Buriani Rais John Pombe Joseph Magufuli
M.E Samia Suluhu Hassani Rais wa wamu ya 6 wa Tanzania, apewe shahada ya heshima ya udaktari
Kutokana na sababu zifuatazo:-
1.Ni,mwanamke wa kwanza kuwa makamo wa Rais Tanzania
2 Ni, Mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania
3.Kuenzi mchango wa akinamama viongozi na wasio viongozi Tanzania
.
Kwani hili halitakuwa jambo la kushangaza kwani hata Rais wa Awamu ya 4wa jamuhuri ya Muungano alisha wahi kutunikiwa PHD mbalimbali na matasisi tofautitofauti hapo chini ni orodha yaPHD za heshima alizowahi kupewa JK
Kwa kumbukumbu zangu, mbali na Degree ya Uchumi "aliyoisomea" Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, JK katunukiwa PhD za heshima zifuatazo:
1. PhD kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta. Hii PhD ya heshima alitunukiwa kwa sababu ya kile kilichoelezwa kuwa ni mchango wake JK katika kusuluhisha mgogoro wa kisiasa uliotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007.
2. PhD ya pili ni ile ya heshima aliyotunukiwa kule Uturuki[hapa sikumbuki ni ya nini].
3.Kutoka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, JK alitunikiwa PhD ya heshima ya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, na miaka 50 Chuo hicho.
4.PhD ya nne ni ile aliyotunukiwa pale Chuo Kikuu cha Dodoma chini ya Ben Mkapa.
NB:Kabla ya kupewa PhD ya UDOM, JK alitunukiwa tena Shahada ya Sayansi Tiba huko Chuo Kikuu cha Muhimbili chini ya A H. Mwinyi..
5. PhD ya tano, ni ile ya heshima aliyotunukiwa huko Canada hivi karibuni kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kwa kutambuliwa kwa mchango wa JK katika kilimo hapa
Hongera M.E Samia Suluhu Hassani kuapishwa Rasmi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
View attachment 1732736