Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Magufuli aliwaambia NHC wawatolee nje vitu wao Wapangaji wanaodaiwa Ndani ya Siku saba, Tena akakebehi, Kama "Yule Mjamaa" Nafikiri alisahau Kumalizia sentensi sijui ni kwa kuwa na Kazi nyingi, siju. Ila angekuwa Mkweli alingesema, "Kama Yule Jamaa tuliowatuma Mtupe vitu vyake nje"

Hilo sio langu leo Langu Ni Unnunuzi wa Ndege Mbili za ATC na Kufanya Mmiliki wake Kuwa serikali Ili Kukwepa Wadai wa ATC wasizichukue. Na Kadhalika Wazabuni wa Ndani, wanaolisha Shule za Sekondari, Wajenzi, Wasambaza madawa etc Wanaidai Serikali Madeni ya Karibu Trillion 4. Rais Mkapa alikuwa Mwaminifu Kulipa Madeni. Sasa Ukiwa Unamdai Mtu anakuambia Hela sina Nivumilie halafu Ukimfuatilia Unaona Akinunulia Watu Bia Clubuni na anafuungua Biashara kwa Majina Mwngine Huyu Utamwitaje, MTAPELI SIO?

Mh Magufuli, Ulitoa Siku 7 Kwa wadaiwa wa NHC Kuipa au watolewe nje, ingawa najua ilikuwa kujikosha kwa Uhuni wa siasa Uliomfanyia Mbowe, Na wewe Basi? Nakusihi, Ndani ya Siku saba, Lipa Wazabuni wa Ndani Pesa zao, by the way wakizipata na Kuzitumia Zitazunguka.

By the way Siku saba Ziliisha zamani, Mbona sijasikia Mali za Wengine zimetrupwa Nje na NHC au Wote Wameshalipa? Unafiki Unanuka Kama Mzoga!
Wewe utasababisha watu wenye uwezo wao wa kufikiri kutilia shaka viongozi na wanachama anaowatetea. Sasa ukiwa na Mwenyekiti wa chama ambaye anaishi kwa dubious deals unataka serikali impatie ushirikiana gani zaidi ya kilichotokea Sept. 1 Club Bilicana? Ukiwa Mwenyekiti wa chama cha upinzani unatakiwa kuwa msafi kuliko viongozi wa serikali na wafanya biashara dubious! Vinginnevyo, labda iwe ni serikali ya wala rushwa kama iliyopita, utashughulikiwa vilivyo! Hapo hakuna Mwananchi mwadilifu anaweza kutetea uovu huo. Ilitakiwa kiongozi wa upinzani kuwa mtu wa kwanza kuitaka NHC kuwashughulika wadeni wake wote, siyo kusema ahurumiwe kwa kuwa eti, 'mbona kuna wengine wanadaiwa na wameachwa?' Two wrongs do not make right.
 
Mahakama Ilisemaje, Two wrongs does Not Make it right, is a statement befit for the one who in evil advantage did the last wrong! and In this case it is Magufuli who utilized the debt allegations to contort it for his own political advantage because he is indeed a coward!
 
You seem to know little about court proceedings, so far mahakama bado haijasea kitu chochote cha chenye nafuu kwa upande wowote. Inasikitisha kuona kuwa watu, badala ya kusaka, kupata na kutumia maarifa, wanameamua kuji-pollute na barren politics through doing 'political masturbation'.
 
Kwanza ni kupongeze Rais JPM kwa kuongoza TZ ukiwa na ndoto ya kuwa TZ ya viwanda.

Tukiweka kumbukumbu sawa nchi za Africa ziliingia mkenge pale zilipokubali sera ya IMF kuwa njia kuu za uchumi kumilikiwa na private sector serekali wao ni kukusanya mapato hapo ndipo lile zimwi la ubinafsishaji lilipo anza
Tukabinafsisha hadi mawazo yetu.

Mataifa mkubwa yote hatua hii há wakukurupuka walihakikisha serekali zao zinamiliki njia zote kuu za uchumi.
Mfano ni industrial revolution in Europe.

Ushauri wangu ni kama ukitaka ndoto yako ya kuifanya TZ ya viwanda kwanza anza kwenye Jeshi I mean JWTZ

Tunajeshi kubwa lenye watu wenyewe taaluma za kada tofauti mfano Engineers, Dr.etc.

