Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mawazo ni mengi tu ya kukuwaza wewe tu lazizi wangu ephen.Unaumwa? Sijakuzoea hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ni mengi tu ya kukuwaza wewe tu lazizi wangu ephen.Unaumwa? Sijakuzoea hivi
Bora nibaki kuwa Dereva kuliko kwenda kusimangwa.Hivi kijana gani wewe! Kwani ukiwa CCM ukafaidika kuna nini?
Leo haupo sawa, unaandika kifupifupi nishazoea magazetiMawazo ni mengi tu ya kukuwaza wewe tu lazizi wangu ephen.
Nataka kuupatia raha na furaha moyo wako maana najuwa hupendi maandiko marefu marefu kama jamvi la wageni.Leo haupo sawa, unaandika kifupifupi nishazoea magazeti
Lucas Mwashambwa tupe kwa kina haya maendeleo ya kutisha kipindi hiki cha mama Samia. Video chini hapo zinajieleza.
.
Hawa wagogo wana vituko sana. Dodoma watu wameamuwa kutumia SGR, wenye mabasi sasa wanapakia mbuzi:
View attachment 3080758
Hongera sana mama Samia, unatisha.
Mbuzi wanazidi kuwa watamu.
Unaambiwa,mbuzi nao wameamua kuwa chawa wa mama.Lucas Mwashambwa njoo huku uone mbuzi wakibubujikwa na machozi ya furaha baada ya Mama kuupiga mwingi hapo Dodoma - Dar SGR
Oyooo😂😂Unaumwa? Sijakuzoea hivi
Maendeleo ni kwa Zanzibar wengine hata maji hawana
View: https://youtu.be/IzyRUPSDwgc?si=u4tSTD3xeLEAzhrn
mbona kama unamdhihaki mamLucas Mwashambwa tupe kwa kina haya maendeleo ya kutisha kipindi hiki cha mama Samia. Video chini hapo zinajieleza.
.
Hawa wagogo wana vituko sana. Dodoma watu wameamuwa kutumia SGR, wenye mabasi sasa wanapakia mbuzi:
View attachment 3080758
Hongera sana mama Samia, unatisha.
Mbuzi wanazidi kuwa watamu.
Hao mbuzi walipotoka hapo walioelekwa moja kwa moja kukwea pipa kupelekwa Kizimkazi festival.Lucas Mwashambwa tupe kwa kina haya maendeleo ya kutisha kipindi hiki cha mama Samia. Video chini hapo zinajieleza.
.
Hawa wagogo wana vituko sana. Dodoma watu wameamuwa kutumia SGR, wenye mabasi sasa wanapakia mbuzi:
View attachment 3080758
Hongera sana mama Samia, unatisha.
Mbuzi wanazidi kuwa watamu.
Kuna dhihaka hapo? Picha zinaongea lakini hazimpati Lucas Mwashambwa.mbona kama unamdhihaki mam
Bora. Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi.Bora nibaki kuwa Dereva kuliko kwenda kusimangwa.
Chadomo walipewa pesa za visima vya huko na marehemu Sabodo, walizipeleka wapi?