Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Wewe ni mbwa tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unaa mkuuMh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.
mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Kwa tabia yako hiyo hufai kupata ajira ya serikali maana unaonekana hata ukiajiriwa utakuwa chanzo cha migogoro hapo ofisini kitokana na tabia yako ya uchonganishi , wivu na roho mbaya ya kwanini.Mh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.
mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Bora ungeomba fedha wanazolipa wabunge ndio muajiliwe nyie au fedha za kununulia ndege ndio muajiliwe nyie.Mh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.
mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Maana ataoa ama kuolewa. Na pia atazaa. Hivyo atagundua mshahara haumtoshi. Maana hatakaa kibachelor siku zoteNa ukiajiliwa baada ya mwaka utataka mshahara wako upande,
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Swala lipo kikatiba ,pelekeni ajenda basi ya kutengua hcho kipengele,
Unamwitaje mkuu kolo huyo,huyo ni sakala kabisa,yaani anataka aajiriwe yeye kwa kuwaumiza wengine,punguani kabisa huyo msomi bwegeInategemea mkuu.
Ila ingebidi ufanye utafiti kwanza je kuongezea mshahara wafanyakazi waliopo kuna athiri vipi upatikanaji wa ajira kwa wasionazo?
Je njia ya kutengeneza ajira kwa wasionazo ni kutowaongezea wafantakazi waliopo mishahara kama sheria zinavyoelekeza?
Mko wengi ila ndo ivyo muwafikirie na wenzenu ambao hawanaKwa tabia yako hiyo hufai kupata ajira ya serikali maana unaonekana hata ukiajiriwa utakuwa chanzo cha migogoro hapo ofisini kitokana na tabia yako ya uchonganishi , wivu na roho mbaya ya kwanini.
Hakuna msomi bwegeUnamwitaje mkuu kolo huyo,huyo ni sakala kabisa,yaani anataka aajiriwe yeye kwa kuwaumiza wengine,punguani kabisa huyo msomi bwege
Mkuu kumbe ukiacha Stori zako za bifu la harmonize na WCB,kumbe unatuliaga na kuchangia mambo ya maanaSwala lipo kikatiba ,pelekeni ajenda basi ya kutengua hcho kipengele,
Dogo tulia,bi mkubwa usituangushe may 1 tafadhali...Mh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.
mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Basi kama hutakiwakaongezewa,na wasio na kazi wasipate ajira,tuangalie miundo mbinu aka miundo msingi.Mh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.
mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Roho ya mwendazake bado inarandaranda kwenye anga la TZ.Daaa kweli kuna watu wana roho mbaya kweli kweli, typical ‘mtanzania’........
Kwa hiyo ukiwasagia sumu walioajiriwa wasilipwe maslahi yao, wewe ndo utaipata hiyo ajira....yaani kwa akili hizi huwezi kuajiriwa serikalini na utaondolewa kabla ya mwaka mmoja wa kuthibitishwa kazini...na kaa ukijua huwezi kum-replace afisa mwandamizi aliye kazini zaidi ya miaka 15 na kipeperushi chako ulichotunukiwa Yohana University...Mh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.
mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Wako wengi kina nani? Kwani ili wewe upate inabidi upambane mwenzio akose?Mko wengi ila ndo ivyo muwafikirie na wenzenu ambao hawana
Ndivyo unavyojidanganyaKwa hiyo ukiwasagia sumu walioajiriwa wasilipwe maslahi yao, wewe ndo utaipata hiyo ajira....yaani kwa akili hizi huwezi kuajiriwa serikalini na utaondolewa kabla ya mwaka mmoja wa kuthibitishwa kazini...na kaa ukijua huwezi kum-replace afisa mwandamizi aliye kazini zaidi ya miaka 15 na kipeperushi chako ulichotunukiwa Yohana University...