Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
John karibu Ibadani Kristo mfalme!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NChi naipenda sana.Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Lucas ni mzalendo
Ipende Nchi yako kwanza,NChi naipenda sana.
Yeye ni mpende kwa lipi?
Viongozi wakuu wa nchi huwekwa na Yeye mwenyewe Mungu wa mbinguniNChi naipenda sana.
Yeye ni mpende kwa lipi?
Mungu hawekagi fisadi tuliza weweViongozi wakuu wa nchi huwekwa na Yeye mwenyewe Mungu wa mbinguni
Mkuu unalazimisha ndoa ya mkekaHilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Fisadi ni tafsiri Yako kama BinadamuMungu hawekagi fisadi tuliza wewe
Kuna Ndoa za Kidini na Kimila, mkeka ni kwenye KamariMkuu unalazimisha ndoa ya mkeka
Hakuna mahali imeandikwa baraka zinakuja kwa kumpenda rais.Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
RAis wako hayuko rohoni sitamuona hukoFisadi ni tafsiri Yako kama Binadamu
Nakuombea kwa Mungu wa mbinguni ayafungue macho Yako ya rohoni
Ombi lina mawili.Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana
Nawatakia Dominica Njema 😄
Kama ni hivyo, Yale mabegi meusi ya kura ni ya nini?Viongozi wakuu wa nchi huwekwa na Yeye mwenyewe Mungu wa mbinguni
Hawa chawa wake ndio watakuwa midomo juu, kuongelea mabaya yake, tuupe muda nafasi, pia tuombe uzimaHuyu bibi hatupeleki popote . Ni kutuzalishia matatizo ambayo ikifika 2030 ,Kila mtu ataongea kilugha chake
Dumisha Amani kipimo Cha HAKI anacho Mungu wa mbinguniNaipenda sana Nchi yangu Tanzania 🇹🇿
Nachukia sana RUSHWA , ubadhirifu wa Mali ya umma na Wizi wa kura.
Napenda kuona HAKI ikitawala juu ya nchi.
Amen