Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mkuu hi Avatar mbona kama unaleta distraction?
halafu unaweza pata pm za vidume wakijua kuwa ni mrembo,huogopi?
Mkuu,Wajinga Ndio Waliwao!
The Picture You See on My Profile Is the Only Best Photo of Wema I Love and Cherish the Most!Coz The Photo Reminds Me of The Time When She was Still Her True and Original Self,Unlike Her Current Fake Look!
 
CHADEMA unalinganisha na njaa kaka? mara ngap watu tunavumilia njaa! mikutano ya CHADEMA ww unaona inavumilika kwa mwanaCCM na wanufaika wao???
 
Kwakweili imekua too much, haipiti siku lazima umsikie kwenye vyombo vya habari. Rais lazima uadimike kama shillingi angalau watu wakumiss na siku ukiongea watu wapate attention kitu gani rais anataka aongee!

Ushauri wangu ni huo!
 
kwa kweili imekua too much,haipiti siku lazima umusikie kwenye vyombo vya habari.
rais lazima uhadimike kama shillingi angalau watu waku miss,siku ukiongea watu wapate attention kitu gani rais anataka aongee!

It is a pity
 
Angekuwa anaongea vitu vya maana mimi sioni tatizo, lakini utasikia fyatueni watoto, nisione mtu anawasumbua machinga katikati ya jiji etc
 
.................wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam......................
Mh. Waziri Elimu Yetu inashuka kwa kuwa Hatuipi kipaumbele kama tunavozipa siasa, sio siri Kuna kila sababu ya kufumua mitaala yetu na mfumo mzima wa Elimu na kuucheki upya, ili kulenga soko la ndani na nje ya nchi yetu zaidi. Nashauri yafuatayo yaaangaliwe.

1: kupunguza idadi ya miaka primary school walau, iishie darasa la tano ama la sita, kwa kuwa sioni umuhimu wa darasa hili la saba.
2:Kuchagua Moja Kama tumeamua Kishwahili kuwa Lugha ya kufundishia primary na kiingereza sekondari na hata vyuoni, basi tujenge msingi mzuri wa Lugha hii. Maana naona Tunawachanganya sana wadogo zetu hawa wanapokwenda sekondary.
3:kubadili Mtaala wa elimu, mwanafunzi afundishwe na kupewa uelekeo mapema, ikiwezekana masomo yote ya hisoria na hata uraia yafunzwe toka primary ili kupunguza mzigo secondary, somo kama civics, historia yarudishwe primary yawe lazima kwa wote, mwanafunzi anapofika o level awe na uwezo wa kusoma masomo machache yatakayompa uelekeo wake juu ya maisha yake baadaye. kama anataka kuwa mwanasayansi, docta ama engineer atleast asome masomo usika tuu, miaka yote minne.
4: college iwe hatua inayofuata baadaya ya o level ili kumfanya alteast kila raia awe na professional fulani, na hata kujiajili mwenyew kulisaidia taifa lake.
5: Elimu ya form six iondolewe iliplaciwe na college ,
6: tudumishe elimu ya ufundi na shule pamoja na vyuo vyake kama veta, ili kupata wataalam wa aina zote.
7: mwisho elimu yetu iwe ya vitendo zaidi kuliko nadharia, sio jitu linajiita msomi hata kujenga hoja aliwezi.
,....................ni hayo tuu..........alamsiki..............................................
 
Wenzio vichwa vinawauma jinsi ya kupunguza mzigo Wa wanafunzi wewe unaleta uboreshaji.... Wakielimika wataongezeka zigo litaenda kwa serikali tena
 
Ushauri ni mzuri.tunatumaini serikali yetu sikivu itaufanyia kazi ushauri huu
 
mmmh ....mimi nilidhani unamshauri mh RAIS amkanye waziri asiwe anasema vitu ambavyo HAVIJAKAMILIKA mfano madai ya walimu
 
Pia Geography Form Three ifanyiwe marekebisho, Physical Geography Igawanywe kidato cha Pili, cha tatu na cha NNE pia mada zake ziwekwe. Kurundika physical yote kidato cha tatu siyo
 
Upo sahihi Sana Njali mana mi cjawah ona Mwalimu anaemalizaga topic form three Ile effectively..coz topic zko deep sana Afu ndefu
 
.................wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam......................
Mh. Waziri Elimu Yetu inashuka kwa kuwa Hatuipi kipaumbele kama tunavozipa siasa, sio siri Kuna kila sababu ya kufumua mitaala yetu na mfumo mzima wa Elimu na kuucheki upya, ili kulenga soko la ndani na nje ya nchi yetu zaidi. Nashauri yafuatayo yaaangaliwe.

