Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Jamani...

Sasa kila kitu imekuwa biashara... ukiwa Stand ya Ubungo, au mikoani eg. Moro Msamvu, au Arusha Stand etc Vyoo vimekuwa ghali sanaaa jamani... eeh..

1: Haja ndogo tshs 300.. yaani kukojoa tu

2: Haja kubwa tshs 400 hadi 500... hii ni ghali sana sanaaa... au kwa bei hizo lazima tudai RISITI ya TRA ili nikienda chooni serikali inapata mapato... la sivyo basi...👇👇

Hivi vyoo ingekuwa sh. 100 tu kwa mkojo na 200 kwa ma.vi tu..

Kwenda haja ni haki yetu sote ya msingi kama Elimu vile...

Asanteni... 😨👉🚶🚶💩💩💩💨
 
Naipongeza serikali ya Dr. Magufuli kwa kuona na kulichukulia hatua za awali hili la ada kandamizi. Wafanyabiashara na Kila mfanyakazi mwenye mtazamo wa kimaendeleo anatamani watoto wake wapate elimu bora . Elimu bora inapatikana ktk shule za taasisi na watu binafsi. Ni bahati mbaya sana wamiliki wa shule hizi wamekua walafi kwani ada zao ziko juu, ni zaidi ya 1,200,000 na kuendelea bado michango kama vile uchakavu wa majengo, kuweka umeme kwenye majengo, tours, graduation, na mchango wanaoita "mengineyo" baada ya kuishiwa misamiati mf. Kibosho Girls & St Matthews Sec.school. Sio siri ingawa ni dhambi tumelazimika kutafuta ada hizo za kifisadi kwa udi na uvumba ikiwemo kudai rushwa na kifisadi ili kukidhi changamoto za elimu. Ni wazi kuwa kupunguzwa ada kutawawezesha wazazi kupeleka watoto wengi zaidi ktk shule hizo na kupunguza vichocheo vya ulaji rushwa 3(Elimu) . Najihisi mwepesi kabla ya siku 100 za Magufuli nimeokoa shilingi 3,600,000 ambazo ningelipa kwa wanafunzi watatu @ 1,500,000 Tsh.
 
Uteuzi bado mpaka January jamaa anataka amalize mifereji na mianya yote ya rushwa
 
Jamani tutumie lugha za Kistaarabu kidogo.Na si mashirika yote ya ndege ni wanachama wa IATA kwa taarifa yako.Fastjet kwa mfano si mwanachama wa IATA ndiyo maana ukichelewa ndege zao TIKETI "imekufa" wakati ATCL na Precision ni wanachama wa IATA.Hawa hata ndege zao zikikuacha huna pressure,utapanda ndge inayofuata.Zile "low price" carriers nyingi si wanachama wa IATA


Follow the rules...

Do you know the meaning and rules of Low cost carriers...? Have you try to see and read their regulations..? Be panctual... ijue sheria zinazoanazisha Low cost carrier... na duniani kote Low cost carrier ndio cheapest airfares kuliko zote, sometimes unaweza sema wanapata hasara...but they make profits... So Airfares are monitored by TCAA for local flights in case kuna misunderstanding ktk flight fulani na abiria hulindwa...and will be taken care of... sio kama Elimu zenu za private... products zake ni vihiyo tupu... hakuna cha lugha wala nn..!! Hapa kazi tu
 
Wee k.enge kweli.... ulijua bei za nauli ya ndege ziko kiholela...? Tatizo lako ww 🐗🐗 hujui hata nn kinaendelea ktk nauli za ndege...!!

Air fares is strictly monitored and given by IATA... to all Airlines around the world... with sub-auditing committee called IOSA to strictly make oversight on Air fares...

In General Aviation, we have TCAA, in Tz that monitored air fares very closely....

Ww ulijua biashara ya ndege inafanywa k.isenge kama ilivyo shule zenu za kinyumbu za private...

Na hizo shule za private ww ndio product yake... unawaza u 🐗🐗 tu..
Swine..!! Udhania ndege ni Private schools... mmaaaninaaa wee

Wewe na yeye nani ana busara?kauliza kistaarabu we unamwagika tu,haya kama matusi ni sifa jipongezee kwa kujipigia makofi.
 
Unge elimisha tu paspo kutukana

Sbb nyumbu ni ngumu kuelewa hadi umgonge kichwa...
Nyumbu ana wadudu fulani kichwani wanamfanya zezeta fulani hivi, so ukimgonga kichwa anaelewa... hapa kazo tu...🚶🚶
 
Wewe na yeye nani ana busara?kauliza kistaarabu we unamwagika tu,haya kama matusi ni sifa jipongezee kwa kujipigia makofi.

Sasa nyumbu si mlianzisha nyie... kusema na ww ni nyumbu ni kosa..👉🚶🚶
 
Sasa nyumbu si mlianzisha nyie... kusema na ww ni nyumbu ni kosa..👉🚶🚶

Jibu kistaarabu,hata kama unajua kitu ukijibu kwa matusi utaonekana mhuni tu.
 
Follow the rules...

Do you know the meaning and rules of Low cost carriers...? Have you try to see and read their regulations..? Be panctual... ijue sheria zinazoanazisha Low cost carrier... na duniani kote Low cost carrier ndio cheapest airfares kuliko zote, sometimes unaweza sema wanapata hasara...but they make profits... So Airfares are monitored by TCAA for local flights in case kuna misunderstanding ktk flight fulani na abiria hulindwa...and will be taken care of... sio kama Elimu zenu za private... products zake ni vihiyo tupu... hakuna cha lugha wala nn..!! Hapa kazi tu


Tatizo Mheshimiwa uko so defensive.Ninachopingana na wewe ni issue ya IATA kucontrol bei ya airlines zote duniani kama ulivyoandika.Moja ya kazi za blog ni kuelemishana mimi siwezi kufahamu kila kitu/fani...Air fares is strictly monitored and given by IATA... to all Airlines around the world

Suala la local flights vs TCAA nakubaliana na wewe 100%.Mimi ni mtalaamu wa miamba sijabobea kwenye Aviation.Nakutakia siku njema.
 
Watanzania mnanogewa sana na mbwembwe, ila unapokuwa mshabiki wa haya hakikisha hujihusishi na madili yoyote, maana am afraid Watanzania wengi wanaishi kwa wizi na wanaotegemea kipato halali ni wachache mno, shangilia iliyopo ni ya wale ambao network ziliwapita pembeni lakini wengi ni majizi.

Nitakuwa mshabiki wa Magufuri akirudisha zile nyumba zetu alizouza kwa bei ya chee mpaka na yeye moja akahonga mchepuko.
Kuhusu kuuza hizo nyumba mbona sumaye alishajibu, alijibu kipindi anatangaza nia na vilevile alijibuvkipindi anahojiwa na mhando wa azam tv kwamba nyumba ziliuzwa baada ya rais,pm na cabinet kuridhia,,,,, acha kukurupuka na kupost kitu ambacho huba uele2a nacho
 
Sasa wananchi wa tz nn mnahitaji mtu afanye nn coz mtu akiwajibika mnaanza oooh kajishtykia ahhahahha yaaan watz wanashida sana
 
Leo nimepata taarifa kuwa eneo ilipokuwa kambi ya vijana Igumbilo MKoani Iringa Vigogo wa UVCCM wakiongozwa na Katibu Mkuu wao taifa, wamegawana viwanja na vingine kuviuza. HIstoria ya eneo hilo inaonesha ilikuwa ni sehemu ya Mashamba makubwa ya Tumbaku ambayo yalitaifishwa na serikali toka wa Wagiriki.

Tukio hilo likanifikirisha juu ya "uhalali" wa hao viongozi wa UVCCM kugawana hivyo viwanja vya Igumbilo. Ikumbukwe kuwa kabla ya mwaka 1965 kulikuwa na vyama vingi vya siasa mpaka pale TANU ilipotumia madaraka ya kidola kuviua. Kwa maana nyingine TANU na ASP vilipoungana mwaka 1977 vilikuwa tayari ni vyama dola. Kwa maana hiyo viwanja hivyo vya Igumbilo asili yake ni Umma na wala si CCM

Baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, CCM kikiwa ndicho chama pekee cha siasa nchi, kilijichagulia jinsi kitakavyobakia ndani ya mfumo wa vyama vingi. Njia mojawapo ikaona ili kiwe salama ni kujimilikisha mali zote za umma zenye muelekeo wa kisiasa na kuzigeuza mali zake.

Lakini ni baada ya mwaka 1995 kwenye uchaguzi Mkuu ulioshirikisha vyama vingi vya siasa ulipofanyika, ndipo CCM ilipotanabahi kuwa ili iendelee kuwa madarakani ni lazima ipanue wigo wake wa kumiliki mali zilizokuwa za Umma ndani ya mfumo wa chama kimoja. Hapo sasa CCM ikapora haki ya umma ya kuvimiliki viwanja vyote vikubwa vya mpira na kuvifanya kuwa vyake. Nakumbuka Miaka michache iliyopita Amos Makala akiwa ni Mchumi wa CCM taifa aliwakumbusha wana CCM wenzake kuvitafutia viwanja hivyo hati za umiliki kwani CCCM haiwezi kukaa madarakani milele.

Kwa maneno ya Makala inaonesha kwamba CCM haikuwa inavimiliki viwanja hivyo kihalali, bali ilitumia mamlaka ya kidola kuvitangaza kuwa vyake bila hata aibu. Ukichanganya na eneo la SUKITA pale jangwani CCM imepora mali nyingi za umma bila haya wala huruma. Kama kweli Ndugu Rais, John Pombe Magufuli ni jasiri na anataka kupambana na uhalifu na uovu uliojaa katika jamii yetu, basi arudishe mali nyingi za umma zilizoporwa na CCM!

Na hilo pia ni bonge la jipu
 
Jamani ebu acheni wivu na kazi za watu maana sasa huko ni kumtafuta mtu binafsi na kazi yake kwa sababu alicho fanya mlamba ni sahihi na si kwamba anaishia hapo ataendelea. Tatizo letu watanzania huwa hatutaki kusikia ukweli na uwazi kuhusu Tanesco maana shirika hili linaitaji ueledi wa hali ya juu sasa leo ukiishia kulaumu watu bila kuangalia kiundani zaidi kweli utalaumu. Lakini wanaoongoza kuliujumu ni sisi wananchi wenyewe kwasababu mtu badala ya kutumia umeme inavyotakiwa ataleta vishoka wake waje wabane ili atumie Umeme kidogo tunaiba mafuta ya transformer tunachoma nguzo tunaharibu vyanzo vya maji na mengine mengi alafu leo tuko hapa kazi kuilaumu na kulaumu mwafanya kazi wake
 
Kapola nyumba za serikali kawaopa vimada ndio mahana mke wake hamtaki kwa dababu hiyo.

swissme
 
watanzania ni wagumu wa kuchanganua mambo.shule nijenge kwa mkopo toka benki,walimu niwalipe vizuri then ada laki na nusu.jipu hili magufuli haliwezi.shule hazitaweza kujiendesha tuache ulofa
 
Mh Dk.JPM tafadhali naomba ongea na wafanyakazi wa tanesco ili ujue changamoto zao, kuna watu miaka 10 hawaja ajiliwa mpaka leo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom