JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
4 yrs loading....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama kiatu hakimtoshi nakwambia.Eti Atanunua MELI6 za.uvuvi
3 Zanzibar
3 Bara
Kwanini wazenji wasinunue zao??
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Sijasikia hotuba yake kuhusu hilo, lkn mkuu, Kwa maana hiyo, wazenji laki nane meli 3 na Sisi wa bara milioni 59 meli 3? Mbona utakuwa uonevu sasa.Eti Atanunua MELI6 za.uvuvi
3 Zanzibar
3 Bara
Kwanini wazenji wasinunue zao??
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Sijui Kama namchukia au nimeadhirika na muziki wa mzee baba Magufuli.
Huyu mama sijui afanye nini ili nimuelewe.
Ila poa tu ngoja tuone.
Niko njiapanda kwa kweli.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
OkSijui Kama namchukia au nimeadhirika na muziki wa mzee baba Magufuli.
Huyu mama sijui afanye nini ili nimuelewe.
Ila poa tu ngoja tuone.
Niko njiapanda kwa kweli.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mimi nimeshakwambia ndugu yangu, usipongalia utakuwa mchawi kama sio mchawi tayari.Anatafuta kupendwa na kundi lililokiona Cha moto kipindi Cha Magufuli.
Huyu mbele ya Safari Kuna mabomu yatalipuka tu
Tusubili.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Tulieni dawa iwaingie wazenji watajaa mpka kweny maofisi na taasisi za umma
Mizania ya watu m1 na watu m60...Eti Atanunua MELI6 za.uvuvi
3 Zanzibar
3 Bara
Kwanini wazenji wasinunue zao??
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Sasa hebu tafuta population ya wasukuma hapa Tanzania. Ukishaipata utueleze ni nini ilikuwa base ya malalamiko kwamba Magufuli alikuwa mkabila???Sijasikia hotuba yake kuhusu hilo, lkn mkuu, Kwa maana hiyo, wazenji laki nane meli 3 na Sisi wa bara milioni 59 meli 3? Mbona utakuwa uonevu sasa.
Pole mkuu. Kwangu mimi it was very simple. Alipoanza tu kutengua watu sahihi kwa kutumia taarifa za wanaharakati wa twitter nikajua "we are done", wenye nchi yao washarudi.Sijui Kama namchukia au nimeadhirika na muziki wa mzee baba Magufuli.
Huyu mama sijui afanye nini ili nimuelewe.
Ila poa tu ngoja tuone.
Niko njiapanda kwa kweli.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Na bado!Pole mkuu. Kwangu mimi it was very simple. Alipoanza tu kutengua watu sahihi kwa kutumia taarifa za wanaharakati wa twitter nikajua "we are done", wenye nchi yao washarudi.
Ushauri kwako: Endelea kuiombea nchi ili Mungu aiepushe na haya majangili.
Leo umesikia kuwa nchi inahitaji sana industrial parks bila kujalisha zinajengwa wapi. Iwe "Bagamoyo" au kwingineko! Masalia ya Magu tunajua maana yake nini kwa ule mradi wa Bwagamoyo. They are back bro.
Acha tufarijiane masalia ya Magu. Ila tuko wengi. Si uliwaona hata wale viongozi wa dini siku ile. Ila usiwaze sana maana "tuliouzwa" tuko wengi. Usibabaishwe na hawa "wasomi/wajuaji" wa twitter na hapa Jamiiforums. Wananchi wengi wa huku uraiani wanahisi wamepigwa. Hauko peke yako.
Mods nao wameamua kuunganisha huu uzi. Naona wameona nyuzi za wahanga wa awamu hii "ya 6" zimekuwa nyingi wakaamua kukafuta "ka-thread" ketu. Si unajua tena mambo ya demokrasia yasivyo na uhalisia.