Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mkuu! Very well said indeed! The President elect has very important task and need to accomplish ASAP. First, heal every soul and Secondly, unite all the nation. na hapo utapata 'TAIFA kwanza' halafu ndio sasa inakuja "Hapa kazi tu"
 
Kama ilifikia mahali wananchi wakatia nia ya kumpeleka ikulu ENL bila kujali mapungufu yake mazito maeneo mengi lazima CCM wabadilike kabla hawajafurumushwa ikulu kwa namna ya ajabu itayowaacha hawaamini nini kimetokea ...
Well said. Dude!
 
The era of Party Supremacy must come to an end.
Its all about the people now,...
Our development will not only be defined by one side of the spectrum,.;things like Skyscrapers, subways, electric trains, speed buses and massive roller coasters in our theme parks.

Tanzanians must be taught to develop their our faculties.
There is no such thing as A voice to the voice less; people must be vocal and speak for themselves. Other-wise they will keep on starring at the skies for the descent of the new messiah hence to no avail.

And i think of all the things Magufuli should have started with Zanzibar,..
If he cares,...
he must go to the rescue of the Zanzibar people.

Mkuu kuna mambo yako obvious hata ungekuwa wewe usingekubali. mfano

usisahau kuwa urais kaupata kwa mgongo wa ccm, so ushauri wo wote wa kuweka kando ccm siyo mzuri kwake na kwa chama chake

Asipokuwa mwenyekiti anakosa nguvu, hili liko obvious

Akiwekwa spika asiye wa ccm ni likely kudamage chama na serikali iliyopo madarakani

Ofcourse mengi uliyosema ni mazuri kwa ustawi wa taifa letu. Muhimu ni kupata Katiba mpya ndo itaondoa haya malalamiko yote, short of that inabaki kuwa discretion ya aliyepo madarakani.
 
mtoa mada naona umewacha mambo muhimu ya kumshauri,

REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI

bila ya kuwa na katiba imara na ya uwazi na inayowawajibisha viongozi na kuwapa moyo wananchi kuwa serikali inajali watu wake, tutanedelea na porojo tu kama zilizopita business as usual
 
Katiba ya wananchi na Tume huru ya uchaguzi.
Asionee haya mafisadi papa.
 
Nimetoa rai yangu kwa sababu moja tu, Magufuli alijinadi kwa wananchi kwamba yeye naye ni mtu wa mabadiliko na alijitahidi sana kujitofautisha na waliomtangulia akiwashangaa walivyotufikisha hapa tulipo. Pamoja na kwamba katangazwa mshindi na kuapishwa, bila shaka ameshuhudia matokeo ya uchaguzi yalivyopokelewa na watu sehemu nyingi. Ni ukweli usiopingika kwamba kama si matumizi ya vyombo vya dola, CCM safari hii ilikuwa inachungulia kaburi na yeye inatakiwa awashukuru Watanzania kwa uvumilivu wao.

Hakuna namna atakavyowatuliza mioyo zaidi ya kufanya mabadiliko makubwa katika namna atakavyosimamia utendaji ndani ya serikali. Na la kwanza kabisa naamini ni kujiweka pembeni na uongozi wa kila siku wa chama chake na kubaki huru kutimiza wajibu wake kikatiba bila kuingiliwa na hao aliokuwa akiwashangaa majukwaani. Katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea ndio inatakiwa iwe nguzo yake katika maamuzi mbali mbali kwa maslahi ya taifa na si ya CCM inayoendeshwa na wale wale waliofanya wananchi waichukie CCM.
 
Aanze na ya kuiua CHADEMA kwanza kama Mkapa alivyofanya kwa NCCR, maana wamekuwa na fujo sana mitaani. hII ITAMSAIDIA KUFANYA MAJUKUMU YAKE BILA KUBUGHUDHIWA

Uchaguzi umeisha, sasa niwakati wakuwa serious kwasana.
 
Rais ndio huyo tena ameshaapishwa, waliomtaka na wasiomtaka ila wote hawa ndio rais wao wa awamu ya tano.

Je, wewe raia ungependa rais aanze na jambo lipi kulitendea kazi au kulisimamia ambalo unaona ni la muhimu na kwa sababu zipi?
 
Bwana Yesu asifiwe!

Unajua dira yote ya Tanzania ya kesho Mungu amewapa Watumishi wake. Hivyo viongozi ni muhimu sana kuwa karibu na watumishi ndipo watakapoweza kufikia malengo.

Nami nikiwa kama Mchungaji Mungu amenipa ujumbe/ ushauri kwa Rais Magufuli juu ya Tanzania ya kesho.

Yaan nataka hata mtu atakayeweza kulipia kipindi kwenye Media, au anikutanishe na Mwandishi wa Habari awe ananihoji.
Au kama wewe ni Mwandishi wa Habari ebu tuwasiliane kwa simu No.0786100772,au 0757856336.

Maana Tanzania inayotajwa ya Mwaka 2025 haiwezi kufikiwa paspo kujua mpango, na mambo Mungu ameyakusudia yafanyike.

Ninaomba hiyo Neema na kibali kwa Mamlaka ya jina la Yesu Kristo.
 
Aanze na ya kuiua CHADEMA kwanza kama Mkapa alivyofanya kwa NCCR, maana wamekuwa na fujo sana mitaani. hII ITAMSAIDIA KUFANYA MAJUKUMU YAKE BILA KUBUGHUDHIWA

Viroba?
 
mtoa mada naona umewacha mambo muhimu ya kumshauri,

REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI

bila ya kuwa na katiba imara na ya uwazi na inayowawajibisha viongozi na kuwapa moyo wananchi kuwa serikali inajali watu wake, tutanedelea na porojo tu kama zilizopita business as usual

Katiba ya wananchi na Tume huru ya uchaguzi.
Asionee haya mafisadi papa.

katiba ya wananchi ambayo SIO katiba ya wananchi IN FACT. yale yalikuwa ni mapendekezo ya "baadhi" ya wananchi, sio kila mtu anayapenda hayo mapendekezo. tukifanya maoni ya kila mwananchi itashindwa!
 
Aanze na ya kuiua CHADEMA kwanza kama Mkapa alivyofanya kwa NCCR, maana wamekuwa na fujo sana mitaani. hII ITAMSAIDIA KUFANYA MAJUKUMU YAKE BILA KUBUGHUDHIWA
Umenena. Bila kuiangamiza chadema atakuwa anacheza. Mfano leo nimeshangaa eti wanamdharau kitendo cha yeye kutembelea wizara ya fedha. Chadema ni mashetani kwa kweli, yaani hawana jema la kushukuru hata kidogo. Yaani hakuna cha msomi wala nini wote akili zao moja, ni kupinga tu kama shetani mpinga kristu.
 
Tafuta kazi ya kufanya, mwenzako Maalim Seif ni makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na kukutana na Rais Kikwete ilikuwa mbinde mpaka alivyovujisha kwenye vyombo vya habari ndio wakaona aibu wakamuita ikulu Dar, sasa wewe mla vumbi sahau hilo.

Mimi Ni Zaidi Ya Maalim Seif.
 
Ngoja nikupe maujanja ya kumuona magufuli bwana mchungaji illovo. Lala, kesha na shinda kwenye madaraja utamuona tu. Kwani ujumbe unaotaka kumpa mungu kakwambia mwisho lini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom