Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said. Dude!Kama ilifikia mahali wananchi wakatia nia ya kumpeleka ikulu ENL bila kujali mapungufu yake mazito maeneo mengi lazima CCM wabadilike kabla hawajafurumushwa ikulu kwa namna ya ajabu itayowaacha hawaamini nini kimetokea ...
Natoa ushauri kwake kama mwananchi wa kawaida, je kuna ubaya?Wewe kama nani hata utoe ushauri kwa Magufuli?
Niende wapi? Kumbuka sina Uraia wa nchi nyingine, hivyo tutabanana hapa hapa Vongo.Tuondokee hapa.
Umeamuwa kumuita mwenzako Dude? kweli wasomi wetu mna mamboo.Well said. Dude!
Nimetoa rai yangu kwa sababu moja tu, Magufuli alijinadi kwa wananchi kwamba yeye naye ni mtu wa mabadiliko na alijitahidi sana kujitofautisha na waliomtangulia akiwashangaa walivyotufikisha hapa tulipo. Pamoja na kwamba katangazwa mshindi na kuapishwa, bila shaka ameshuhudia matokeo ya uchaguzi yalivyopokelewa na watu sehemu nyingi. Ni ukweli usiopingika kwamba kama si matumizi ya vyombo vya dola, CCM safari hii ilikuwa inachungulia kaburi na yeye inatakiwa awashukuru Watanzania kwa uvumilivu wao.Mkuu kuna mambo yako obvious hata ungekuwa wewe usingekubali. mfano
usisahau kuwa urais kaupata kwa mgongo wa ccm, so ushauri wo wote wa kuweka kando ccm siyo mzuri kwake na kwa chama chake
Asipokuwa mwenyekiti anakosa nguvu, hili liko obvious
Akiwekwa spika asiye wa ccm ni likely kudamage chama na serikali iliyopo madarakani
Ofcourse mengi uliyosema ni mazuri kwa ustawi wa taifa letu. Muhimu ni kupata Katiba mpya ndo itaondoa haya malalamiko yote, short of that inabaki kuwa discretion ya aliyepo madarakani.
Aanze na ya kuiua CHADEMA kwanza kama Mkapa alivyofanya kwa NCCR, maana wamekuwa na fujo sana mitaani. hII ITAMSAIDIA KUFANYA MAJUKUMU YAKE BILA KUBUGHUDHIWA
Aanze na ya kuiua CHADEMA kwanza kama Mkapa alivyofanya kwa NCCR, maana wamekuwa na fujo sana mitaani. hII ITAMSAIDIA KUFANYA MAJUKUMU YAKE BILA KUBUGHUDHIWA
mtoa mada naona umewacha mambo muhimu ya kumshauri,
REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI
REJESHA KATIBA YA WANANCHI
bila ya kuwa na katiba imara na ya uwazi na inayowawajibisha viongozi na kuwapa moyo wananchi kuwa serikali inajali watu wake, tutanedelea na porojo tu kama zilizopita business as usual
Katiba ya wananchi na Tume huru ya uchaguzi.
Asionee haya mafisadi papa.
Umenena. Bila kuiangamiza chadema atakuwa anacheza. Mfano leo nimeshangaa eti wanamdharau kitendo cha yeye kutembelea wizara ya fedha. Chadema ni mashetani kwa kweli, yaani hawana jema la kushukuru hata kidogo. Yaani hakuna cha msomi wala nini wote akili zao moja, ni kupinga tu kama shetani mpinga kristu.Aanze na ya kuiua CHADEMA kwanza kama Mkapa alivyofanya kwa NCCR, maana wamekuwa na fujo sana mitaani. hII ITAMSAIDIA KUFANYA MAJUKUMU YAKE BILA KUBUGHUDHIWA
Ni kweliKatiba ya wananchi na Tume huru ya uchaguzi.
Asionee haya mafisadi papa.
Tafuta kazi ya kufanya, mwenzako Maalim Seif ni makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na kukutana na Rais Kikwete ilikuwa mbinde mpaka alivyovujisha kwenye vyombo vya habari ndio wakaona aibu wakamuita ikulu Dar, sasa wewe mla vumbi sahau hilo.
Ok, bangi imehalalishwa huko Guetamala.Mimi Ni Zaidi Ya Maalim Seif.