Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mama anacheza km pele.wajinga ndo hawatamwelewa.........na wengne hapohapo waliamka na kupiga makofi.nahisi ndungai ujumbe umemfikia ndo maana katulia km ananyolewa
 
Mama anacheza km pele.wajinga ndo hawatamwelewa.........na wengne hapohapo waliamka na kupiga makofi.nahisi ndungai ujumbe umemfikia ndo maana katulia km ananyolewa
Kati ya maspika wa hovyo ndugai ni namba first
 
Nakushauri Rais Samia.

Usiwape airtime watu wa mitandao. Usiwajibu kwenye hadhara. Wajibu kwa matendo.

Watu wa kwenye mitandao wana wafuasi wao na hawakawii kuanza kukutukana hadhari na kukushushia heshima yako.

Hivyo basi wajibu kwa kufanya kazi kwa vitendo kisha watachakua wenyewe la kuongea.

Mitndao ya kijamii inatabia ya kugawa watu ukiwajibu unaumiza upande mwigine na kufanya uppande mwigine ujihisi dhaifu na kudharilishwa. Na mwisho wa siku hakuna Umoja.
 
Badala ya kufuta ingependeza zaidi kuwa simamisha miradi yote tujizatiti na hili gonjwa uwa watu kwanza.
Awekeze kwenye Ilimu ili vijana watakao Fuvu wakamilishe miradi hiyo na zaidi...
Chelewa Ufike
 
Tz baada ya kukaa miongo kadhaa katika ombwe la uongozi, lilitokea jiwe/mwamba ambalo lilichotamka ndicho kilitekelezwa kwa spidi ya mwanga! Kabla yake alikuwepo John Walker, wengine wakimuita Vasco da gama, huyu alitamka mengi lakini hayakufuatwa na vitendo!

Kipindi cha jiwe ilikuwa ukilishawishi jiwe likaelewa na kusema ndio basi unashangilia kuwa imepita hiyo, na kinyume chake ni sawa!

Tumemsikia Mama yetu mpendwa SSH akiongeaongea sana na mara nyingine anajinukuu mwenyewe na mpaka kufikia kujisemea kuwa yeye na jiwe ni kitu kimoja!

Mama hayo maneno yako yote, kwa watz waliozoea vitendo vikifuatia maneno ya mfalme jiwe, hayana maana yoyote kama hutajifunga nguo vizuri na kusimama kidete kuhakikisha yote mazuri ya Magu yanaendelezwa kwa kasi ya mwanga na kamwe usijichanganye na lile kundi nyemelezi likakuondoa mureli!

Mungu tunakuomba uzidi kuilinda na kuibariki nchi yetu Tanzania, amen🙏!
 
Tunakupenda mamaetu ila yaishi unayoyatamka pléeeeeezi🙏!
 
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa..
Ujinga Gani sijui nzuri kwenye jamii:

Nimefanya mapenzi nimechoka ikawa ujinga au Malaya

Nimejenga nyumba ikawa ujinga

Nikaoa ikawa ujinga maana Mwanamke alikuwa anawaza vitu ambavyo sina

Nimesoma Elimu siitumii ikawa ujinga

Nimekunywa bia ikawa ujinga

Nimesafiri kila mkoa ikawa ujinga

Nikafikilia kifo na kuzika watu hata mochuari wapo ikawa ujinga

+ Error term

Maisha yawezekana ni ujinga Karibu ulanzi nimemwalika na wema sepetu maana kazeeka na ujanja
 
Bureaucrats! Always looking for ways they can be important without actually being really important.. often enough ni wasomi wa soft sciences...

Na mara nyingi wanakuwa viongozi wa siasa wanaoabudu siasa makundi/mirengo tofauti. Sisi vs wao.. AKA political/social movement hustlers.

Kwa kawaida huanza na lengo zuri.. likiisha kutimia movement nzima inageuka biashara na claim zao zinakosa definition... Inabakia kazi moja tu kupinga.

Hoja ya mbezi kusabisha foleni ni dhaifu mno.. hasa unapokuwa umepata hints za Dar es salaam Master plan(Transportation master plan to be specific). Tafuta taarifa usitoe ushauri bila kujifunza kwanza.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu utawasikia, "hata mwezi hajamaliza mnaanza kumsema!!". Mara mwingine anasema, "kuongoza watanzania kazi, kila kitu watakusema. "

Mara mama akikosolewa wanaanza kusema "si mlikuwa mnamsifia.."

Watanzania inatakiwa kuelewa kuwa kusifu siyo kusifu kila kitu. Na kukosoa siyo kukosoa kila kitu.

Kusifu au kukosoa kila kitu ni ushabiki usio na maana. Sehemu ambazo demokrasia imekomaa viongozi husifiwa na kukosolewa bila tatizo lolote. Hii mentality ya kufikiri anayesifu anatakiwa kusifu kila kitu na anayekosoa anatakiwa kukosoa kila kitu inatupasa kuachana nayo.

Mbay zaidi ipo humu JF sehemu ya watu waelewa sana.
 
Huyu MTAZAMO ndio kinara wa hao watu wanaotaka ukisifia usifie mwanzo mwisho, ukikosoa ukosoe mwanza mwisho.Sad.
 
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atahutubia Bunge na taifa ka ujumla. Ni wazi tutafuatilia hotuba hiyo mubashara.
Namwomba Mh Rais, kati ya habari njema atakayotupatia watanzania katika hotuba hiyo ni kuruhusu tena mijadala ya Bunge ionyeshwe Mubashara.
 
Nashauri Rais Samia Suluhu Hassan afanye mabadiliko kwenye utaratibu wa mikopo ya elimu ya juu ili wanafunzi wote wenye sifa za kujiunga na chuo kikuu waweze kupata mkopo kutokana na sifa kwamba wanahitaji mkopo kusoma elimu ya juu. Nakumbuka kuna wakati nilimsikia aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli, akisema kwamba wanafunzi wanaosoma shule za binafsi wazazi wao wanauwezo hivyo wasipewe mkopo wa kusoma chuo kikuu. Sikukubaliana na hoja hii kwa sababu mtu anaweza kusoma shule binafsi siyo kwa sababu wazazi wana uwezo, bali kwa kusaidiwa tu ili baadaye aweze kuendelea na masomo ya juu kwa utaratibu wa serikali.

Mfano, kuna wanafunzi kutoka familia maskini waliosaidiwa kusoma shule binafsi hadi Form VI. Kusema hawa wasipate mkopo kwa vile walisoma shule binafsi si kuwatendea haki. Nashauri hivi kwa kuzingatia kwamba wasomi wetu na wataalamu wetu mbalimbali nchini wanatokana na hawa wanaosoma chuo kikuu na wengine kujiendeleza zaidi. Kama kuna shida ya fedha kwamba wote hawawezi kupata mkopo basi nashauri utaratibu huu.

A: 1. Mwanafunzi anayetoka familia yenye uwezo anaweza kurejesha mkopo baada ya kupata ajira (anaweza kukatwa kwenye mshahara wake kadiri ya utaratibu utakaowekwa na serikali kurejesha mkopo). 2. Mwanafunzi anayetoka familia maskini naye baada ya kupata ajira (anaweza kukatwa kwenye mshahara wake kurejesha mkopo alioupata). Au B: 1. Mwanafunzi anayetoka familia maskini anaweza akasoma bure chuo kikuu. 2. Mwanafunzi anayetoka familia yenye uwezo anaweza kurejesha mkopo wake baada ya kuajiriwa.

Au C: Wanafunzi wote wenye sifa za kusoma chuo kikuu wanaweza kusomeshwa bure na serikali. Kwa maoni yangu, tukifanya hivi tutakuwa tumeondoa manunung'uniko ya kukosa mkopo au ya kupendelewa kwa vile wanafunzi wote wenye sifa za kusoma chuo kikuu wanapata mkopo wa elimu ya juu.
 
Nashauri Rais Samia Suluhu Hassan afanye mabadiliko kwenye utaratibu wa mikopo ya elimu ya juu ili wanafunzi wote wenye sifa za kujiunga na chuo kikuu waweze kupata mkopo kutokana na sifa kwamba wanahitaji mkopo kusoma elimu ya juu. Nakumbuka kuna wakati nilimsikia aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli, akisema kwamba wanafunzi wanaosoma shule za binafsi wazazi wao wanauwezo hivyo wasipewe mkopo wa kusoma chuo kikuu.

Sikukubaliana na hoja hii kwa sababu mtu anaweza kusoma shule binafsi siyo kwa sababu wazazi wana uwezo, bali kwa kusaidiwa tu ili baadaye aweze kuendelea na masomo ya juu kwa utaratibu wa serikali. Mfano, kuna wanafunzi kutoka familia maskini waliosaidiwa kusoma shule binafsi hadi Form VI. Kusema hawa wasipate mkopo kwa vile walisoma shule binafsi si kuwatendea haki. Nashauri hivi kwa kuzingatia kwamba wasomi wetu na wataalamu wetu mbalimbali nchini wanatokana na hawa wanaosoma chuo kikuu na wengine kujiendeleza zaidi.

Kama kuna shida ya fedha kwamba wote hawawezi kupata mkopo basi nashauri utaratibu huu. A: 1. Mwanafunzi anayetoka familia yenye uwezo anaweza kurejesha mkopo baada ya kupata ajira (anaweza kukatwa kwenye mshahara wake kadiri ya utaratibu utakaowekwa na serikali kurejesha mkopo). 2. Mwanafunzi anayetoka familia maskini naye baada ya kupata ajira (anaweza kukatwa kwenye mshahara wake kurejesha mkopo alioupata). Au B: 1. Mwanafunzi anayetoka familia maskini anaweza akasoma bure chuo kikuu. 2.

Mwanafunzi anayetoka familia yenye uwezo anaweza kurejesha mkopo wake baada ya kuajiriwa. Au C: Wanafunzi wote wenye sifa za kusoma chuo kikuu wanaweza kusomeshwa bure na serikali. Kwa maoni yangu, tukifanya hivi tutakuwa tumeondoa manunung'uniko ya kukosa mkopo au ya kupendelewa kwa vile wanafunzi wote wenye sifa za kusoma chuo kikuu wanapata mkopo wa elimu ya juu.
 
Binafsi nafurahia sana utawala wa Rais wetu mpendwa SAMIA suluhu hasani, humuoni sana mitaani, waziri mkuu anafanya kwa niaba ya Rais

Hatembei na maburungutu ya hela na kugawa hovyo kupitia mlango wa juu wa gari

Sio kila miradi ya kuzindua anaenda nini kazi ya mawaziri?

Hongera mama samia suluhu hasani

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom