Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 309
- 579
Kumbe yule ni gaidi mkuuKaokotwa ununio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe yule ni gaidi mkuuKaokotwa ununio
Kwahiyo hao cdm wandelee kuwa makondoo wakati wanaendelea kuuwawa na vyombo vya dola?Wakati wa Kikwete na Magufuli waliopotea na kuuliwa ni wengi zaidi kuliko kipindi hiki cha miaka mitatu iliyopita.Kwanini kwa Samia nongwa za Chadema zimekuwa kubwa kiasi cha kutoa tamko la dharau na la kitisho cha waziwazi.
Ndipo pale baadhi ya watanzania wametia shaka juu ya kifo cha Ali Mohammed Kibao kwamba ni mauwaji ambayo ni zaidi ya mauwaji tuliyoyasikia huko nyuma.
Atajuaje wakati amekufa?Unaongea pumba Wewe... Ngoja UFE Wewe Ndio utajua uchungu wa kufiwa
Ipi mkuu unaafiki hii kitu au??Unaliwa mwanangu