Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Mkuu ufute SGR wakati ishatumia mapesa kibao!
 
Ndio.

Wale tusiopenda kuona Mama yetu kashindwa kukamilisha matamanio ya watanzania, Je Mama angekupa nafasi ya kuonana naye 'live' na umshauri live namna ya kupata suluhu ya changamoto za nchi hii.

Je, ungemshauri nini?

Mfano: Kuhusu ajira, uchumi, na kadhalika
 
Nitamshauri aendelee kuvaa mara 3 kwa siku maana Mwanamke kujilemba na kupendeza, Au nasema uongo ndugu zangu?!!
 
Aruhusu sementi ya pakistani ije kwa wingi. Tumechoka kulanguliwa na sementi ya ndani 16-20 elfu kwa mfuko, wakati ya pakistani 8-10elfu kwa mfuko.
 
bado teuzi zake haziakisi kujenga umoja na mshikamano wa taifa letu,
teuzi zinaegemea sana upande mmoja, hakuna uwiano jambo linaloweza kuleta mpasuku siku za mbeleni.

kinacho takiwa ni kuweka uwiano, huwezi kufanikiwa kujenga nchi yenye umoja na mshikamano kwa kujaza zaidi kundi la watu wa aina moja na kuwaacha wengine wengi nje.
kama kweli unataka kujenga uzalendo wa kweli ni lazima kuweka mseto wenye uwiano sawia. sio upendeleo.

unaweza kufanya utafiti ktk idara mbali mbali za serikali na utaona uwiano unao lalamikiwa, ambao kimsingi unapaswa uzingatiwe kwa lengo la kuimarisha umoja wetu na utulivu.

mamlaka zinazo husika na uteuzi na kuteua lazima waliangalie hili bila kuoneana aibu, jambo hili limekuwa likilalamikiwa mara kwa mara hivyo sio sahihi kulipuuzia au kujifanya halionekani.

tunahitaji nchi yetu iwe imara zaidi kuliko watu kulalamika na kuto aminiana.
 
Sawa
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.

Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.

Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.

Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
 
Baada ya mkuu wa wilaya ya hai kutumbuliwa tunaona wapinzani wakiwa na furaha sana je? ni lini wapinzani wamekua wema kwa chama tawala.
Itoshe kusema upinzani kamwe sio rafiki wema kwenye chama tawala na hawez kua na agenda njema kwa ccm.
Dc mstafau ole sabaya muda mrefu amekua akipambana na upinzani mkubwa sana Kwani eneo la hai ndipo pinzani kuu anatoka hivo amekua akiandamwa sana kwani alizibiti mno mambo mengi.Wapinzani wamepiga debe sana mtu huyu kuondolewa na imekua hivo hivo. Mama yetu Rais SSH ni wazi wapinzani wanajiona washindi kwenye hili.
Mama na CCM watakipata wanachokitafuta, time will tell.
 
kwani wapinzani sio WATU,?
 
Ngoja nikaae hapa pembeni na popcon nikicheka utakavyotukanwa leo
 
Back
Top Bottom