Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Huna lolote zaidi ya ARGUMENTUM AD HOMINEM tu....Hebu tuonyeshe huo ujinga ww mwelevu basi😜! Tuweked facts zinazopingana na zilizopo hapa! Ww kila kitu kinacholetwa na mzungu kwako ni turfu eeh!
Hafanywi mtu hapa kuwa panya1000 wa majaribio! Ww kama ni panya nenda kachanjwe😠! Hata sayansi ya chanjo huijui maskini ww! Kwa uhalisia, ni makosa kuita chanjo ya majaribio huo ugoro wa covid-19! Maana siyo vaccine kama unafahamu vaccine au chanjo inavyotengenezwa na kufanya kazi! Shida ulipita darasani kwa kuibia ibia mitihani😜!
Wakati baba yako anakupeleka kuchomwa CHANJO DHIDI YA "NDUI" ilikuwa imepitia miaka mingapi ya majaribio hapa TANZANIA ?!!!
TULIATHIRIKA nayo?!! Tupe majibu ya kitafiti kuwa chanjo hiyo imeathiri vizazi vyetu....
Kweli UJINGA MZIGO....
Mnatembelewa na mapepo vichwani na mwishowe mnakuwa na HALLUCINATIONS ,DELUSIONS na OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDERS 🤣🤣Kweli MAJINUNI weye......