Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kama Taifa ndio tumefikia hapa mama akifanya vizuri mitano tena (binafsi sijaona kizuri) , akiboronga lawama zinaenda kwa washauri.

Utasikia Mama hana roho mbaya ila kuna wapambe wachache wanamuharibia wamchafue wanautaka u-rais wake sasa unajiuliza hivi huyu rais akili yake haina uwezo wa kujua hapa kwa ushauri huu napelekwa chaka???

Ama kweli Taifa la Tanzania wenye uchungu nalo washakufa siku nyingi sana sahivi kila mtu anaangalia tumbo lake.(Unabisha?)
 
Wakati wa Kikwete na Magufuli waliopotea na kuuliwa ni wengi zaidi kuliko kipindi hiki cha miaka mitatu iliyopita.Kwanini kwa Samia nongwa za Chadema zimekuwa kubwa kiasi cha kutoa tamko la dharau na la kitisho cha waziwazi.
Ndipo pale baadhi ya watanzania wametia shaka juu ya kifo cha Ali Mohammed Kibao kwamba ni mauwaji ambayo ni zaidi ya mauwaji tuliyoyasikia huko nyuma.
 
Tamko la dharau na kitisho eeh!!? Basi subiri utaona muziki wa kamanda Mbowe. Mwenyewe alisema mapema tu baada ya Samia kuapishwa kuwa maovu yaliyofanywa na jiwe "never and never again". Lkn Samia kayarudia.
 
Wakati wa Kikwete na Magufuli waliopotea na kuuliwa ni wengi zaidi kuliko kipindi hiki cha miaka mitatu iliyopita.Kwanini kwa Samia nongwa za Chadema zimekuwa kubwa kiasi cha kutoa tamko la dharau na la kitisho cha waziwazi.
Ndipo pale baadhi ya watanzania wametia shaka juu ya kifo cha Ali Mohammed Kibao kwamba ni mauwaji ambayo ni zaidi ya mauwaji tuliyoyasikia huko nyuma.
Kwahiyo hao cdm wandelee kuwa makondoo wakati wanaendelea kuuwawa na vyombo vya dola?
 
IMG-20240910-WA0003.jpg
 
Kiufupi unahalalisha watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa kisa wale wengine walifanya hivyo
 
leo nimebahatika kuja dar bhna nikitokea igumbilo iringa uko nilivyo paacha na kwasasa nilivyo pakuta ni pazuri sana nimepita kule njia ya gerezani kwenda bandari njia.imetulia hakuna jam tena kama Zaman ni pazuri sana nimepapenda kiukweli kajitahidi kwa nafasi yake

lakin kitu kimeniuzunisha ni kuona mwendokasi haufanyi kazi kama mwazoni naona wapigaji washakula chao ila pale stendi ya mwendokasi pale dart jangwani kufungwa napo napozengeza nilimiskia professor asharose akisema alipinga ujenzi wa pale kipindi akiwa waziri

ila ukweli jiji limetulia na limepambwa vizuri sana ila pale jangwani pangejengwa flyover sijiui ndio inaandikwa ivyo

nawasilisha
 
Wapendwa wa jf mimi kama mie 2025 nitampa kura yangu Mungu akipenda MAMA SAMIA SULUHU HASSAN sijalazimishwa wlaa kujishurutishwa ni kwa hiyari yangu mwenyewe ila kwa ubunge nitampa ACT WAZALENDO .

KWANINI
Lazima tumsupport mama yetu amalizie miaka yake na amejitahidi sana kwa kuiongoza nchi kama mwanamke wa kwanza east afrika kuongoza mwanamke.

Sijui wewe kwangu mie imeenda hiyoo. Weekend njema

View: https://youtu.be/ntPpe8A_iYo?si=uUWT5FcfpdzdnbyX
 
Back
Top Bottom