Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Acha unaa mkuu
 
Halafu ukishaajiriwa utaomba wasiajiriwe ili hiyo fedha uongezewe mshahara sababu unafanya sana kazi na mazingira ni magumu😆
 
Kwa tabia yako hiyo hufai kupata ajira ya serikali maana unaonekana hata ukiajiriwa utakuwa chanzo cha migogoro hapo ofisini kitokana na tabia yako ya uchonganishi , wivu na roho mbaya ya kwanini.
 
Bora ungeomba fedha wanazolipa wabunge ndio muajiliwe nyie au fedha za kununulia ndege ndio muajiliwe nyie.
Acheni chuki binafsi
 
Hapa ndipo utajua watanzania hawana upendo wa kweli.
Hivi unakomaa kuongezewa mishahara wakati wengine hatuna hata hiyo mishahara midogo.


Eti katiba inasema.Mlikuwa wapi kuongezewa?
 
Unamwitaje mkuu kolo huyo,huyo ni sakala kabisa,yaani anataka aajiriwe yeye kwa kuwaumiza wengine,punguani kabisa huyo msomi bwege
 
Kwa tabia yako hiyo hufai kupata ajira ya serikali maana unaonekana hata ukiajiriwa utakuwa chanzo cha migogoro hapo ofisini kitokana na tabia yako ya uchonganishi , wivu na roho mbaya ya kwanini.
Mko wengi ila ndo ivyo muwafikirie na wenzenu ambao hawana
 
Dogo tulia,bi mkubwa usituangushe may 1 tafadhali...
 
Roho mbaya yako ndio imekufanya hujaajiliwa hadi sasa hivi. Waliomaliza 2018 wengi wameajiliwa. Endeleza roho ya korosho tuone utafikia wapi
 
Basi kama hutakiwakaongezewa,na wasio na kazi wasipate ajira,tuangalie miundo mbinu aka miundo msingi.
 
Kwa hiyo ukiwasagia sumu walioajiriwa wasilipwe maslahi yao, wewe ndo utaipata hiyo ajira....yaani kwa akili hizi huwezi kuajiriwa serikalini na utaondolewa kabla ya mwaka mmoja wa kuthibitishwa kazini...na kaa ukijua huwezi kum-replace afisa mwandamizi aliye kazini zaidi ya miaka 15 na kipeperushi chako ulichotunukiwa Yohana University...
 
Ndivyo unavyojidanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…