Legacy gani mnataka?!! Si ameshakua mwanamke wa Kwanza kua Raisi!!!
Mnataka legacy itakayo jaza matumbo yenu! Ehh!?
Mimi bado naamini Ili nchi hii iendelee tunahitaji dictator mwenye akili hivo Ili tuweze fanikiwa katiba hii ni muhim ibaki ilivo.
Naamini mama ata. Ng'atuka au ata mpisha dictator aongoze 2025.
* Dictator ni jina anapewa kiongozi mahiri anayepingana na mifumo kandamizi iliyo wekwa Ili kudistabilise nchi za ulimwengu wa tatu, ambazo Mara zote ndo msingi wa utajiri wa nchi hizo tajiri ambazo ni wezi tangia enzi za akina explorers na missionaries.
Racism ikiwa ndo msingi hasa.
Ni wakati wa africans kuwabagua hao tumpikele ambao kimsingi ndo wezi wetu,
Na hilo linawezekana tukibaki na katiba yetu na tukimpata Raisi dictator anaeijua historia na mwenye high iq.
Caution, andiko hili lina copyright, msilitumie kwenda kuombea funds kwa ajiri ya kuendea kufifiza mapambano yetu dhidi ya wizi wa mabeberu.