nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Labda wezi ndio mko salama, sisi wananchi wa kawaida hatuna ajira, maisha magumu, vifaa vya ujenzi vimepanda, bei za vyakula viko juu, pembejeo ziko juu, tozo
Hongereni.
Hongereni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama anataka urais akagombee kwao zanzibaNakumbuka Ndugai aliwahi kusema 2025 atapumzika siasa, sijui Samia hakusikia hiyo kauli.
Inawezekana yeye Samia ndie mwenye kiu na uRais 2025 zaidi ya Ndugai ni vile anajikausha tu.
Ndii sababu akakimbilia kwa wanawake wenzake kuwaambia 2025 ni zamu yao.
Rais Samia,
....ndiyo kwanza saa 0130 am.Wala usi-panic kiongozi wetu ni mapema mno.
....nenda kwa tahadhari kubwa kwa sababu ya u-mapema huo.Na usiwaamini sana walio upande wako sasa.
Mungu ibariki Tanzania.
Samia aende kwa tahadhari..Nakumbuka Ndugai aliwahi kusema 2025 atapumzika siasa, sijui Samia hakusikia hiyo kauli.
Inawezekana yeye Samia ndie mwenye kiu na uRais 2025 zaidi ya Ndugai ni vile anajikausha tu.
Ndii sababu akakimbilia kwa wanawake wenzake kuwaambia 2025 ni zamu yao.
🤣🤣🤣🤣Wanawake watainyooshaHii nchi, sijui!
Una akili sana.Samia aende kwa tahadhari..
Akikurupuka atajua hajui.
iSamia aende kwa tahadhari..
Akikurupuka atajua hajui.
Magufuli aliingizwa chaka licha 20 yrs in cabinetKaa endelea kujidanganya na ushamba wako kuwa u Amir Jeshi Mkuu uliishia kwa mfu wako!
Kwa Taarifa yako Samia ni Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali na Amir Jeshi Mkuu. Endeleeni ! Hapo sijaweka cheo cha Mwenyekiti wa CCM ambacho kimuundo hakina tofauti na CCP cha China!
Endeleeni kumchukulia poa nyie washamba FC
i
Magufuli aliingizwa chaka licha 20 yrs in cabinet
sembuse huyu.
Huyu mswahili ana sumbuliwa na nini?Aliingizwa chaka au alikuwa anasumbuliwa na ushamba?
Huyo Samia unayemtegea haya mawili si rahisi kufanya, Samia ni walewale2.Futa kesi ya Mbowe,na kesi zote za kisiasa zisizo za msingi.
3.Mchakato wa kupata Katiba iwe kipaumbele kwako,