Rudisha viwanda migodi ranchis na mashirika yaliokuwa ya serekali chini jeshi wanajeshi ndio wawe wafanyakazi

Mfano Barabara kuu madaraja viwanja vya ndege vyote badala ya kujengwa na private company tena za nje JWTZ ndio wajenge.

Viwanda kama Mtibwa sugar na UFI wanajeshi ndio wanafanyakazi asubuhi kwata then kiwandani

Wekeza kwenye technology jeshini wazalishe silaha pamoja na bidhaa za kitechnologia wauze jeshi imara ni pamoja na kuzalisha silaha zao kwa technology yao.

Nimenza na JWTZ kwa sababu ndio taasisi yenye maadili zaidi kwa sasa hapa TZ na ina rasilimali watu pamoja na taaluma zaidi wako kwenye payroll system so nikuwapa marupurupu na kozi tu.

Na ukizingatia jeshi haliko on duty now yani hatuna vita wala haitarajiii kwa kipindi hiki tuwe na vita ya maporini hata ivyo siku hizi vita ni vya technology zaidi.
So tupunguze kununua mavifaru jeshi linunue mitambo ya ujenzi jeshi liwe buzy kwa ukuzaji uchumi si kupanda miti

Kwa utafiti niliofanya jeshi likitumika mfano kwa ujenzi tu serekali itakuwa na chanzo cha mapato ya asilimia 26.4 %

Na ili ndoto yako ya TZ ya viwanda itimie hakikisha serekali inamiliki njia kuu za uchumi kwa asilimia kubwa kuliko private sector.

Hapo serekali inaweza punguza mrundikano wa kodi kwa mlalahoi kwani itakuwa na pato mbadala.

Anza na hili Kwanza na kama ukiona ni ushauri mzuri nitafute kwa ufafanuzi vizuri na jinsi ya utekelezaji
 
Nice post, you deserve to be a Great thinker or Think tanker
 
RAIS wetu ni mzuri na ni bora sana, huenda akawa the best in Afrika. Lakini Japo nina hasira ya kuto kuniongezea mshahara lakini bado namkubali 51% Kuwa ni RAIS bora kabisa TZ, Maziwa Makuu na Afrika kwa ujumla.

Tatizo la RAIS wetu ni Kuwa anahisia nzito(deep imotion) dhidi ya NCHI Hii, ambapo anashindwa kujizuia dhidi ya hisia zake.

Anapo sema Tanzania ya Viwanda wazungu watamchukia kwa Kuwa viwanda ndivyo vina waweka mjini. Hawafurahi RAIS wangu Fanya kimya kimya Japo uko kwako.

GADAFI ali uliwa kwa kujifanya anatetea bara la Afrika. Hivyo baba yangu nakushauri Japo mimi siyo Mhandisi, Dr wala Prof. Mimi Mwalimu WA sekondari. Ongea kimya kisha tenda kwa sauti. Sio kuongea kwa Sauti kabla huja tenda itakugharimu sana boss wangu.

Kama nimekukera sema nikutumie NAMBA zangu watu wako wanishike ila muda utasema, boss wangu.
 
NJALIRAIS wetu ni mzuri na ni bora sana, huenda akawa the best in Afrika. Lakini Japo nina hasira ya kuto kuniongezea mshahara lakini bado namkubali 51% Kuwa ni RAIS bora kabisa TZ, Maziwa Makuu na Afrika kwa ujumla.

KAMA WEWE NI MWALIMU NA UNAWAZA HUO UKIMYAKIMYA INAWEZEKA ULIFAULU KWA KUKODOLEZEA WANACHOANDIKA WENZAKO!

JPM HAWEZI KU MUTE KWA KUWA ANA PHD YA BANSENBURNER UKIWASHA HAIFICHIKI KABISA
 
NJALIRAIS wetu ni mzuri na ni bora sana, huenda akawa the best in Afrika. Lakini Japo nina hasira ya kuto kuniongezea mshahara lakini bado namkubali 51% Kuwa ni RAIS bora kabisa TZ, Maziwa Makuu na Afrika kwa ujumla.
Tatizo la RAIS wetu ni Kuwa anahisia nzito(deep imotion) dhidi ya NCHI Hii, ambapo anashindwa kujizuia dhidi ya hisia zake.
Anapo sema Tanzania ya Viwanda wazungu watamchukia kwa Kuwa viwanda ndivyo vina waweka mjini. Hawafurahi RAIS wangu Fanya kimya kimya Japo uko kwako.
GADAFI ali uliwa kwa kujifanya anatetea bara la Afrika. Hivyo baba yangu nakushauri Japo mimi siyo Mhandisi, Dr wala Prof. Mimi Mwalimu WA sekondari. Ongea kimya kisha tenda kwa sauti. Sio kuongea kwa Sauti kabla huja tenda itakugharimu sana boss wangu.
Kama nimekukera sema nikutumie NAMBA zangu watu wako wanishike ila muda utasema, boss wangu.
KAMA WEWE NI MWALIMU NA UNAWAZA HUO UKIMYAKIMYA INAWEZEKA ULIFAULU KWA KUKODOLEZEA WANACHOANDIKA WENZAKO!JPM HAWEZI KU MUTE KWA KUWA ANA PHD YA BANSENBURNER UKIWASHA HAIFICHIKI KABISA
 
Bavicha ni bora mkajikita kuhoji mauzo ya chama chenu badala ya kujifanya mnamfundisha kazi Magufuli.

Shame on you all
 
Hebu jitambue wewe mjinga, Magufuli ni rais wetu sote, siyo rais wa ccm, rudi darasani ukasome tena.
 
RAIS wetu ni mzuri na ni bora sana, huenda akawa the best in Afrika. Lakini Japo nina hasira ya kuto kuniongezea mshahara lakini bado namkubali 51% Kuwa ni RAIS bora kabisa TZ, Maziwa Makuu na Afrika kwa ujumla.

Tatizo la RAIS wetu ni Kuwa anahisia nzito(deep imotion) dhidi ya NCHI Hii, ambapo anashindwa kujizuia dhidi ya hisia zake.

Anapo sema Tanzania ya Viwanda wazungu watamchukia kwa Kuwa viwanda ndivyo vina waweka mjini. Hawafurahi RAIS wangu Fanya kimya kimya Japo uko kwako.

GADAFI ali uliwa kwa kujifanya anatetea bara la Afrika. Hivyo baba yangu nakushauri Japo mimi siyo Mhandisi, Dr wala Prof. Mimi Mwalimu WA sekondari. Ongea kimya kisha tenda kwa sauti. Sio kuongea kwa Sauti kabla huja tenda itakugharimu sana boss wangu.

Kama nimekukera sema nikutumie NAMBA zangu watu wako wanishike ila muda utasema, boss wangu.

Ukweli ila sidhani kama kajitoa mhanga kama hao unaomfananisha nao. . Masilahi ya wazungu makuu bado sijackia yakitumbuliwa, which sincerely speaking I wud like him to do coz kama kuibiwa tumeshaibiwa sana. . We were once front line kukomboa nchi za Afrika kutoka ukoloni ni mda sahihi kwa sasa kuwa mstari wa mbele kujikomboa kutoka neocolonialism hasahasa in the economy aspect
 
Tafafadhali naomba msaada ni namna gani naweza kuongea na Rais wangu mpendwa moja kwa moja kwa njia ya simu nina jambo la kumueleza. Au kama anasoma taarifa hii natamani sana anipigie.
 
Salaam wana JF. Hivi karibuni nimetembelea mikoa iliyotajwa na kujionea fursa nyingi za kuendeleza kilimo,ufugaji,maliasili na utalii katika mikoa hii. Nimeona rasilimali mbalimbali zilizopo na kulinganisha na aina na uchache wa uwekezaji kwa fursa nyingi zilizopo nikagundua haviendani. Tafiti zaidi za kisayansi katika nyanja nilizotaja,zinahitajika ili kutumia vyema fursa za ardhi,mifugo, maliasili, hali nzuri ya hewa,nguvukazi,vivutio nk zilizopo kuongeza uwekezaji. Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine chaweza kwa sehemu kubwa kutoa suluhisho au kuchochea na kuongeza uwekezaji kupitia tafiti zake endapo kitajielekeza zaidi katika ukanda huu. Naamini uwezo wake na namna chuo hiki kilicyochochea uwekezaji maeneo kadha hapa nchini,Afrika na kwingineko,vivyo hivyo kwa eneo hili inawezekana likafanya vizuri zaidi. Nashauri kupitia Serikali chuo hiki (SUA) ianzishe kitivo mahsusi chenye michepuo ya kilimo,ufugaji,maliasili,utalii na biashara-kilimo (agribusiness) ukanda huu. Kwa kufanya hivyo watakuwa karibu zaidi na jamii kielimu, kitafiti na kiuwekezaji. Nawasilisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom