Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Tunataka KIA iwe kituo kikubwa cha kusafirisha mbege duniani. Wachaga wametapakaa dunia nzima.
 
Lucas Mwashambwa tupe kwa kina haya maendeleo ya kutisha kipindi hiki cha mama Samia. Video chini hapo zinajieleza.
.
Hawa wagogo wana vituko sana. Dodoma watu wameamuwa kutumia SGR, wenye mabasi sasa wanapakia mbuzi:
View attachment 3080758

Hongera sana mama Samia, unatisha.

Mbuzi wanazidi kuwa watamu.
Hao mbuzi walipotoka hapo walioelekwa moja kwa moja kukwea pipa kupelekwa Kizimkazi festival.

Palikuwa hapatoshi.
 
Chadomo walipewa pesa za visima vya huko na marehemu Sabodo, walizipeleka wapi?


Nani alipewa viongozi wa CCM and wa kimila! walipewa viongozi wa CCM ambao kama kawaida yao wanafikiria matumbo kwanza. Sabodo sio serikali kule kusini Unguja kwa Mama hakuna shida ya maji ingawa ni gharama kubwa kupeleka maji kule kwasababu maji ya visima ni ya chumvi
 
Neno moja kwa Mama

MAMLAKA

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#SamiaAPP
#KaziIendelee
 

Attachments

  • IMG-20240830-WA0019.jpg
    IMG-20240830-WA0019.jpg
    107.4 KB · Views: 6
  • IMG-20240830-WA0020.jpg
    IMG-20240830-WA0020.jpg
    110.3 KB · Views: 5
  • 13fa5796f5364b69b7148e37ea6ce7e9.jpg
    13fa5796f5364b69b7148e37ea6ce7e9.jpg
    131.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom