Jamani tutumie lugha za Kistaarabu kidogo.Na si mashirika yote ya ndege ni wanachama wa IATA kwa taarifa yako.Fastjet kwa mfano si mwanachama wa IATA ndiyo maana ukichelewa ndege zao TIKETI "imekufa" wakati ATCL na Precision ni wanachama wa IATA.Hawa hata ndege zao zikikuacha huna pressure,utapanda ndge inayofuata.Zile "low price" carriers nyingi si wanachama wa IATA
Wee k.enge kweli.... ulijua bei za nauli ya ndege ziko kiholela...? Tatizo lako ww 🐗🐗 hujui hata nn kinaendelea ktk nauli za ndege...!!
Air fares is strictly monitored and given by IATA... to all Airlines around the world... with sub-auditing committee called IOSA to strictly make oversight on Air fares...
In General Aviation, we have TCAA, in Tz that monitored air fares very closely....
Ww ulijua biashara ya ndege inafanywa k.isenge kama ilivyo shule zenu za kinyumbu za private...
Na hizo shule za private ww ndio product yake... unawaza u 🐗🐗 tu..
Swine..!! Udhania ndege ni Private schools... mmaaaninaaa wee
Unge elimisha tu paspo kutukana
Wewe na yeye nani ana busara?kauliza kistaarabu we unamwagika tu,haya kama matusi ni sifa jipongezee kwa kujipigia makofi.
Sasa nyumbu si mlianzisha nyie... kusema na ww ni nyumbu ni kosa..👉🚶🚶
Follow the rules...
Do you know the meaning and rules of Low cost carriers...? Have you try to see and read their regulations..? Be panctual... ijue sheria zinazoanazisha Low cost carrier... na duniani kote Low cost carrier ndio cheapest airfares kuliko zote, sometimes unaweza sema wanapata hasara...but they make profits... So Airfares are monitored by TCAA for local flights in case kuna misunderstanding ktk flight fulani na abiria hulindwa...and will be taken care of... sio kama Elimu zenu za private... products zake ni vihiyo tupu... hakuna cha lugha wala nn..!! Hapa kazi tu
Kuhusu kuuza hizo nyumba mbona sumaye alishajibu, alijibu kipindi anatangaza nia na vilevile alijibuvkipindi anahojiwa na mhando wa azam tv kwamba nyumba ziliuzwa baada ya rais,pm na cabinet kuridhia,,,,, acha kukurupuka na kupost kitu ambacho huba uele2a nachoWatanzania mnanogewa sana na mbwembwe, ila unapokuwa mshabiki wa haya hakikisha hujihusishi na madili yoyote, maana am afraid Watanzania wengi wanaishi kwa wizi na wanaotegemea kipato halali ni wachache mno, shangilia iliyopo ni ya wale ambao network ziliwapita pembeni lakini wengi ni majizi.
Nitakuwa mshabiki wa Magufuri akirudisha zile nyumba zetu alizouza kwa bei ya chee mpaka na yeye moja akahonga mchepuko.
Leo nimepata taarifa kuwa eneo ilipokuwa kambi ya vijana Igumbilo MKoani Iringa Vigogo wa UVCCM wakiongozwa na Katibu Mkuu wao taifa, wamegawana viwanja na vingine kuviuza. HIstoria ya eneo hilo inaonesha ilikuwa ni sehemu ya Mashamba makubwa ya Tumbaku ambayo yalitaifishwa na serikali toka wa Wagiriki.
Tukio hilo likanifikirisha juu ya "uhalali" wa hao viongozi wa UVCCM kugawana hivyo viwanja vya Igumbilo. Ikumbukwe kuwa kabla ya mwaka 1965 kulikuwa na vyama vingi vya siasa mpaka pale TANU ilipotumia madaraka ya kidola kuviua. Kwa maana nyingine TANU na ASP vilipoungana mwaka 1977 vilikuwa tayari ni vyama dola. Kwa maana hiyo viwanja hivyo vya Igumbilo asili yake ni Umma na wala si CCM
Baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, CCM kikiwa ndicho chama pekee cha siasa nchi, kilijichagulia jinsi kitakavyobakia ndani ya mfumo wa vyama vingi. Njia mojawapo ikaona ili kiwe salama ni kujimilikisha mali zote za umma zenye muelekeo wa kisiasa na kuzigeuza mali zake.
Lakini ni baada ya mwaka 1995 kwenye uchaguzi Mkuu ulioshirikisha vyama vingi vya siasa ulipofanyika, ndipo CCM ilipotanabahi kuwa ili iendelee kuwa madarakani ni lazima ipanue wigo wake wa kumiliki mali zilizokuwa za Umma ndani ya mfumo wa chama kimoja. Hapo sasa CCM ikapora haki ya umma ya kuvimiliki viwanja vyote vikubwa vya mpira na kuvifanya kuwa vyake. Nakumbuka Miaka michache iliyopita Amos Makala akiwa ni Mchumi wa CCM taifa aliwakumbusha wana CCM wenzake kuvitafutia viwanja hivyo hati za umiliki kwani CCCM haiwezi kukaa madarakani milele.
Kwa maneno ya Makala inaonesha kwamba CCM haikuwa inavimiliki viwanja hivyo kihalali, bali ilitumia mamlaka ya kidola kuvitangaza kuwa vyake bila hata aibu. Ukichanganya na eneo la SUKITA pale jangwani CCM imepora mali nyingi za umma bila haya wala huruma. Kama kweli Ndugu Rais, John Pombe Magufuli ni jasiri na anataka kupambana na uhalifu na uovu uliojaa katika jamii yetu, basi arudishe mali nyingi za umma zilizoporwa na CCM!
bora iwe 200sh kwa haja zote bila kujali kubwa au ndogo