1: kupunguza idadi ya miaka primary school walau, iishie darasa la tano ama la sita, kwa kuwa sioni umuhimu wa darasa hili la saba.
2:Kuchagua Moja Kama tumeamua Kishwahili kuwa Lugha ya kufundishia primary na kiingereza sekondari na hata vyuoni, basi tujenge msingi mzuri wa Lugha hii. Maana naona Tunawachanganya sana wadogo zetu hawa wanapokwenda sekondary.
3:kubadili Mtaala wa elimu, mwanafunzi afundishwe na kupewa uelekeo mapema, ikiwezekana masomo yote ya hisoria na hata uraia yafunzwe toka primary ili kupunguza mzigo secondary, somo kama civics, historia yarudishwe primary yawe lazima kwa wote, mwanafunzi anapofika o level awe na uwezo wa kusoma masomo machache yatakayompa uelekeo wake juu ya maisha yake baadaye. kama anataka kuwa mwanasayansi, docta ama engineer atleast asome masomo usika tuu, miaka yote minne.
4: college iwe hatua inayofuata baadaya ya o level ili kumfanya alteast kila raia awe na professional fulani, na hata kujiajili mwenyew kulisaidia taifa lake.
5: Elimu ya form six iondolewe iliplaciwe na college ,
6: tudumishe elimu ya ufundi na shule pamoja na vyuo vyake kama veta, ili kupata wataalam wa aina zote.
7: mwisho elimu yetu iwe ya vitendo zaidi kuliko nadharia, sio jitu linajiita msomi hata kujenga hoja aliwezi.
,....................ni hayo tuu..........alamsiki..............................................
Mtaala mpya unaiishia dars la 6
Ndio tupo kwenye mchakato kama mdau wa Elimu
Kunamabadiliko ya mtaala kiasi fulani.
 
Elimu inatakiwa isetiwe kuanzia msingi mpaka sekondari iwe standard moja kwa shule zote namaanisha private na government school.
Ada kwa shule binafsi zishushwe na kuwe na kiwango sawa.
Tuachane na huu mfumo wetu wakukalili kuanzia lakwanza mpaka chuo kikuu, tujitahidi vijana wetu wakimaliza kidato cha nne wawe na bongo zilizochangamka na si kuwakalilisha ili wafaulu mtihani.
Ukiangalia kiujumla mpaka sasa elimu ya bongo ni full kukalili..
 
.................wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam......................
Mh. Waziri Elimu Yetu inashuka kwa kuwa Hatuipi kipaumbele kama tunavozipa siasa, sio siri Kuna kila sababu ya kufumua mitaala yetu na mfumo mzima wa Elimu na kuucheki upya, ili kulenga soko la ndani na nje ya nchi yetu zaidi. Nashauri yafuatayo yaaangaliwe.

1: kupunguza idadi ya miaka primary school walau, iishie darasa la tano ama la sita, kwa kuwa sioni umuhimu wa darasa hili la saba.
2:Kuchagua Moja Kama tumeamua Kishwahili kuwa Lugha ya kufundishia primary na kiingereza sekondari na hata vyuoni, basi tujenge msingi mzuri wa Lugha hii. Maana naona Tunawachanganya sana wadogo zetu hawa wanapokwenda sekondary.
3:kubadili Mtaala wa elimu, mwanafunzi afundishwe na kupewa uelekeo mapema, ikiwezekana masomo yote ya hisoria na hata uraia yafunzwe toka primary ili kupunguza mzigo secondary, somo kama civics, historia yarudishwe primary yawe lazima kwa wote, mwanafunzi anapofika o level awe na uwezo wa kusoma masomo machache yatakayompa uelekeo wake juu ya maisha yake baadaye. kama anataka kuwa mwanasayansi, docta ama engineer atleast asome masomo usika tuu, miaka yote minne.
4: college iwe hatua inayofuata baadaya ya o level ili kumfanya alteast kila raia awe na professional fulani, na hata kujiajili mwenyew kulisaidia taifa lake.
5: Elimu ya form six iondolewe iliplaciwe na college ,
6: tudumishe elimu ya ufundi na shule pamoja na vyuo vyake kama veta, ili kupata wataalam wa aina zote.
7: mwisho elimu yetu iwe ya vitendo zaidi kuliko nadharia, sio jitu linajiita msomi hata kujenga hoja aliwezi.
,....................ni hayo tuu..........alamsiki..............................................

Wazo zuri sana,ila sidhani kama watakusikia.
 
Nadhani wanafunzi wabukoba wameshuhudia kwa vitendo kwa kuona tetemeko la ardhi kama wanafunzi Wa mbeya wapoona kupatwa kwa jua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom