Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Binafsi, nampongeza sana Rais Dr. Magufuli kwa msimamo.
Siyo rais awe mtu wa kulialia; ndivyo kiongozi anapaswa kuwa thabiti.

Kwa sababu, kama sivyo Watz mnaweza sema Rais asipande gari atembee kwa miguu kwa sababu wengi wa watanzania hawana magari.
Akielekezwa na kila kundi atajikuta anakwama kwenye kila amuzi so anabodi yake ya washauri so hawa wa mitandaoni waachee wajisumbue
 
Akielekezwa na kila kundi atajikuta anakwama kwenye kila amuzi so anabodi yake ya washauri so hawa wa mitandaoni waachee wajisumbue
Ukweli ni kwamba miluzi mingi hupoteza mbwa.
Mhe. ..amekaza vizuri angeyumba kidoogo yangekuwa ya Richmond halafu sasa wanaponda eti maamuzi yalikuwa ya haraka hayakuzingatia utu.....
 
Mie nilifuatilia wakati wa kampeni za Urais. Ndiye mgombea pekee aliyeweza kuongea sera zake vizuri kuliko mwingine yeyote. Tatizo kubwa la ACT ni hizo siasa za Ujamaa, la sivyo kingejivunia wanachama wengi ghafla kupitia huyu mama. Kwa kifupi anayo hekima kubwa sana. Wengine inaelekea ndio wanapata kumsikia leo kwa sababu wakati wa kampeni watu waliongelea na kufuatilia mbwembwe za hadaa za akina Mgfl na mafuriko ya akina Lws tu basi.
 
Akielekezwa na kila kundi atajikuta anakwama kwenye kila amuzi so anabodi yake ya washauri so hawa wa mitandaoni waachee wajisumbue

Billie,
Ni kweli Rais hawezi akawa kama bendera inayofata uelekeo wa upepo.
Bila msimamo atakuwa siyo Rais ten huyo.

Ni lazima awe na uwezo wa.kukataa vitu vya kipuuzi.
 
Billie,
Ni kweli Rais hawezi akawa kama bendera inayofata uelekeo wa upepo.
Bila msimamo atakuwa siyo Rais ten huyo.

Ni lazima awe na uwezo wa.kukataa vitu vya kipuuzi.
Ukimcheki kwa makini raisi wetu anaonesha kuwa na uchungu na nchi ila formula anayotumia inawaumiza waliokuwa wanakula kwa wizi na madili haramu.Hao ndio wamconspirancy ili acolupse kwenye uongozi wake.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Awe kiongozi wa nchi, na si mtawala wa wananchi

Awe msikivu na kufanyia kazi anayoshauriwa
 
Rais wangu MAGUFULI fanya hivi ili kuwa fanya hawa VIJANA WA KITANZANIA wafanye kazi kwa bidii ili uweze TIMIZA MOJA ya AZMA YAKO KUBWA SANA YA URAIS ya kuifanya TANZANIA kuwa ni NCHI YA VIWANDA....
Tafuta solution ya kufanya BUNDLE la INTARNET KUWA LA BEI YA JUU SANA....na kufanya dakika kwa ajiliy ya mawasiliano kuwa bei ya chini zaidi ya ilivyo sasa...TRUST ME hautaona VIJANA wanajazana kwenye mitandao humu na kushinda kutwa nzima kuandika PUMBA maana hizi PUMBA kwenye mitandao ya KIJAMII inatokana kwa kiasi kikubwa kuifanya hii HUDUMA kuwa ya bei ya CHINI mno kulinganisha na NCHI NYINGINE AFRIKA na ndio maana sisi WATANZANIA kwa umbea TUPO VIZURI SANA.....hivyo kukosekana kwa VIRUSHI VYA INTERNET vya bei ya chini itawalazimu kutumia muda wao mwingi katika mambo ya MAANA YA KUISONGESHA NCHI YETU MAHALI SAHIHI......
 

Aisee, kweli itakuwa ndivyo
 
Kwani huyo mama anatoka kanda gani?
Hii ikitokea itakuwa mbinu ya kudhoofisha zitto....
Hatutaki, magufuli hana uadirifu wa kuteua upinzani zaidi ya wagang njaa km Mrema PARORE
 
Makonda amefoji vyeti gani? Una ushahidi?
 
Umeanza VIZURI mwisho umeandika pumba...tu.....kwani MATEJA yalishikiwa BUNDUKI yavute?au yalivuta kwa HIYARI YAO?mwambiye DAUDI BASHITE tunataka VYETI.. Sio maneno
Unatakaje vyeti vya mtu meingine wewe nani?
 
Pombe mwenyewe kasema hataki watu waliofoji vyeti sasa wewe unamshauri ujinga gani?
Kutumia cheti cha mtu mwingine ni kosa la jinai na Bashite hayupo juu ya sheria

Haijalishi anapigana vita gani kama ni muhalifu ashughulikiwe ipasavyo
Tatizo hamna ushahidi mh magufuli hawezi kufuata rumors zinazotolewa mtuhumiwa wa madawa ya kulevya
 
Je kutoa vyeti ni lazima au hiyari? Kuna sheria yeyote inayomlazimisha mtu yeyote kuweka vyeti mtandaoni au la?
 
Ukweli unapatikana mahakamani
 
Waliofukuzwa wote wamethibitika je makonda amethibitika akaachwa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…