakata mauno kwa kifo cha jpm mlidhani mtarudi kirahisi tu kukita mizizi yenu iliyong'olewa muanze kupiga upya!!!

NO meeeen,tulieni hivyo hivyo.mmemwaga kande tunabandika maharage.maharamia wakubwa.
 
Haya unayoongea yana ushahidi upi au ni just wishful thinking?
Ushahidi upo
1. Aliagiza mahabusu ambao serikali haina ushahidi waachiwe je? Wameachiwa wangapi hadi leo?
Aliagiza vyombo vya habari vilivyo fungiwa kuhuni vifunguliwe na sheria zifuatwe? Leo waziri anataka wakajiekeze kwake. Kati ya waziri na Rais nani mwenye mamlaka?
3. Wawekezaji akaunti zao zifunguliwe. Umesikia majibu ya Mwigulu na wabunge wenye akili wa darasa la saba?
Hebu tuache ushabiki, Samia Suluhu ndie Rais wetu pendeni msipende.
 
Mkuu uko vizuri mno. Umeleza yaliyo kweli kabisa. Maadui ni wengi mno. Imagine wale wa vikao vya kutaka kupindua meza bado wana vyeo. Mama awe makini mno. Ninaamini kuna watu wake humu wampelekee huu ujumbe ni wa ukweli. Akitaka kufanikiwa asizibe viraka bali ashone nguo yake mpya ambayo anajua imemtosha vizuri. Hao aliyorepea ameacha wafuasi na wateule kutoka makenikia ajue alifanya kosa kubwa mno.
Na aliyemshauri hivyo atakuwa kundi hilo ovu kabisa. Ajue wanaendelea kujipanga mpaka wahakikishe 2025 hawampi.

Mama tunakupenda, mama umekuwa faraja kwa kila sekta, binafsi na umma najua utaboresha. Mama unapendwa na hilo ndilo linalowauma Makenikia. Mama shtuka.
 
Ubarikiwe sana Mkuu. Tupige maombi. Watashindwa tu hao mafisi. Mungu ametupa Rais wetu ni lazima tumtii na kumheshimu. Asafishe nyumba yake bila kuacha hata taka isiyoonekana.
 
Mkuu system haifumuliwi kama kufumua shati.
Ni vizuri wawepo ili warekebishe pale walipokosea.
Bora ungelisema wavunje Bunge... 😁😁😂😃😃
 
Haya bhana message sent and delivered
 
wakati mnakata mauno kwa kifo cha jpm mlidhani mtarudi kirahisi tu kukita mizizi yenu iliyong'olewa muanze kupiga upya!!!

NO meeeen,tulieni hivyo hivyo.mmemwaga kande tunabandika maharage.maharamia wakubwa.
Hayo maharage utaenda kula kuzimu na wafu wako. Tanzania imeanza maisha mapya ya furaha tena. Hata nisipokuwa na sent tano kwenye wallet lakini nikiwa na furaha inatosha. Toka 17 March hakuna mtu amepigwa au kusikia amefia mahabusu kwa kipigo. Hatujasikia mtu amechukuliwa kwenye familia na asionekane tena hata mwili wake. Watu wako na uhuru hata kutumia vyombo vya habari kuongea. Enzi za yuke dikteta ni mpaka upate kibali eti uoongee. Daaaahh Tanzania ilikuwa imebadilishwa jina maana si kwa Tanzania inayojulikana dumiani.

Ila Mungu ni fundi sana.
 
Ushauri mzuri, mabeyo abakie ,ila kuanzia PM na mawaziri wengine ambao bado akili yao inamuwaza fisadi mwendazake atimue wote, na kwa maDC na maRC ivyoivyo
 
Dunia na vyote ni mali ya Mungu
Dunia na vyote vitapita bali neno lake ladumu hata milele!
 
Mawazo murua na constructive
 
Hadithi ya kuambiwa changanya na akili zako, toka lini Mama akawa "saccos" au ndio mnataka kumghilibu awaone nyinyi ndio wakombozi wake .
Safari hii mataga na gang lenu hamna pa kushika.
Mrudi kwenu burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…