Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Nashauri deep state imtoe huyu mama ituletee rais mwingine kwa sababu mkimuacha sana atauza mpaka watanzania Wote.
 
Miaka 5 nyuma hatujawahi kuvuna kitu shambani, njaa tupu kila kona. Sasa hivi jamani uvivu wako ndio utakaokutoa kamasi jembamba. Ahsante Mama nchi inetulia tulii hakuna damu za watanzania zinazoangukia juu ya ardhi Wala ndani ya maji, kila mtu ana uhakika wa kuiona kesho.

Kilimo ndio Chanzo kikuu Cha amani yetu hii asikudanganye mtu. Kama ardhi ya kulima ikiisha na amani yetu itaisha pia. Naomba adhi ya kilimo yote na isibadilishiwe matumizi litoke jua inyeshe mvua. Tusigeuze ardhi ya kilimo kuwa makazi hata kama imepakana na mji. Tuipange miji ili tuenee wote kuishi kwenye eneo dogo TU.
 
Majukumu yako yameainishwa kikatiba, tena kwa katiba yetu umepewa nguvu kubwa sana ya kuamua,na kutenda, unavyanzo vingi vya taarifa kuliko mtanzania yoyote hapa nchini kujua kinachoendelea kama kweli utawa makini na si business as usual

Lakini badala ya kutenda kama mkuu wa nchi umekubali kuitwa mama,na sifa ya mama ni huruma,endelea kuonea huruma wabadhirifu wa mali ya umma

Ndugu rais hii nchi wizi uporaji wa mali ya umma ni jadi,

Utakuja kujua baadae kwanini neno mama haliwatoki mdomoni , na hawamaanishi mama unayoifikiria wewe,bali ni malengo binafsi
 
Kwanza nampongeza kwa kuwa msikivu

Kuhusu Machinga, maeneo Wanayo tengewa mengine yanafaa lakini mengine hayafai

Ukizingatia Machinga hufuata Watu walipo ili kuwauzia

Naishauri Serikali

Iweke muda maalum ambao Machinga hatoruhusiwa kuwa barabarani

Halafu uwepo muda ambao Machinga ataruhusiwa kuwepo barabarani kwa masharti maalum chini ya usimamizi wa migambo jiji

Yawepo masharti Ya kulipa ushuru

Kila Machinga apewe mita 1 tu

Maeneo wasijimilikishe hao Machinga,ila wayatumie kidharura

Aliyepo ndiye anapimiwa nafasi

Utengenezwe utaratibu wa kudhibiti rushwa/urasimu

Nashauri wapewe kuanzia masaa ya jioni mpaka saa sita usiku
 
Kwanza nampongeza kwa kuwa msikivu

Kuhusu Machinga, maeneo Wanayo tengewa mengine yanafaa lakini mengine hayafai

Ukizingatia Machinga hufuata Watu walipo ili kuwauzia

Naishauri Serikali

Iweke muda maalum ambao Machinga hatoruhusiwa kuwa barabarani

Halafu uwepo muda ambao Machinga ataruhusiwa kuwepo barabarani kwa masharti maalum chini ya usimamizi wa migambo jiji

Yawepo masharti Ya kulipa ushuru

Kila Machinga apewe mita 1 tu

Maeneo wasijimilikishe hao Machinga,ila wayatumie kidharura

Aliyepo ndiye anapimiwa nafasi

Utengenezwe utaratibu wa kudhibiti rushwa/urasimu

Nashauri wapewe kuanzia masaa ya jioni mpaka saa sita usiku
 
1686786053935.png

Naomba ujumbe huu uwafikie rais Samia Suluhu Hassan, wapenzi wake, chawa wake na maadui wote wa Magufuli.

Kwanza, siyo nyinyi tu, Tanzania na Jumuia ya Afrika Mashariki mnapaswa kumshukuru Magufuli kwa kuwapatia rais Mwanamke wa kwanza kwenye ukanda huu.

Pili, Rais Samia najua chawa wake walioko humu watakufikishia au kukusemea, bila Magufuli ungekuwa rais? Kwa alivyokuwa mbabe, hata angemteua mke wake msingemzuia mlivyomgwaya.

Tatu, shukuruni haya yote mnayojivunia kama vile madege, reli ya kisasa, barabara na mengine mengi ni kwa sababu ya utundu wake. Bila CCM kumsimamisha Magufuli, ingekuwa ilipo Kanu (Kenya), MCP (Malawi, na UNIP (Zambia).

Nne, mshukuruni lau na kumkumbuka kwa flyovers na flyunders zilizojazana Tanzania.

Mkumbukeni kwa kuufufua mji wa Dodoma na kuufanya mji mkuu kivitendo baada ya kukaa miaka 30 ukiwa ni wa kinadharia.

Tano, leo mnalia hakuna dola. Alipofunga maduka ya kutoroshea dola mengi ya wahindi hamkumuelewa. Mmeruhusu kipumbavu cha moto wafanyabiashara wanakipata.

Bila Magufuli bunge mngekuwa na wapinzani wakipinga upigaji wenu.

Mshukuruni Magufuli kwa kukuza uchumi na kupunguza ubangaizaji na uzembe ambavyo vimeanza kujongea tena.

Bila Magufuli chawa manadhani mngekuwa na ng'ombe wenu , Samia, wa kukamua damu?
Japo hakuwa mkamilifu, alithubutu ambapo wengi walishindwa. Kwa hili lau mkumbukeni na mmpe maua yake.

Naomba kutoa hoja.
 
Kwa mwaka mmja Serikali ya Mama Imejenga Vituo vya Afya zaidi ya elfu 3 maana mwaka ujao watajenga Vituo 55 tuu na Nguvu kubwa wamepeleka Kwenye Ajira,vifaa tiba na dawa.

𝐕𝐈𝐓𝐔𝐎 𝟐,𝟒𝟗𝟏 𝐕𝐘𝐀 𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐙𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐌𝐎𝐉𝐀

Machi 2022: Vituo 8,549

Machi 2023: Vituo 11,040

Kasi kubwa ya ongezeko la vituo hivi ni matokeo ya ushirikiano wa Serikali na sekta binafsi kufikisha huduma bora kwa wananchi.

My Take
Huyu Rais apewe maua yake.
 
Back
Top Bottom