Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
UKAWA Ni Kiboko Yao!
Mkuu,Wajinga Ndio Waliwao!Mkuu hi Avatar mbona kama unaleta distraction?
halafu unaweza pata pm za vidume wakijua kuwa ni mrembo,huogopi?
kwa kweili imekua too much,haipiti siku lazima umusikie kwenye vyombo vya habari.
rais lazima uhadimike kama shillingi angalau watu waku miss,siku ukiongea watu wapate attention kitu gani rais anataka aongee!
Upo sahihi Sana Njali mana mi cjawah ona Mwalimu anaemalizaga topic form three Ile effectively..coz topic zko deep sana Afu ndefuPia Geography Form Three ifanyiwe marekebisho, Physical Geography Igawanywe kidato cha Pili, cha tatu na cha NNE pia mada zake ziwekwe. Kurundika physical yote kidato cha tatu siyo
Mtaala mpya unaiishia dars la 6.................wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam......................
Mh. Waziri Elimu Yetu inashuka kwa kuwa Hatuipi kipaumbele kama tunavozipa siasa, sio siri Kuna kila sababu ya kufumua mitaala yetu na mfumo mzima wa Elimu na kuucheki upya, ili kulenga soko la ndani na nje ya nchi yetu zaidi. Nashauri yafuatayo yaaangaliwe.
1: kupunguza idadi ya miaka primary school walau, iishie darasa la tano ama la sita, kwa kuwa sioni umuhimu wa darasa hili la saba.
2:Kuchagua Moja Kama tumeamua Kishwahili kuwa Lugha ya kufundishia primary na kiingereza sekondari na hata vyuoni, basi tujenge msingi mzuri wa Lugha hii. Maana naona Tunawachanganya sana wadogo zetu hawa wanapokwenda sekondary.
3:kubadili Mtaala wa elimu, mwanafunzi afundishwe na kupewa uelekeo mapema, ikiwezekana masomo yote ya hisoria na hata uraia yafunzwe toka primary ili kupunguza mzigo secondary, somo kama civics, historia yarudishwe primary yawe lazima kwa wote, mwanafunzi anapofika o level awe na uwezo wa kusoma masomo machache yatakayompa uelekeo wake juu ya maisha yake baadaye. kama anataka kuwa mwanasayansi, docta ama engineer atleast asome masomo usika tuu, miaka yote minne.
4: college iwe hatua inayofuata baadaya ya o level ili kumfanya alteast kila raia awe na professional fulani, na hata kujiajili mwenyew kulisaidia taifa lake.
5: Elimu ya form six iondolewe iliplaciwe na college ,
6: tudumishe elimu ya ufundi na shule pamoja na vyuo vyake kama veta, ili kupata wataalam wa aina zote.
7: mwisho elimu yetu iwe ya vitendo zaidi kuliko nadharia, sio jitu linajiita msomi hata kujenga hoja aliwezi.
,....................ni hayo tuu..........alamsiki..............................................
.................wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam......................