Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Jamani...
Sasa kila kitu imekuwa biashara... ukiwa Stand ya Ubungo, au mikoani eg. Moro Msamvu, au Arusha Stand etc Vyoo vimekuwa ghali sanaaa jamani... eeh..
1: Haja ndogo tshs 300.. yaani kukojoa tu
2: Haja kubwa tshs 400 hadi 500... hii ni ghali sana sanaaa... au kwa bei hizo lazima tudai RISITI ya TRA ili nikienda chooni serikali inapata mapato... la sivyo basi...👇👇
Hivi vyoo ingekuwa sh. 100 tu kwa mkojo na 200 kwa ma.vi tu..
Kwenda haja ni haki yetu sote ya msingi kama Elimu vile...
Asanteni... 😨👉🚶🚶💩💩💩💨