Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Tunataka mwongozo mpya wenye chimbuko la kisayansi.

Wapiga nyungu wameshaonekana hadharani wakiwa wamepania barakoa.

Yaliyopita si ndwele!
Upendo bila ukweli ni unafiki, kuvaa barakoa hadharani mtu yule yule aliyesimama kidete kupinga kuvaa barakoa ni ushetani. Ukweli daima hujipambanua na hukuweka huru.
 
Mheshimiwa Rais Mama Samia ni makusudio ya Mungu kuwa nawe leo kama kiongozi wetu mkuu.

Kama familia tuna gonjwa hatari baina yetu, tena linalouwa. Hayupo mmoja aliye salama.

Mengi yamesemwa kuhusu ugonjwa huu:

View attachment 1731342

Itoshe kusema, mwanzo mpya wizara ya afya wenye kuakisi hatari iliyoko mbele yetu ni jambo la dharura sana.

Tumepoteza wengi na wanapotea wengi. Kwa pamoja tunaweza kuushinda ugonjwa huu.

Tumuunge mkono mama yetu kuyalinda maisha yetu na yale ya wote wanaotuzunguka.

Ninawasilisha.
Mama hatikiswi na hizi ngonjera zenu.....
 
Upendo bila ukweli ni unafiki, kuvaa barakoa hadharani mtu yule yule aliyesimama kidete kupinga kuvaa barakoa ni ushetani. Ukweli daima hujipambanua na hukuweka huru.

Mkuu yule yule aliyesimama kupinga anaweza akabadilika.

Wapongezwe wanaobadilika na kutambua walikuwa wamepotoka.

Hawakukosea waswahili kulipa: kawia ufike.
 
Haya majina huwa wanajiita wenyewe. Jiwe alotaka mwenyewe.

Msimuwekee mama maneno mdomoni.

Mama ni Mwisalamu safi.
Alishatuambia amepikwa na JPM na ameiva kweli kweli,ww unategemea nini hapo!!??
 
Mheshimiwa Rais Mama Samia ni makusudio ya Mungu kuwa nawe leo kama kiongozi wetu mkuu.

Kama familia tuna gonjwa hatari baina yetu, tena linalouwa. Hayupo mmoja aliye salama.

Mengi yamesemwa kuhusu ugonjwa huu:

View attachment 1731342

Itoshe kusema, mwanzo mpya wizara ya afya wenye kuakisi hatari iliyoko mbele yetu ni jambo la dharura sana.

Tumepoteza wengi na wanapotea wengi. Kwa pamoja tunaweza kuushinda ugonjwa huu.

Tumuunge mkono mama yetu kuyalinda maisha yetu na yale ya wote wanaotuzunguka.

Ninawasilisha.

Mheshimiwa Rais Mama Samia ni makusudio ya Mungu kuwa nawe leo kama kiongozi wetu mkuu.

Kama familia tuna gonjwa hatari baina yetu, tena linalouwa. Hayupo mmoja aliye salama.

Mengi yamesemwa kuhusu ugonjwa huu:

View attachment 1731342

Itoshe kusema, mwanzo mpya wizara ya afya wenye kuakisi hatari iliyoko mbele yetu ni jambo la dharura sana.

Tumepoteza wengi na wanapotea wengi. Kwa pamoja tunaweza kuushinda ugonjwa huu.

Tumuunge mkono mama yetu kuyalinda maisha yetu na yale ya wote wanaotuzunguka.

Ninawasilisha.
Huyu Profesor alikuwa kiongozi mkubwa tu lakini kila nikijaribu kutafuta Alamat alioiacha kwa watanzania sijafanikiwa kiona wala sijawahi kumaikia akipaza sauti kuwapigania watu wa Tanzania lakini naona yupo bize kweli kutangaza ugonjwa wa Corona (kuwa watu kila siku wanakufa ) Prof. Angalia mlundikano wa watu mtaa wa Congo angalia jinsi watu wanavyochangia sahani na vijiko kwa mama ntilie. Lakini wale masikini wapo kila siku wala hawapukutiki kama unavyoeleza. Ni juzi tu na hana walifunga shughuli zao ili kwenda kutoa heshima za mwisho kwa Shujaa wao. Mark hata ukipewa nchi hii uwezi kuacha alama yyte ulikuwa kiongozi kila mwaka watu walikuwa wanakufa kwa kipindupindu na ulikaa kimya wala haukujali ulienda kunywa Mvinyo. Lakini leo kipindupindu kimukuwa historia
Mark ushazeeka roho mbaya na chuki azikufai huu ni wakati wako wa kuandaa kwa ajili ya ufalme wa milele
Asante
 
Kwani walioachia familia zingine misiba wana la maana walilooacha?

Huna habari kuna waliokamatwa wamechinja mbuzi kufanya sherehe?

Hudhani kuwa chuki yako kwa profesa huyu ni haki yako kama ilivyo ya wale waliopo mahabusu leo kwa chuki kama zako tu?
 
Buriani Rais John Pombe Joseph Magufuli

M.E Samia Suluhu Hassani Rais wa wamu ya 6 wa Tanzania, apewe shahada ya heshima ya udaktari

Kutokana na sababu zifuatazo:-

1.Ni,mwanamke wa kwanza kuwa makamo wa Rais Tanzania
2 Ni, Mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania
3.Kuenzi mchango wa akinamama viongozi na wasio viongozi Tanzania
.
Kwani hili halitakuwa jambo la kushangaza kwani hata Rais wa Awamu ya 4wa jamuhuri ya Muungano alisha wahi kutunikiwa PHD mbalimbali na matasisi tofautitofauti hapo chini ni orodha yaPHD za heshima alizowahi kupewa JK

Kwa kumbukumbu zangu, mbali na Degree ya Uchumi "aliyoisomea" Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, JK katunukiwa PhD za heshima zifuatazo:

1. PhD kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta. Hii PhD ya heshima alitunukiwa kwa sababu ya kile kilichoelezwa kuwa ni mchango wake JK katika kusuluhisha mgogoro wa kisiasa uliotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007.

2. PhD ya pili ni ile ya heshima aliyotunukiwa kule Uturuki[hapa sikumbuki ni ya nini].

3.Kutoka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, JK alitunikiwa PhD ya heshima ya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, na miaka 50 Chuo hicho.

4.PhD ya nne ni ile aliyotunukiwa pale Chuo Kikuu cha Dodoma chini ya Ben Mkapa.

NB:Kabla ya kupewa PhD ya UDOM, JK alitunukiwa tena Shahada ya Sayansi Tiba huko Chuo Kikuu cha Muhimbili chini ya A H. Mwinyi..

5. PhD ya tano, ni ile ya heshima aliyotunukiwa huko Canada hivi karibuni kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kwa kutambuliwa kwa mchango wa JK katika kilimo hapa

Hongera M.E Samia Suluhu Hassani kuapishwa Rasmi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
IMG-20210323-WA0053.jpg
 
Anayejua faida ya kupewa hizi PhD ni Nini anifahamishe please.
 
Buriani Rais John Pombe Joseph Magufuli

M.E Samia Suluhu Hassani Rais wa wamu ya 6 wa Tanzania, apewe shahada ya heshima ya udaktari

Kutokana na sababu zifuatazo:-

1.Ni,mwanamke wa kwanza kuwa makamo wa Rais Tanzania
2 Ni, Mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania
3.Kuenzi mchango wa akinamama viongozi na wasio viongozi Tanzania
.
Kwani hili halitakuwa jambo la kushangaza kwani hata Rais wa Awamu ya 4wa jamuhuri ya Muungano alisha wahi kutunikiwa PHD mbalimbali na matasisi tofautitofauti hapo chini ni orodha yaPHD za heshima alizowahi kupewa JK

Kwa kumbukumbu zangu, mbali na Degree ya Uchumi "aliyoisomea" Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, JK katunukiwa PhD za heshima zifuatazo:

1. PhD kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta. Hii PhD ya heshima alitunukiwa kwa sababu ya kile kilichoelezwa kuwa ni mchango wake JK katika kusuluhisha mgogoro wa kisiasa uliotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007.

2. PhD ya pili ni ile ya heshima aliyotunukiwa kule Uturuki[hapa sikumbuki ni ya nini].

3.Kutoka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, JK alitunikiwa PhD ya heshima ya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, na miaka 50 Chuo hicho.

4.PhD ya nne ni ile aliyotunukiwa pale Chuo Kikuu cha Dodoma chini ya Ben Mkapa.

NB:Kabla ya kupewa PhD ya UDOM, JK alitunukiwa tena Shahada ya Sayansi Tiba huko Chuo Kikuu cha Muhimbili chini ya A H. Mwinyi..

5. PhD ya tano, ni ile ya heshima aliyotunukiwa huko Canada hivi karibuni kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kwa kutambuliwa kwa mchango wa JK katika kilimo hapa

Hongera M.E Samia Suluhu Hassani kuapishwa Rasmi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaView attachment 1732736
Watampa tuu ngoja kwanza atunyooshe kidogo😃😃
 
Back
Top Bottom