issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
yes mkuu tunakoelekea hata hizi forums zinaenda kuziikwa .Kweli mkuu ndo ivo hamna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yes mkuu tunakoelekea hata hizi forums zinaenda kuziikwa .Kweli mkuu ndo ivo hamna namna
Mbona yuko smart tu, au unataka avae modo za Wasafi ( wcb) ?Hayo makoti sijui nani huwa anampima?
Hatar sana aiseeyes mkuu tunakoelekea hata hizi forums zinaenda kuziikwa .
Hakika kwa kwelhuyu disainer wa hizi vitu atakuwa ni Ukawa yani kabisa , mbona baba Ridhwan zilikuwa zinamkaaa fresh tuuu
Umenena mkulu hakika kwakweliAKINA MAMA BWANA! HUYU MAMA SI ALIGOMBEA URAISI JAMANI? NA AKINA MAMA SI NDIO WENGI NCHI HII? NA HAPA TUNAMSIFIA KWAMBA NI KICHWA ILIYOJAA WEREVU MBONA HAMKUMCHAGUA KUWA RAISI. TUACHENI UNAFIKI
Samahan kwa kukwambia hili neno ninalotaka kukwambiaHapa Kuna vitu viwili naomba viangaliwe nampngeza Rais kwa ukaguzi wa mizigo wakati wa kaingia dsm kupitia JNIA terminal 1.Na juzi nilifurahi zaidi nilipopita terminal 02 na kibegi changu Bila hili wala lile naitwa nikaguliwe wakati miaka yote hiyo procedure huwa haipo. Niliporudi nikakaguliwa begi kupitia Ile scanner safi kabisa. Cha ajabu ni kwamba mwanza airport hiyo kitu hakuna kabisa watu wanatoka migodini, mbugani etc pia ndege ndogondogo zinazotokea viwanja vidogovidogo zinatua na kuondoka. Umuhimu huu unaopewa JNIA upelekwe na huku kwingine.
2: Ile scanner pale boarder mtukula Mara mbili kwa vipindi tofauti Nimepata haifanyikazi pamoja na kuona watu terminal 01 wakishughulikiwa kw scanner kufeli.
Usiombe samahani maana unaonyesha Uwezo wako wa kushindwa kuelewa mambo mepesiSamahan kwa kukwambia hili neno ninalotaka kukwambia
Wanafunz zaid ya nusu wamekosa mikopo watasomaje hawa watoto wa masikini
Na lazma ujiulize kwann mwaka u tu
Naomba uwasalimie milembe mkuu
Wewe unafanya nini humu? Au ndyo upo kazini?wewe USIPO ANGALIA maisha yako yote utakuwa ni mtu wa kulalamika tu....FANYA KAZI ACHA UMBEA HUKU MITANDAONI
Hahahaha jamani Sizonje hashauriwi.... yeye ndo huwashauri washauri!!!Kuna uwezekano mkubwa sana mshauri wakuaminika wa masuala ya uchumi wa sizonje ni makonda